Mnaokaa Uswahilini (Wilaya ya Temeke) Mungu awafanyie wepesi ndugu zangu. Jana machozi yalinitoka

Temeke hali sio shwari kule kulikuwa ni sehemu ya viwanda, Kinondoni kwa makazi na Ilala ni biashara na Ofisi

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Hapana mkuu. Mkoloni Muingereza ndio aligawa kuwa Temeke watakaa waswahili tabaka la chini, Ilala wahindi ni waarabu tabaka la pili na Kinondoni (Masaki, Oyster Bay) ni wao Wazungu tabaka la juu (ruling class)
 
Wewe ndio uliwazaa? Walikuomba? Wazazi wao wapo.
 
Temeke ni too much mkuu. Mbagala pekee tu funga kazi achilia Tandika na Keko..
 
Alafu huku kuna dogo Jr kula mpaka awekewe kideo. Na kubembelezwa sana.
 
Nature italea, watakaosavaivu hadi mwisho ndo watakaoshinda. Wazaliane tu na Chalamila afute kauli ya kwamba eti waende na gloves, wataweza wapi watu wa aina hiyo?
Waliokuwa wanazaa waliambiwa vya Bure viko wapi?
 
Ila binadamu hapana aisee πŸ˜‚
Kuna watu wanajua kupiga spanaa!

Jamaa amechezea Spana za kutosha! Bora usingeanzisha uzii ukabaki kuwaombea πŸ˜‚.

Hii duniani Mungu ameumba watu! ***** unaweza kufa kwa maneno ya shombo ya wanadamu.

Fanalekiiiiiiii ...
 
Mkuu, hao wote walionipiga spana ni watoto wa Temeke wanaona kama vile ninawadhalilisha wakati ninawaonea huruma..
 
You will be fine... you will be fine... kukosa hata Tsh 500/= mfukoni ni zaidi ya janga. Nitafunga siku 3 bila kula kitimoto rosti ili nikuombee
 
Umetoka vingunguti unaenda kuwacheka wa mwembeyanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…