The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Utaota hadi 2030 unless Afariki..Tena Huyo Mpango akiwa Rais ndio Maji mtaita mmaaaWe kenge usijibu Kwa hisia huyo mother hakuna kitu hapo.
Nyie watoto wa kinda garden ndo mnamtetea. Hatumpendi Ka nini.
Juzi nimeota DR mpango kaapishwa kuwa Raisi ngoja nisubiri.
Mnaompenda mpende kivyenu.msitulazimishe kushabikia ujinga.
Matizo ni.mengi zaidiya bei ya mafuta.
Mat
Toa ufala hapa,niliuliza unafanya miamala ya kiasi gani kwenye salary inayozodi ongezeko la salary? Nipe Jibu wewe kimba..Na mshahara atoe unaoendana na gharama anazotoza usiongee kama hayawani. Kila kitu bei juu halafu na mitozo kila kona unaona liko sawa sababu unagewa buku 7 za mapambio Lumumba?
Mtu analipwa laki 7 maisha yamefika million 1. Unataka asilalamike kwa nini!?
Kama Nchi gani?Karibia zote mafuta yako juu!!
Vizuri tuanzie hapo na nchi zilizobaki ambazo mafuta yako chini
Kwann tusiwe nchi mojawapo ambazo mafuta yako chini?
Au vita inapiganwa Tanzania??
je ni sisi pekee ambayo vita imetuathiri??
kama jibu n hapana basi umeandika utoporo
We unazingua kmmmkToa ufala hapa,niliuliza unafanya miamala ya kiasi gani kwenye salary inayozodi ongezeko la salary? Nipe Jibu wewe kimba..
Rais kuendelea kuwakenulia watu kama nyie ndio emnaongea Sana ujinga,hapo tuu ndipo nilikuwa namkubali Mwendazake anakupa jibu dry na ukizingua unatekwa unachezea kichapo unakauka mazima,saizi si ana wachekea mnaongea upumbavu..
Tzn inazalisha mafuta? Kwa nini msihamie kwenye maisha rahisi.
Mnachekewa na kudeka kwa mama,Museven,Kagame na wengine around EAC hawakopeshi wanawachana live na mkizongua mnakula chuma..We unazingua kmmmk
We chawa tu kmmmk af huna akili hata moja. Yani sawa na kopo la mkojo. Nchi yetu ina rasilimali kibao ambazo kwa kutumia robo yake tu tungeweza kubadili hali za maisha completely ila sababu wajinga wamejaza madarakani "Never underestimate the power of stupid people in groups"Toa ufala hapa,niliuliza unafanya miamala ya kiasi gani kwenye salary inayozodi ongezeko la salary? Nipe Jibu wewe kimba..
Rais kuendelea kuwakenulia watu kama nyie ndio emnaongea Sana ujinga,hapo tuu ndipo nilikuwa namkubali Mwendazake anakupa jibu dry na ukizingua unatekwa unachezea kichapo unakauka mazima,saizi si ana wachekea mnaongea upumbavu..
Tzn inazalisha mafuta? Kwa nini msihamie kwenye maisha rahisi.
Ruzuku gani mafuta 2,41O??? RUZUKU au kiini macho? Ruzuku ilitakiwa ikate bei ya wese by 5O%Mnachekewa na kudeka kwa mama,Museven,Kagame na wengine around EAC hawakopeshi wanawachana live na mkizongua mnakula chuma..
Tanzania na Kenya ndio wanatoa ruzuku ya mafuta ,Kenya Kwa sababu ya Uchaguzi Tanzania kwa kudekeza watu.
Kwa hiyo Bil.100 inaweza kata Bei kwa nusu au? Umeanza kuwa fala..Ruzuku gani mafuta 2,41O??? RUZUKU au kiini macho? Ruzuku ilitakiwa ikate bei ya wese by 5O%
Bora waache kuita ruzuku. Iwe hata 3600 tu tujue moja. Ruzuku ya tsh.1OO thats a serious jokeKwa hiyo Bil.100 inaweza kata Bei kwa nusu au? Umeanza kuwa fala.
Hata sasa Bei ni 3600 Sumbawanga na Ngara,sio wanajua moja bali wanajua 2 kabisa.Bora waache kuita ruzuku. Iwe hata 3600 tu tujue moja. Ruzuku ya tsh.1OO thats a serious joke
Si bora hiyo bilion mia kila mwezi zijengwe barabara za kilomita mia mia,imagine kila mwezi tarura wanapewa milion miaBora waache kuita ruzuku. Iwe hata 3600 tu tujue moja. Ruzuku ya tsh.1OO thats a serious joke
Eeh hio billion 100 ya mchongo bora ijenge barabara tu waanze kutanua Kibaha hadi Tunduma nafikiri ndani ya mwaka tu itakuwa ishafika TundumaSi bora hiyo bilion mia kila mwezi zijengwe barabara za kilomita mia mia,imagine kila mwezi tarura wanapewa 0 ya milion mia
Serikali haiwezi fuata mawazo ya wewe bogus,wenye mitambo wanaona uafadhari hata 100 ikitolewa sio wewe mwenye kirikuu.Eeh hio billion 100 ya mchongo bora ijenge barabara tu waanze kutanua Kibaha hadi Tunduma nafikiri ndani ya mwaka tu itakuwa ishafika Tunduma
Kazikwe nae ChatoHataa
Jiwe alikua ana foresee mbali, ndiyo maana hata kabla ya nchi kupata upungufu wa chakula mapema kabisa alizui chakula kuuza nje, ndiyo maana bei za vyakula zilikuwa chini, kwa niliyosema ulitaka awe responsible kwa staili gani tena...?Hapa kwenye mafuta na mahindi umeandika ujinga. Yangepanda zaidi ya hivi na wananchi mngenunua kwa kushangilia na yule ambaye angelalamikia mafuta angeambiwa ajaze mkojo wake kwenye gari lake aendeshe. Wapi JPM alikuwa responsible kwa majanga?