Mnaokaa Uswahilini (Wilaya ya Temeke) Mungu awafanyie wepesi ndugu zangu. Jana machozi yalinitoka

Naona watu wa temeke wame mahindi kiseng yan kutowa siri ya kambiπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kule mbagala Kuna sehemu wanauza ngozii na kende za mbuzi/ ngombe Kuna utumbo wa kuku Kuna supu ya miguu ya nguruwe

Balaa Kuna rafiki angu mmoja alikua anapitia magumu akawa anaenda kula ngozi na supu yake yaan fresh kabisa..
 
Kipindi nakula mdudu nimekula sana. Masikio ya nguruwe miguu hiyo πŸ˜‚πŸ˜‚ saa hizi hapana aseeh

Nimekuwa mlaji wa nguruwe sana lakini kichwa Cha nguruwe sijawahi kiona πŸ˜‚
 
Jamaa mna mwandama buree..Ali maanisha kwa siku ya Jana alipo enda temeke alikua na fixed budget kiasi kwamba asinge weza kutoa jero ingine ya ziada.πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ€£

Nimemuelewa mtoa thread 🧡
Hakuna habari ya fixed budget hapa !, jamaa ni choka mbaya ila ni ile ya nyani haoni kundule!.
Hata kama hana pesa mfukoni si mabanda ya mawakala wa huduma za M pesa tigo pesa yapo kila mahala.
Si angeenda kuwatolea hata 5000 watoto wamalize siku vizuri na yeye akapata thawabu kwa Mungu?
 
Kipindi nakula mdudu nimekula sana. Masikio ya nguruwe miguu hiyo πŸ˜‚πŸ˜‚ saa hizi hapana aseeh

Nimekuwa mlaji wa nguruwe sana lakini kichwa Cha nguruwe sijawahi kiona πŸ˜‚
Mimi supu ya miguu ya chair fire sijawai kula.
Na roho nyepesi kongoro haipiti kabisa kwenye koo...japo Jana nimepiga mdudu wa kukausha nikapiga na spirit kidogo siku ikapita
 
Ulienda Temeke kufanya shuhuli gani au kuiba!?

Manake na ww kumbe hukuwa hata na jero la ziada

Yani ww ni kapuku kama wao tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…