Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
-
- #101
Kweli wewe ni mwenyeji 🙌Mburahati ni jirani na manzese, kama unaelekea magomeni mkono wa kushoto ndanindani huko au kutoka chuo cha usafirishaji kama ubaelekea mjini kule ndio mburahati huko ni uswazi sana.
Dar mimi sijafika chamanzi ,na yombo ila asilimia kubwa ya dsm naifahamu na nimeshafika dar sehemu ambayo sijafika ni njia ya kusini iliishia mbagala zakhem.
Ila sijui ubungo,kimara mbezi napajua,
Mwenge mbezi beach mlalakua, mbezi beach ya chini kule kwa zena, hanghover, target, kidimbwi, ramada, jangwani seabreez, tegeta, kunduchi hadi kunduchi beach hotel, wazo kule kiwanda cha cement hadi bagamoyo napafahamu, kinondoni magomeni,sinza, upanga oysterbay,masaki mikocheni,posta, kariakoo napajua buguruni tandika buza ,kwa mama kibonge kwa lulenge, kinyerezi ukonga napajua ,tabata segerea,senene ,gereza la segerea kilungule, napajua ,udsm,ardhi university changanikeni makongo juu napajua ,kigamboni nishazukuka hadi kulle dar es salaam zoo. mbutu, kibada, chuo kikuu cha wakorea, daraja la nssf, dege village
Ila hapa wenye macho yao watakuwa wamesoma hiyo sehemu ya "kuwa na gari binafsi" tu 🤣 🤣 🤣 🤣Ukiwa na gari binafsi na unapenda kutembea utazunguka sana dar
Na yeye ndiyo alikuwa anasema hivyo hivyo kuwa hana ndugu wala shughuli huko.Jamani, we chukulia mtu umekulia Oysterbay, unafika Buguruni kivipi na kufanya nini?
Haya ni maeneo ya Dar kweli?Mbopo, zingiziwa, kifuru, bombom kijiwe samli.
Kuna maeneo yako kushoto sana kama unakaa upande mwingine wa jiji.Na yeye ndiyo alikuwa anasema hivyo hivyo kuwa hana ndugu wala shughuli huko.
Haha Bagamoyo moja hiyo ila mi najua Makurunge hiyo kwa kivuzi sijawahi isikia, japo inawezekana ipo maana Bagamoyo nayo ina majina ya ajabu kuna sehemu inaitwa Ukuni, ukiwa mtafutaji wa viwanja hasa ukanda huu wa Dar na Pwani utajua majina ya sehemu nyingiHuku nako ni wapi?
Matembezi tu, mimi na babe wangu hua na desturi ya kujaza mafuta na kutembelea jiji letu na viunga vyake lakini pia tunaweza kunyoosha goti tukavuka mipaka ya jiji na kuingia miji mingine (RoadTrip) tunaenjoy nature na kuona tamaduni mbali mbali.Kila sehemu za jiji umefika kwa shughuli za kikazi au matembezi binafsi?
Ndiyo uzifahamuKulingana na replies za wanajukwaa, nimeona kuna sehemu nyingi sana sizifahamu!
Mimi kuna wakati nilikuwa nazurula tu kujua sehemu tofauti za mji wangu.Kuna maeneo yako kushoto sana kama unakaa upande mwingine wa jiji.
Kuna mitaa hapo bagamoyo panaitwa nia njema pako vzr sanaHaha Bagamoyo moja hiyo ila mi najua Makurunge hiyo kwa kivuzi sijawahi isikia, japo inawezekana ipo maana Bagamoyo nayo ina majina ya ajabu kuna sehemu inaitwa Ukuni, ukiwa mtafutaji wa viwanja hasa ukanda huu wa Dar na Pwani utajua majina ya sehemu nyingi
Ngoja nikipata bebi na mimi nitaanza kuzunguka zunguka, nifike hata kivule na Mburahati!Ndiyo uzifahamu
Ova
Kuruzula muhimu sana unajuwa maeneo mengi na kuna watu wako pembezoni wanaishi banaMimi kuna wakati nilikuwa nazurula tu kujua sehemu tofauti za mji wangu.
We muongo maskini hawakai huku bonyokwaIpo kama unaenda kinyerenzi kule sio kwakukaa
Zurula wenzako tumezurula mpaka sehemu wanazoishi mqbilionea tupu,achana na obay masaki mikocheni sehemu ambazo ww unaona bab kNgoja nikipata bebi na mimi nitaanza kuzunguka zunguka, nifike hata kivule na Mburahati!
Njia ya kusini kupitia mbagala mbelembele kabisa hukoAnayepajua, huku ni wapi?
Kuna njia inatokezea kinyerenzi ukiwa bonyokwaWe muongo maskini hawakai huku bonyokwa
Kuna mwana alikuwa ananizimia sana Tambaza kuna siku akasema wewe leo nakupeleka kwetu Mburahati hujawahi kufika huko.Kuruzula muhimu sana unajuwa maeneo mengi na kuna watu wako pembezoni wanaishi bana
Ova
Mkuu kwani we ni mgeni Dar mbona kuna maeneo kataja hapo ni karibu na mjini kabisa hata kama hujawahi fika hayo maeneo, kama ni mwenyeji wa hili jiji basi lazima utayasikia tu mfano hiyo Bombom kijiwe samli iko Kiwalani ila huko Zingiziwa ndio mbali ni karibu na Chanika, huko Kifuru ni karibu na Kinyerezi ndio kuna barabara ya kuenda Mbezi mwisho halafu Mbopo pia nayo ni mbali iko Mabwepande hukoHaya ni maeneo ya Dar kweli?
Imezungukwa na kinyerezi na gongo la mboto..unasikiaga mtu anaitwa Dk mandai hospital ndo hukoJina tu, nimechoka.
Ndiyo wapi huku?