Mnaomchukia Rais Samia mna hoja au ni chuki tu?

Kwa comment hii, jipige kifuani na jiita mjinga.
 
Wakati wa mkapa

Mchele 250/=
Mafuta ya kula 459/= lita
Diseli 400/= lita
Tunakwenda mbele mazee haturudi nyuma
Unaongea tofauti ya miaka 15+, yani wewe huna argument kabisa. Tofauti ya mwaka mmoja vitu vimepabda bei, gharama za maisha zimeongezeka mara dufu then unataka kulinganisha ya 2021na 2022 kweli?

Maza yupo yupo tu wala hana ushawishi, goma linaenda autopilot.
 
Reactions: nao
Kuhama nchi unasubiri nini?Beba virago vyako ujikate kislesi mambelembele kwenye maisha laini.
 
Na mshahara atoe unaoendana na gharama anazotoza usiongee kama hayawani. Kila kitu bei juu halafu na mitozo kila kona unaona liko sawa sababu unagewa buku 7 za mapambio Lumumba?

Mtu analipwa laki 7 maisha yamefika million 1. Unataka asilalamike kwa nini!?
 
yaani unajenga nyumba duni alaf unadai haki kwan zserikali ndio ilivunja hizo nyumba?
 
Kukosa hoja huku, yaani umekosa hoja umeamua kuja na cheap answers, rudi ukalale usubiri shemeji akuamshe unywe uji.
Usikasirike mkuu.Toa suluhu.Tufanyaje kama nchi?Halafu kuniambia nilale ili shemeji aniamshe ninywe uji sipendi.Uji wa ulezi?Kwani mimi mgonjwa?
 
Usikasirike mkuu.Toa suluhu.Tufanyaje kama nchi?Halafu kuniambia nilale ili shemeji aniamshe ninywe uji sipendi.Uji wa ulezi?Kwani mimi mgonjwa?
Ukiandika vitu vya hovyo utajibiwa hovyo tu mkuu.

Unalipwa salary inayokatwa kodi(paye), salary yako inaingizwa bank, ukitaka kuchomoa sehemu ya mshahara wako hapo crdb unakatwa service charge za bank then unapigwa TOZO, ukienda kutuma pesa kwa mama yako na ile sehemu ya mshahara unakatwa makato na TOZO, ukiweka wese kwenye mkebe wako kwa sehemu ya mshahara wako unakatwa kodi na TOZO.

UTAKUWA MZIMA KWELI KUSAPOTI HUO UPUMBAVU?
 
Sipati picha unavyofura kwa hasira unapobonyeza ATM!Tuendelee kuhimiza nyongeza yenu ya mishahara inayoenenda na hali ya maisha.Tupunguze matumizi yasiyo ya lazima.Tumia gari lako unapokuwa na safari ya mbali,haraka na ulazima.Epuka michepuko na matumizi ya hovyohovyo ya mapesa(tupesa unatolipwa).
 
Mkuu kwani wew upo abroad?
Nikupe hongera kwa kufurahia haya yanayofanyika, mimi maza na Madelu sioni kitu wanafanya kwa uchumi wa nchi

Maza hana authority, hanaaa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…