Mnaoishi Dar, eneo gani unalisikia ila hujawahi kufika?

Ukiwa unaenda mbezi kupitia kinyerezi, katikati unashuka, unaingia ndani kinoma utafikiri umefika vijijini, kumbe ni Daresalama.

Ukirudi juu kidogo kusini unaibukia Pugu, kisha gongo la mboto.
Duuuh basi ndiyo maana kunaitwa "Mwanzo mgumu"
 
Kwahy humu wote mmefika Mlimani City wore mambo safi 😅😅
 
Wakuu, ngojeni kwanza.
Tarehe 16 nqtarajia kwenda Dar nikitokea Dodoma kwa Treni ya SGR.

Sasa naombeni muongozo wa usafiri, yaani njia ya rahisi kutoka hapo station hadi Ubungo Riverside.

Nikishuka niende na usafiri gani? Daladala kituo kipo wapi? Kuna vituo vingapi hadi Riverside? Majina ya hivyo vituo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…