Mnaokaa Uswahilini (Wilaya ya Temeke) Mungu awafanyie wepesi ndugu zangu. Jana machozi yalinitoka

Nyie watu πŸƒπŸƒπŸƒ
 
Mimi supu ya miguu ya chair fire sijawai kula.
Na roho nyepesi kongoro haipiti kabisa kwenye koo...japo Jana nimepiga mdudu wa kukausha nikapiga na spirit kidogo siku ikapita
Mzee wangu kwa kipindi Cha 2010' alikuwa butcher man afu pia anajua catering

So kwenye kuandaa ana andaa mwenyewe anajua vizuri

So yeah!! Inakuwa Bomba tuu

Japo mdudu mtamu siku hz simgusi namwona kwa mbali tuu πŸ˜‚ πŸ˜πŸ˜‹πŸ˜‹
 
Kwa Nini humgusi mdudu.
 
Kweli mkuu, mambo magumu,nafuu hata kijijini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…