Mnaoishi Dar, eneo gani unalisikia ila hujawahi kufika?

Wewe uyo, wapo wanaopotea
Daah labda wale waliokulia geti kali sana, hawajui kuunga daladala na boda.
Mimi ikishindikana kabisa na sijui niko wapi, nitauliza namna ya kufika kariakoo, halafu nitaendelea safari ya home kuanzia hapo 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…