Viongozi tu...maana mwasonga huko si kuna kiwanda cha afya,kiwanda cha maziwa ...oilcom naye si ana mradi wake huko...lazima wangeweka miundombinu iwe rafikiKuna kunakuaga vilevile sijui shida nin
Sasa hivi kule NI viwandani kuna viwanda vingi SIO hivyo tuViongozi tu...maana mwasonga huko si kuna kiwanda cha afya,kiwanda cha maziwa ...oilcom naye si ana mradi wake huko...lazima wangeweka miundombinu iwe rafiki
Ova
Najuwa mbele kipo mpk cha cement...ila ni aibu sehemu ina viwanda miundombinu mibovuSasa hivi kule NI viwandani kuna viwanda vingi SIO hivyo tu
Moscow kule matakoni mwa Hananasif.. hatari sanaNishatembea dar nzima kuna sehem inatwa kinondon moscow mtoto mdogo miaka 6 ana rista msela anavuta bangi kinondob shamba bang kama sigara watu wanapita mtaan huku wanavuta dar yote nimeimaliza
Kazi ipo wapi sasa?Kuishi dar n kazi jmn
Haina nouma broh ngoja nikipata nafasi na mpunga nasikia nikifka Pemba mnazi nakutana na bahari hii ya ferry hukuKuna gari zina keria juu kama zinaenda mkoani, hizo za BUYUNI ndio za Pemba mnazi, ukifka BUYUNI kwenda Pemba mnazi Kwa pikpik haizid 3000, safari ndefu
Huko kuko poa sana utakula samaki mpaka basiHaina nouma broh ngoja nikipata nafasi na mpunga nasikia nikifka Pemba mnazi nakutana na bahari hii ya ferry huku
Usiogope we sema tu 😂😎Mungu nifundishe kunyamaza
Shida kule hamna watu weng, mapori NI meng Sana nyumba chacheNajuwa mbele kipo mpk cha cement...ila ni aibu sehemu ina viwanda miundombinu mibovu
Ova
Hahaha baharii unakutana nayo kuanzia kimbiji, ukienda BUYUNI ndio IPO pemben kabisa ya baharii, Pemba mnazi kote huko pako ufukweniHaina nouma broh ngoja nikipata nafasi na mpunga nasikia nikifka Pemba mnazi nakutana na bahari hii ya ferry huku
Tafuta weekend moja ukatembeeHaina nouma broh ngoja nikipata nafasi na mpunga nasikia nikifka Pemba mnazi nakutana na bahari hii ya ferry huku
Naam hapo August itakuwa poa sanaTafuta weekend moja ukatembee
Unarudi zako jioni
Ova
Nita sema mimiUsiogope we sema tu 😂😎
Kijichi moja...Dar ni ndogo lkn kuimaliza yote ni mtihani. Kuna sehemu kunaitwa mgeni nani...wengi hampajui
Mwanadilato umefika?Hakuna sehemu sijafika Dar, ilivyo ndogo hivi unakosaje kuitembea
Ajabu sanaNaona hapa masaki opposite na kituo cha mafuta lake oil eneo lishazungushiwa bati,sasa hawa wauza mihogo mama ntilie watapotezwa
Ova
Yeah mitaa hiyooKijichi moja...
Yeeep, ni vitongoji maeneo vilivyopo ndani ya halmashauri zilizo ndani ya mkoa wa DSM .. mbopo ni manispaa ya kinondoni , zingiziwa nadhani ni Temeke, Kifuru ni ilala kama sio ubungo halmashauri,Haya ni maeneo ya Dar kweli?