Bishop Hiluka
R I P
- Aug 12, 2011
- 7,150
- 14,730
Rejea kauli yako hii ππNi madaktari!
Au kuna tatizo daktari kumsindikiza mgonjwa?
Hujaona kule kwa PM Boris?!!!
ambayo ilikuwa majibu ya posti yangu ππHuyo atakuwa siyo daktari kitaaluma!
Daktari unapokeaje shinikizo lisilo la kitaaluma?
Usijitoe ufahamu bwashee, hakuna daktari mweledi na anayeijua vema kazi yake anaweza kumruhusu mgonjwa aliye katika hali hiyo kuongea na media kama hakukuwa na shinikizo toka juu...
Mitano tena...
Mkuu kwanza jifunze kujibu hoja bila kujumlisha mtu.Wakati mnazusha kafa ,?kwanini asitoke hadharani athibitishe yu hai?,kuondoa sintofahamu kwa wapiga kura wake?
Mkuu kwa akili hizi za kutoka nje ya mada na kuanza kumuattack mtu Basi tuna kina Mipango wengi mnoHuwa unapata faida gani kupitia uzushi ?
Bei yake inategemeana na jinsi unavyokaribia Kufa au Kufariki Ndugu.Bei ya mtungi mdogo wa oxygen ikoje?
Kwani pale alikuwa ofisini kwake?
Na ndiyo wanaoamua Ufe au Usifariki.Hao wasiovaa barakoa ni jopo la madaktari bingwa!
yuko hoi Aiseee !!! hizi siasa hizi !View attachment 1710523View attachment 1710524
HILO lipo wazi hapa ni chumba cha mikutano ofisini kwake, tazama mazingira ya hiyo picha ni mazingira ya home hayo hapana, lakini pia waliomzunguka ni madaktari, hii inathibitisha kuwa bado ni mgonjwa anafaa kuwa hospitari,sasa anaharaka ya nini?
Unaulizia Uchawi mkubwa Bagamoyo?Kwani karudishwa tena?
Kwani BM hospitali hawana chumba cha mkutano?View attachment 1710523View attachment 1710524
HILO lipo wazi hapa ni chumba cha mikutano ofisini kwake, tazama mazingira ya hiyo picha ni mazingira ya home hayo hapana, lakini pia waliomzunguka ni madaktari, hii inathibitisha kuwa bado ni mgonjwa anafaa kuwa hospitari,sasa anaharaka ya nini?
Asipokubali utamlisha na Kumtunza Wewe?Mpaka chozi limenitoka, kwanini naye akakubali hata kama ni kwa amri ya ofisi number moja?
Only Genius people can understand you.Kalazimishwa na Farao.Farao ukikataa jambo lake anakuua.Kuna mambo mengi hujui,huwezi amini kuwa kilichomuua Maalim wala siyo Corona.Farao alitumia loophole ya Corona kumuua Maalim.Farao ni muuaji ambae huwa hana utani.
Wee jamaa ni Kumbe kichwani zero kabisaa... !!! Hakuna Dr mwenye uwezo wa kuamua mtu aishii hata siku mojaaa..Na ndiyo wanaoamua Ufe au Usifariki.
Kumbe bhasi hata wewe unaweza kumsaliti hata mama ako kisa uteuziAsipokubali utamlisha na Kumtunza Wewe?
Sio Africa. Hivi Trump alisemaje kuhusu Africa?Kwa nchi iliyo-serious mpaka sasa Magufuli angekuwa ameshang'olewa kwa kuhatarisha Afya za wananchi
Kwa hiyo Mpango haugui,umemuona hali yake hapo?Unajuwa uongo ukisemwa sana na pasitokee mtu wa kukanusha watu hufikilia kuwa ndio ukweri huo hivyo kama binaabu ndipo muda mwingine tunaingia ktk kulaumiwa ktk kutafuta kukanusha uongo ulionea
Sijaweza maliza kuangalia uwiii huyo mbona anaumwa sana jamani.Nimeelewa sasa
UKO sahihi yupo chumba cha mikutano hospitali ya BM swali langu la kujiuliza bado halijapoteza maana kulikuwa na sababu ganiza msingi kwa mgonjwa kama kujitokeza mbele ya waandishi wa habari kueleza aliyoeleza,kwa mujibu wa maelezo yake chanzo TBC habari alikuwa anakanusha kuwa yeye mgonjwa yuko fit na ameanza kuchapa kazi,hiyo ni hali ya mtu kuchapa kazi kweli?Kwani BM hospitali hawana chumba cha mkutano?