Mnaokaa Uswahilini (Wilaya ya Temeke) Mungu awafanyie wepesi ndugu zangu. Jana machozi yalinitoka

Mnaokaa Uswahilini (Wilaya ya Temeke) Mungu awafanyie wepesi ndugu zangu. Jana machozi yalinitoka

Temeke hali sio shwari kule kulikuwa ni sehemu ya viwanda, Kinondoni kwa makazi na Ilala ni biashara na Ofisi

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Hapana mkuu. Mkoloni Muingereza ndio aligawa kuwa Temeke watakaa waswahili tabaka la chini, Ilala wahindi ni waarabu tabaka la pili na Kinondoni (Masaki, Oyster Bay) ni wao Wazungu tabaka la juu (ruling class)
 
Mimi ninakaa Wilaya ya Ilala. Jana nilikuwa Wilaya ya Temeke nilishuhudua mida ya mchana badala ya mama kuwapikia watoto (watoto walitoka kucheza wakaja kulalamika njaa) akawapa 500 wote wawili wakanunue bagia na askrimu (ice cream) na ndio imetoka hiyo mpaka Usiku, kulingana na maelezo ya mwenyeji wangu. Sema na mimi nilikuwa majalala, nilibakiwa na nauli tu 2,000, laiti kama ningekuwa na kitu chochote ningeweza kuwaongezea hata 500 nyingine aisee.

Kama hauna pesa ya kumsaidia mtoto masikini, basi mkumbuke hata wakati wa sala au swala.

Daah, uswahilini panatisha wadau, hususan kwa watoto wadogo.
Wewe ndio uliwazaa? Walikuomba? Wazazi wao wapo.
 
Ila Kinondoni ndio kiboko maana inamiliki Mwananyamala, Tandale, Kinondoni mkwajuni na viunga vyake, kuna sehemu nimeisahau jina nako kuna hayo maisha ya jero jero. Daaah.
Vingunguti iko ilala pia ndugu yangu.
Kwa ufupi wakazi wa Dar es salaam hasa wazawa wana hali ngumu sana.
Temeke ni too much mkuu. Mbagala pekee tu funga kazi achilia Tandika na Keko..
 
Nature italea, watakaosavaivu hadi mwisho ndo watakaoshinda. Wazaliane tu na Chalamila afute kauli ya kwamba eti waende na gloves, wataweza wapi watu wa aina hiyo?
Waliokuwa wanazaa waliambiwa vya Bure viko wapi?
 
Ila binadamu hapana aisee 😂
Kuna watu wanajua kupiga spanaa!

Jamaa amechezea Spana za kutosha! Bora usingeanzisha uzii ukabaki kuwaombea 😂.

Hii duniani Mungu ameumba watu! ***** unaweza kufa kwa maneno ya shombo ya wanadamu.

Fanalekiiiiiiii ...
 
Mkuu, hao wote walionipiga spana ni watoto wa Temeke wanaona kama vile ninawadhalilisha wakati ninawaonea huruma..
 
Mimi ninakaa Wilaya ya Ilala. Jana nilikuwa Wilaya ya Temeke nilishuhudia mida ya mchana badala ya mama kuwapikia watoto (watoto walitoka kucheza wakaja kulalamika njaa inawauma) akawapa 500 wote wawili wakanunue bagia na askrimu (ice cream) na ndio imetoka hiyo mpaka Usiku, kulingana na maelezo ya mwenyeji wangu. Sema na mimi nilikuwa majalala, nilibakiwa na nauli tu 2,000, laiti kama ningekuwa na kitu chochote ningeweza kuwaongezea hata 500 nyingine aisee.

Kama hauna pesa ya kumsaidia mtoto masikini, basi mkumbuke hata wakati wa sala au swala.

Daah, uswahilini panatisha wadau, hususan kwa watoto wadogo.
You will be fine... you will be fine... kukosa hata Tsh 500/= mfukoni ni zaidi ya janga. Nitafunga siku 3 bila kula kitimoto rosti ili nikuombee
 
Mimi ninakaa Wilaya ya Ilala. Jana nilikuwa Wilaya ya Temeke nilishuhudia mida ya mchana badala ya mama kuwapikia watoto (watoto walitoka kucheza wakaja kulalamika njaa inawauma) akawapa 500 wote wawili wakanunue bagia na askrimu (ice cream) na ndio imetoka hiyo mpaka Usiku, kulingana na maelezo ya mwenyeji wangu. Sema na mimi nilikuwa majalala, nilibakiwa na nauli tu 2,000, laiti kama ningekuwa na kitu chochote ningeweza kuwaongezea hata 500 nyingine aisee.

Kama hauna pesa ya kumsaidia mtoto masikini, basi mkumbuke hata wakati wa sala au swala.

Daah, uswahilini panatisha wadau, hususan kwa watoto wadogo.
Umetoka vingunguti unaenda kuwacheka wa mwembeyanga
 
Back
Top Bottom