Mnaokula Cone na kuzama chumvini hivi mdomo huohuo ndo unaoutumia kumsifu Mungu?

Watu wengi hawaamini Mungu yupo wanaigiza tu kuamini.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜€Mama uzi wetu vipi mi selewi hapa ujue
Njoo huku chemba

 
Kwa nini huyo Mungu aliumba binadamu waovu wafiraji?

Huyo Mungu Alishindwaje kuumba binadamu wema tu wasio tenda maovu?

Leta uthibitisho wa kwamba huyo Mungu aliteketeza Sodoma na Gomora na si hadithi za Biblia.

Hoja yako na yangu ni tofauti.

1. Umeuliza "kwanini Mungu aliumba binadamu waovu wafiraji" na " huyo Mungu kwanini alishindwa kuumba binadamu wema na wasil tenda wauvu"

Haya ni maswali . Kama una akili timamu uliza au Fungulia uzi tukuelimishe . Irrelevant kabisa

2. Ndio maana nimedeclare hapo juu. Mm nina amini Biblia.

Ww kama unaona ufiraj sio dhambi, ni wewe.

Hilo swali la kwanza na pili liko na maandiko meng tu kwa Biblia na hata Quran.
Najua hujasoma madrasa au mafundisho, ila basi uwe unauliza maswal kistaarab. Ili uelimishwe.

Kama ww ni mpagan. Kaa na iman yako. Hukatazwi
 
Ndio matumizi ya mdomo.
 
Nakuuliza hivi huyo Mungu wenu wa Biblia na Quran kwa nini aumbe binadamu wafiraji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…