Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
Hekima
muhimu japo wengi wanaona kutukana ndo ushindi nop!!Nzurii hii..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
muhimu japo wengi wanaona kutukana ndo ushindi nop!!Nzurii hii..
Ningesema niliwasaidia wale watoto, mngenirushia tena wale "KWA HIYO NDIO UMEKUJA KIJITANGAZA JF ILI UONEKANE UNA ROHO NZURI??"We ambaye ulikuwa majalala unayeishi Ilala una tofauti ipi na huyo uanmuona ni wa uswahilini??? Ngoja tukuombee
Good.,.. MrPoa mkuu. Nimekusoma..
Naona watu wa temeke wame mahindi kiseng yan kutowa siri ya kambi😂😂Watu wa Temeke wamekuja juu wanaona km umewafanyia namna gani kwenye maeneo yao kuwafanyia utalii wa ndani wa kushtukiza bila kuwapa taarifa halafu mtalii wao ulivyo huna hata soni unatembea na nauli 2 tu hubebi hata hela ya maji ya kunywa au soda km dharula
Kule mbagala Kuna sehemu wanauza ngozii na kende za mbuzi/ ngombe Kuna utumbo wa kuku Kuna supu ya miguu ya nguruweMaisha ya dzm Yana mfanano flani ambao hatutofautianii sana
Ambapo naona hata uswahilini huko wako vzr tuu
Pengine huyo mama mvivu kupika lkn kwa bajeti ya buku mbili akiwa na mkaa au gas mbona anakula vzr tuu 😂😂
Nihamie keko Kuna supu na chapati tamu pale MSD pale 😋😝
Kesha confirm kujifunza huo ndo ukomavu na sio matusi au lugha chafu 👊Hilo limemshinda hata alivyo wasilisha uzi huu kutokana na lugha aliyo tumia.
Nitukana kama mwenzako uone matusi nitakayokuporomoshea. Silei ujinga tena sasa hivi..Hilo limemshinda hata alivyo wasilisha uzi huu kutokana na lugha aliyo tumia.
Hapo amana Mimi mwenyewe muda huu nipo hapa ilala saa 11 nasepaGood.,.. Mr
Tukutane club ya wazee ilala 😂 😂 👊
Mama yako ananipa mabusu km yote baada ya kumpelekea moto😂😂 Unazingua ujue
Watoto wa Temeke, wanahitaji kusaidiwa sana mkuu..Naona watu wa temeke wame mahindi kiseng yan kutowa siri ya kambi😂😂
Kipindi nakula mdudu nimekula sana. Masikio ya nguruwe miguu hiyo 😂😂 saa hizi hapana aseehKule mbagala Kuna sehemu wanauza ngozii na kende za mbuzi/ ngombe Kuna utumbo wa kuku Kuna supu ya miguu ya nguruwe
Balaa Kuna rafiki angu mmoja alikua anapitia magumu akawa anaenda kula ngozi na supu yake yaan fresh kabisa..
DuuhMama yako ananipa mabusu km yote baada ya kumpelekea moto
Ushaanza sasa 😂....Mama yako ananipa mabusu km yote baada ya kumpelekea moto
Oya mzee inatosha sasa usiendelee kujipunguzia value inatosha hapo kwa hio watakuuliza hata msosi ulidundia huko huko Temeke?Sasa katika 2,000 niliyokuwa nimebakiwa nayo, ningetoa 500, ningewezaje kurudi home??..
Haya tulia sasa kaa hapo hapo usihame wala usiondokeUshaanza sasa 😂....
Mkuu basi yatosha😛Sasa katika 2,00 niliyokuwa nimebakiwa nayo, ningetoa 500, ningewezaje kurudi home??..
Hakuna habari ya fixed budget hapa !, jamaa ni choka mbaya ila ni ile ya nyani haoni kundule!.Jamaa mna mwandama buree..Ali maanisha kwa siku ya Jana alipo enda temeke alikua na fixed budget kiasi kwamba asinge weza kutoa jero ingine ya ziada.😅😅😅🤣
Nimemuelewa mtoa thread 🧵
Mimi supu ya miguu ya chair fire sijawai kula.Kipindi nakula mdudu nimekula sana. Masikio ya nguruwe miguu hiyo 😂😂 saa hizi hapana aseeh
Nimekuwa mlaji wa nguruwe sana lakini kichwa Cha nguruwe sijawahi kiona 😂
Mimi Nina shida basi nipo nakula miguu ya kuku hapaHaya tulia sasa kaa hapo hapo usihame wala usiondoke
Ulienda Temeke kufanya shuhuli gani au kuiba!?Mimi ninakaa Wilaya ya Ilala. Jana nilikuwa Wilaya ya Temeke nilishuhudua mida ya mchana badala ya mama kuwapikia watoto (watoto walitoka kucheza wakaja kulalamika njaa) akawapa 500 wote wawili wakanunue bagia na askrimu (ice cream) na ndio imetoka hiyo mpaka Usiku, kulingana na maelezo ya mwenyeji wangu. Sema na mimi nilikuwa majalala, nilibakiwa na nauli tu, laiti kama ningekuwa na kitu chochote ningeweza kuwaongezea hata 500 nyingine aisee.
Kama hauna pesa ya kumsaidia mtoto masikini, basi mkumbuke hata wakati wa sala au swala.
Daah, uswahilini panatisha wadau, hususan kwa watoto wadogo.