GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #41
Nguvu ya Mungu kwa ampendae kamwe haizuiliki na Mashetani walioko / tulionao hapa duniani.Unaona sasa, unawaita mashetani viumbe walioumbwa na Mungu kama wewe kisa tu wanakukumbusha kuwa muadilifu. Halafu utegemee kupata hizo baraka? Ingekuwa bora ukabadilika kuanzia Christmas hii kwenda mbele.
Kwa kuwa Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer zaidi yako.Wewe unajipendekeza kwake. Hebu tueleze, anabarikiwa sana kwa lipi.
Nina Natural Charm toka kwa Muumba.jenta wee nidini gani.?mbona unabarikiwa sana? nijibu tafazali.
tilia weee nyau.usinichujue maelezo sawa?Wewe unajipendekeza kwake. Hebu tueleze, anabarikiwa sana kwa lipi.
Kheri yako Kiongozi ila kuna Watu wanatamani hata wasikie GENTAMYCINE Nimekufa kwa Kunichukia Kwao. na kuwa na Husuda ( Wivu ) na Umaarufu wangu Usiozuilika hapa JamiiForums ila Mwenyezi Mungu ananipigania, ananilinda na ananibariki zaidi yao.Hivi inakuwaje mnajenga uadui Kwa fake Id's?
Mimi binafsi huichukukulia jf kuwa ni sehemu ya kuja kupotezea muda baada ya kazi ngumu ya kujitafutia riziki..
Japo pia huwa ni chanzo changu cha haraka kwenye breaking news na baadhi ya mambo mengine
nataka uwe menta wangu.pia nataka nijue wee wadini gani.Nina Natural Charm toka kwa Muumba.
Nipo nyuma y'ako mkuuNimeshakuzoea hivyo hunipi tabu Ok?
Asante Kiongozi na Karibu mno. Mimi ni Mkristo 100% wa Dhehebu la Katoliki na Nampenda sana Mwenyezi Mungu kwani ndiyo ananipa Baraka 24/7.nataka uwe menta wangu.pia nataka nijue wee wadini gani.
Asante na Amina Kiongozi wangu.Wewe ndiyo mshindi utake usitake, tutakulazimisha upokee zawadi.
Kuna jamaa alikua ansema anakujua kwa jina la Daudi Mchambuzi Ila mapaka leo hajajua hua unachambua nini au wewe ni mchambuzi wa nini?!Wewe ndiyo mshindi utake usitake, tutakulazimisha upokee zawadi.
Una nyota ya magufuli [emoji23][emoji23]Naweza kuwa Chukizo Kwenu Wanadamu ila kwa Baba Mungu aliyeniiumba na anayenijua vyema kuliko Wanaonichukia na Kunionea Gere ( Wivu ) kwa Umaarufu wangu nikawa Msafi Kwake na Malaika wake tukuka.
Duuuh nyuma yake tena?!Nipo nyuma y'ako mkuu
Sijui anatoa wapi tabia ambazo hata wamama hawanaNamjua vilivyo ,anajua kuitafuta huruma mbaya zaidi hata wadada humu jf hawana tabia kama hizo
Mkuu GENTAMYCIME GENTAMYCINE achana na hawo wenye roho za korosho. Imeisha hiyo mwambaaaaaa.Kama Wewe hujawa au siyo miongoni mwa Wawania Tuzo na labda Ulitegemea kuwepo huna haja ya Kumalizia Hasira zako Kwangu GENTAMYCINE kwa Kunitukana na Kunidhalilisha.
Kwangu Mimi GENTAMYCINE kuwepo tu hapa kwa Wapigiwa Kura ni Ushindi tosha Kwangu na nawashukuru Walionipigia Kura, Watakaonipigia Kura, Uongozi wa JamiiForums kwa Kuniheshimisha na kubwa zaidi namshukuru Mwenyezi Mungu ambaye Kutwa ananibariki na atandelea Kunibariki.
Nguvu ya Mungu haizuiliki daima.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]We haujilewi
Una machaguo matatu, moja uwasiliane nae inbox ili tusione; pili, hama jamiiforum na tatu saga chupa unywe.tilia weee nyau.usinichujue maelezo sawa?
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]Sijui anatoa wapi tabia ambazo hata wamama hawana
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app