Duh nimekubaliMburahati ni nyumbani kabisa kuanzia kizazi Cha kina kuveta mpaka sasa mburahati imepoa Kuna baadhi ya maeneo usela hauwezi Isha wenyewe wanasema usela mpaka uzeeni Kuna baadhi kumepoa kabisa ila Kuna mitaa bado ujinga upo mitaa ya uwanja wa gine bado Kuna usela wa kutosha wakina shabani Babu na jahazi lake wanakimbiza kama kawa wakina sherigam na Nikki butty umri umesogea ila Nikki bado ujinga anao ukija upande wa Santos kuna kizazi hakielewi wakina bani yesu washatubu ila Kuna wakina tidox na Fred mfupa wa nyani ukija huku uwanja wa kifa labda uwepo wa kituo kikubwa Cha police wakishirikiana na sungusungu wa luhanga (wazee wa cuf) kimezuia matukio mengi ila ya uhalifu bado upo Kwa uchache na wakina jibaba tesa salehe mpozo kishazeeka njoo mitaa ya shoka bado OMARY wa boda na OMARY mijibwa hawajapoa wanangu Hawa
Lakini mitaa ya jamaika mianzini kizazi Cha kina black ndio wapiga majembe wapya bonde la kagera limepoa ila limeharibika na madawa na usenge hapa kati mitaa ya uwanja wa Uruguay kuko kimya kile kizazi Cha kina Didi bona. Anderson fadiga.abdalah tenende chenyewe kishamaliza mwendo kikaja kizazi Cha kina sele bubba rama duchu rama kilo na kina mudi ndangula maskani ilikuwa dukani Kwa meja naona wadogo zetu wakina OMARY big na ngasa wao wametubu wanafanya ibada
Kuna kizazi kipya kipo hapa naona chenyewe kipo busy na mipira na mambo mengine wakina juma chinga Rajab katoto OMARY big na weekend team yao
Daah mburahati ndio sehemu pekee duniani naweza kutembea popote mda wowote na kufanya chochote ndani ya mburahati wakuu na ktk Kila kundi la vijana 10 unakuta 5\6 wananifahamu
Mburahati mi maarufu kama pesa
Karibuni sana mburahati
Mimi mwenyewe sijawahi fika 😂😂😂Mi najua ukiwa kongowe unaingia ndani ndani huko
Yeah, wewe unapajua. Mimi mwisho wangu kupajua ni mbagala kuu. Mgeni nani sijawahi kufika. Hilo jina la mgeni nan huwa linanifurahisha tu.Mgeninani ipo Mbagala
Kutoka Mbagala Rangi Tatu mpaka Mgeninani, Serikali za mitaa na bajaji nauli 500
Ukiwa rangi tatu/zakhiem bajaji 500. Ipo karibu na mbagala kuu. Huko kongowe ni mbali sanaMi najua ukiwa kongowe unaingia ndani ndani huko
Homboza huko ni sehemu ya Kisarawe.... Siyo Dar es salaam....Homboza, kwa mama kibonge, kwa bibi nyau, zingazinga
Huwezi ijua dar yote hata uishi miaka miaSio anaishi mwingine kazaliwa jijini na hajui maeneo kibao, unabaki kushangaa tu, na jinsi usafiri wa dar ulivyo bei rahisi.
Binafsi sijafika huko kote!Kwenye huu Uzi sidhani kama kuna mtu ashafika KIJAKA,PEMBAMNAZI,NGOMA MAPINDUZI,MKAMBA, BUYUNI, MWASONGA
UnawezaHuwezi ijua dar yote hata uishi miaka mia
Inategemea na mtu, binafsi nimekulia na kuishi Dar so by default maeneo mengi yanayonizunguka nimefika na viunga vingi vya jiji navifahamu. Ila kuna maeneo yako mbali na nilipoishi ambayo siyajui (hasa ilala pembezoni na Temeke)Hua nashangaa mtu anajisifu "mimi mtoto wa mjini, nimezaliwa Dar, nimekulia Dar" halafu kuna maeneo hayajui, hata ukiishi Masaki au Tandika bado unapaswa kutembelea sehemu zingine uone na kujifunza mengi,
Unakaaje mazingira ya aina moja tu umekua mtungi
Wewe uko mkoa gani?Dar Es Salaam a.k.a Bandari Salama, sisi wa mkoani tupo kusoma comment
Huwezi,labda uwe na mission ya kuijua dar yoteUnaweza
Huko tayari kigamboni kwa mbele huko Kimbiji kwa Chale. kwa moris, puna, kidagaa etcKwenye huu Uzi sidhani kama kuna mtu ashafika KIJAKA,PEMBAMNAZI,NGOMA MAPINDUZI,MKAMBA, BUYUNI, MWASONGA
Hapana ila ukipita Old Bagamoyo Road au Mwai Kibaki unaweza kufika kwetu 🤣Yupo Bagamoyo
Kijana wa nyeto, mizigo ya maumivu yangu huwezi kuibeba 🤣Kwann unateseka wakati mm nipo, njoo unitwishe huo mzigo wa maumivu yako 😎
Ndio nilichomaanisha hiki, unaweza sana kutoka Mbezi Beach na kwenda kwa Mpalange kupaona tu sio kuishi, na wa Mpalange anaweza akaenda Mbezi Beach kupaona pia, (Utalii wa Jiji)Kama hupendi kuzurula ni ngumu sana, mfano utoke Mbezi beach ukatembee kwa mpalange, utakua unaenda kutafuta nini huko?
Njombe kwasasaWewe uko mkoa gani?
Ni nyingi sana siwezi kulist zote.Tuambie na sehemu ulizofika
Si ndio kuweza kwenyewe ndgu.Huwezi,labda uwe na mission ya kuijua dar yote
Nikabidhi mamaaKijana wa nyeto, mizigo ya maumivu yangu huwezi kuibeba 🤣