Mzimu wa Kolelo
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 2,966
- 8,977
miaka 90 mbali sanaKule Kinyerezi kuna siku niliamua kutembea tu kutoka Segerea nika fika Kinyerezi. Kulikuwa kama kijijini kumejaa vijumba vya udongo na mikorosho. Kwa kina Ditopile kule. Kipindi hicho miaka ya mwanzo ya 1990s.
Siku hizi nasikia kumejengeka sana.
Wapi hujafika?Kwa asilimia 90 naweza kusema Dar naifahamu.
Hata barabara ya Lami kutoka Mbezi haikuwepo.miaka 90 mbali sana
miaka 2000 mwanzoni vijumba vya udongo vilikuwa vingi sana nakumbuka nakuja kwa bibi yangu pale walikuwa wanaita kituo JUMBA JEUPE
kule kinyerezi mwisho ndo kulikuwa kma umeingia kijijini zilipokuwa zinageuzia zile vipanya tulikuwa tunapandia pale majumba sita
kumeanza kuchanganka kuanzia miaka ya 2005 awamu ya kikwete ndio kukaanza kuwana majumba mpk IGP mwema akashushaga jumba huko miaka hiyo
Big Vuzi ni mzawa na mwenyeji wa muda kule makurunge huyu alikuwa na maeneo mengi. Akaanza kuuza viwanja akipata pesa anaoa mke na kula bata, ikiisha anauza kiwanja kingine. Saizi itakuwa kabakiwa na 20x20 za kuishi yeye maana alikuwa na ekari za kutoshaMakurunge kwa kivuzi
Kipunguni palikufurahisha na kipi?Kipunguni...hili jina hili jina mashallah Mashallah...Chipunguni
Wapi hujafika šKwa muda mfupi nilioishi jiji hili nimegundua nimeshafika sehemu nyingi kumbe,
Kuna chocho zimetajwa nimeona wengi wanasema hawapajui ila mi nimeshafika, mongo la ndege, kifuru mpaka pugu, moshi bar kigamboni kuelekea mkuranga huko ndani ndani sikumbuki jina,Wapi hujafika š
Basi wewe mwenyeji sana mjini hapa.Kuna chocho zimetajwa nimeona wengi wanasema hawapajui ila mi nimeshafika, mongo la ndege, kifuru mpaka pugu, moshi bar kigamboni kuelekea mkuranga huko ndani ndani sikumbuki jina,
Buguruni
Mburahati hizi zipo katikati ya jiji kabisa sema ni uswazi haswaa ila mitaa inabadilika sana kuna ndg miaka ya nyuma nilikuwa nafikia hiyo mitaa enzi hizo ilikuwa poa sana, siku hizi napaona km kumebadilika sana kumekuwa km dampo hasa huko mburahati
Na kimara ni kubwa haswa, huko bonyokwa ndani ndaniDar hakuna sijapafika,huko kimara korogwe watu wamujenga mapotomokoniš
Mbondole,Kigezi,Zavala na Mgeule,Kilongaeima,Nzasa na Puna ushafika hizo sehemu...?Kuna chocho zimetajwa nimeona wengi wanasema hawapajui ila mi nimeshafika, mongo la ndege, kifuru mpaka pugu, moshi bar kigamboni kuelekea mkuranga huko ndani ndani sikumbuki jina,
Buguruni
Mburahati hizi zipo katikati ya jiji kabisa sema ni uswazi haswaa ila mitaa inabadilika sana kuna ndg miaka ya nyuma nilikuwa nafikia hiyo mitaa enzi hizo ilikuwa poa sana, siku hizi napaona km kumebadilika sana kumekuwa km dampo hasa huko mburahati
Kwahiyo ujanja ni kujua jiji lote? Kuna watu mnajipaga thamani msio nayo kabisaDar hata uwe mjanja vipi kuna Mitaa tu utaibakiza,,,kuna watunwanajidai wabishi tu humu..
NI mkoa ganiHomboza sio dar
sehemu zingine naonaga tu daladala zimeandikwa hivo na zinajaza balaa lakini sijawai kumuona mtu anasema anakaa hukoViunga gani vya jiji letu la Dar es Salaam unavisikia tu ila haujawahi kufika?
Naanza: nimeishi Dar sijawahi kufika ila nimeshapasikia:
.
- Chanika
- Chamazi
- Makongo juu
- Kivule
- Kiwalani
- Yombo vituka
- Mabwepande
- Mburahati
View attachment 3400445
View attachment 3400458
View attachment 3400447
View attachment 3400478
View attachment 3400449