Mnaojua aina za Roho Mbaya zenye Ukatili na Udhalilishaji wa Kisiasa ndani yake, hii inaitwaje?

Daah tuache tu utani hii inaumiza sana.Kulikuwa na sababu ya msingi aongee kwenye maumivu hivyo.
Au ndio kujibu zile tetesi kuwa alikuwa mgonjwa sana.
Unajuwa uongo ukisemwa sana na pasitokee mtu wa kukanusha watu hufikilia kuwa ndio ukweri huo hivyo kama binaabu ndipo muda mwingine tunaingia ktk kulaumiwa ktk kutafuta kukanusha uongo ulionea
 
Hiyo inaitwa punda afe lkn mzigo wa mwana mfalme ufike
 
Barikiwa sana kwa andiko fupi lililojaa huzuni. Mi naishia hapo.
 
Nafikiri ni Jamaa wa "Kitengo"
 
Hatari sana hii,huyu mzee bado mgonjwa!
Amelazimishwa kuongea na Press?
Serikali isishupaze shingo,Wataalam wa Afya washughulike,wapewe nafasi watimize wajibu wao,Wanasiasa wakae pembeni.
Wanaliangamiza Taifa,"Historia ya Tanzania" itawakumbuka kwa kuangamiza Watanzania.
 

Hujawahi kuona mwanamasumbwi anang'ang'ana kudunduliza point, huku mechi inaelekea ukingoni bila mshindi zahili kwa kukosa umakini anapigwa TKO?

Kimuhemuhe/Kiherehere, kisebusebu na kiroho papo. Unakuwa na tamaa kubwa ya kutimiza dhamila yako bila kujali uhalisia. Mwisho unapoteza mwenendo halisia kwa mujibu wa taratibu.
 
Hii kwenye sheria inaitwa criminal case!

Huwezi mlazimisha mgonjwa afanye kitu ambacho unajua wazi kuwa hali yake bado haijawa katika "full recovery"
Amelazimishwa na nani wakati ameongea akiwa na daktari mkuu BM hospital na jopo zima la madaktari?!!
 
Huu ni ukatili wa kihutu kabisa
 
Sijui familia yake inajiskiaje huyo Mzee bado yuko weak ,pia hata hao wahudumu wa afya hapo hawana barakoa mbele hapo karibu nae !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…