Mnaokaa Uswahilini (Wilaya ya Temeke) Mungu awafanyie wepesi ndugu zangu. Jana machozi yalinitoka

Mleta uzi kumbe nae mchovu tu hajiwezi,apuuzwe
Sijacheka tangu asubuhi ila jamaa amenichekesha sana.
Kama mmemwelewa sio kwamba anawakejeli Wanatemeke, maana hata yeye hali yake ni mbaya mno.

Ndio kumaanisha kwamba Sio ty watu wa temeke bali Dar es saalam yote na pengine Nchi nzima.
 
Nimekaa Keko miaka 24. Keko Machungwa..
 
Unashangaa mmama kukosa jero ya ziada wakati na wewe mwenyewe haukuwa nayo. Hii ndiyo wawekezaji wanaita both teams to score?
 
Mimi ulienitoa machozi ni wewe mkazi wa ilala uliekosa mia5 ya ziada 😭😭
 
Shida wanafajifanya ma suoer women, ubabe mwingi, na kujikuta wanaweza muda leo watoto peke yao. Hao watoto ukute baba zao wako maeneo hukoo wala hawana hizo shida ndogo ndogo za kumuda ugali mara 2 kwa siku na chai andazi 1 kwa watoto wao
 
Sijacheka tangu asubuhi ila jamaa amenichekesha sana.
Kama mmemwelewa sio kwamba anawakejeli Wanatemeke, maana hata yeye hali yake ni mbaya mno.

Ndio kumaanisha kwamba Sio ty watu wa temeke bali Dar es saalam yote na pengine Nchi nzima.
Temeke hali inatosha mnoo mkuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…