CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Huyo Makonda abanwe atoe ushahidi kama ni kweli wapigwe chini tuKwa ukimya wa Kiongozi wa habari na WA mambo ya nje,
Inawezekana kabisa, japo Sina ushahidi, ni maoni yangu tu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo Makonda abanwe atoe ushahidi kama ni kweli wapigwe chini tuKwa ukimya wa Kiongozi wa habari na WA mambo ya nje,
Inawezekana kabisa, japo Sina ushahidi, ni maoni yangu tu!!
Tusijisahaulishe,Hao viongozi wote, mawaziri mpaka rais, wanashindwa kuongea kwenye vikao vyao wakamalizana ndani ya vikao?
Wananchi wakiona viongozi wanazozana kuhusu wao kwa wao kutukanana, ujumbe ni kwamba uongozi mzima ni mbovu, bila ya kujali nani anatukana na nani anatukanwa.
Unaweza kufikiri kauli za Makonda zinawamulika wanaomtukana rais tu, na kumlinda rais, lakini, kiukweli kauli zile zinamuumbua mpaka rais.
Kwa sababu, mawaziri ni wateule wa rais. Ni watu wenye access na mambo mengi. Ni watu wanaotakiwa kuchujwa na kufanyiwa vetting kabla ya kuteuliwa kuwa mawaziri.
Sasa imekuwaje wamtukane rais?
Ni kwamba hawa mawaziri ni watu wa ovyo kabisa kiasi kwamba wanamchafua rais? Ikiwa hawa ni watu wa ovyo, wamewezaje kupenya mpaka kuwa mawaziri? Ina maana rais alizembea katika mchujo wake na vetting ya kuteua watu wawe mawaziri, ameteua watu wa ovyo kuwa mawaziri?
Kama hawa mawaziri ni watu wa ovyo hivyo, basi rais naye ana makosa ya kuteua watu wa ovyo hivyo kuwa mawaziri. Katupatia mawaziri wanaotuletea misukosuko katika uongozi.
Otherwise, mawaziri labda wanasema kweli na hayo yanayosemwa kuwa ni matusi yanaweza kuwa ni fair criticism. Viongozi wameshindwa kukosoana kistaarabu katika vikao huko, rais kakosea wapi mpaka mawaziri wanashindwa kumkosoa kistaarabu katika vikao husika mpaka Makonda anaongelea mambo haya kwenye jukwaa?
How will the president escape this responsibility?
Awataje kama alivyoahidi hiyo J3, maana mtukanaji hajaacha kutukana.Huyo Makonda abanwe atoe ushahidi kama ni kweli wapigwe chini tu
Hujaelewa somo ninaloliongelea.Tusijisahaulishe,
Ilivuja sauti za viongozi wakimnanga Magu, hapo hapo mwingine akachora vikatuni,
Magu aliwaondoa watu hao,
Sa100 kawarudisha akidhani wamejifunza kumbe wapi!!
Kilichobaki awafukuze wote.
Hakuna namna hapo!!
Mfumo mzuri ni KATIBA mpya iliyoasisiwa na Judge Warioba urudi mezani, yafanyike marekebisho na yaongezwe mapya machache,Hujaelewa somo ninaloliongelea.
Unaangalia na kuondoa dalili ya ugonjwa bila kuangalia sababu ya ugonjwa.
Tuseme hawa mawaziri ni watu wa ovyo. For the sake of argument. Tuindoe complexities zote za kisiasa. Tufanye Makonda kasema kweli, Samia kakosewa heshima na mawaziri wake.
Rais kashindwa vipi kuwa na mfumo wa vetting wa kuwagundua hawa ni watu wa ovyo na kuwachuja wasipate uwaziri?
Unasema awafukuze. Sawa. Akiwafukuza bila ya kuwa na mfumo mzuri wa vetting, kuchuja watu anaowateua, unajuaje hao wapya atakaowateua hawatakuwa na matatizo haya haya?
Umejiuliza kwanini Nape na Makamba hawakumshambulia au kumkemea mtukanaji Kwa wakati ilhali wao ndio wenye dhamana katika jambo Hilo?Huyo Mange anahitaji speed control haraka sana. Sijui kwa nini hakuna mbinu ya kumalizana na hii tabia yake, she's too much.
Rais akosolewe kwa maneno ya kawaida, sio kutweza utu wake, yeye ni mama, mke na mkuu wa nchi. Akosolewe kwa namna inayofaa, matusi ya Mange ni uchafu uliopitiliza.
Hata hiyo katiba mpya ni jibu rahisi kwa matatizo magumu.Mfumo mzuri ni KATIBA mpya iliyoasisiwa na Judge Warioba urudi mezani, yafanyike marekebisho na yaongezwe mapya machache,
Hatimaye tupate Tume huru na Katiba mpya kabla ya Uchaguzi wowote.
Lakini kabla ya kufika huko, awatimue wahujumu wote.
KATIBA inahusika vilivyo.Hata hiyo katiba mpya ni jibu rahisi kwa matatizo magumu.
Katiba ya sasa haisemi mawaziri wamtukane rais, in fact imemfanya rais awe kama Mungu mtu.
In fact, tunachotaka kubadilisha kwenye katiba mpya ni kupunguza madaraka ya rais. Innother words, kufanya rais aweze kutukanwa kirahisi zaidi.
Kwa hivyo, hapa hakuna tatizo la kikatiba.
Tuache kuisingizia katiba hata kwenye matatizo yetu mengine ya kiutamaduni tu.
Ukiwa na tatizo la utamaduni, kwa mfano rais kuteua watu bila proper vetting, hilo si tatizo litakalotatuliwa na katiba mpya.
Tuache tabia ya kusingizia katiba mpya kila kitu. Katiba mpya inakuwa kama kichaka cha kutupia uchafu wote.
Viongozi wakizozana kwa kukoseana heshima, rais kuteua bila vetting, hapo katiba mpya inaingiaje?
Huyu upumbavu huu atakuja kulipa,hawezi kumtukana rais hivi.
Binafis naungana na wew kwa asilimia Mia.. Wapewe mshahara usiozid 3M per Month plus na Viposho vya kawaida katika vikao. Bado naamini tutapata wabunge bora zaidi na wanaoweza kuwatetea vyema wananchi. Mawaziri pia ikiwezekana wasitokane na wabunge wawe huru na waliobobea kwenye sector watakazo ziongozaNitaendelea kulia na wafanya maamuzi wa hii nchi hasa wale wasioonekana Kwa public!!
SIASA IWE KAZI YA KIZALENDO SIO KAZI YA MAPESA MENGI NA KUTAJIRIKIA KAMA ILIVYO SASA!!
TUNATAKA MATAJIRI WATOKANE NA KILIMO CHA KISASA,BIASHARA,UELEDI KATIKA ELIMU NA UTAFITI NA SIO SIASA!!
NANI ASIMAMIE HILI NDUGU ZANGU!!?
NANI ATUTOE KWENYE HILI JANGA!!?
NANI ASHUSHE MISHAHARA NA POSHO PLUS ANASA SIASANI!!?SIO MIMI!!?NANI MWINGINE!!?
WABUNGE WAPOKEE ROBO YA MSHAHARA WA SASA NA POSHO ZAO!!SIASA IWE KAZI YA KUJITOLEA NA SIO KAZI YA MAPESA!!
MUNGU IBARIKI Tanzania!
Watanzania tunataka Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi wowote.Swali endekevu kuanzia sasa;
"WATANZANIA MNAMTAKA RAIS WA NAMNA NA AINA GANI?"
Wewe ni Makamba jr?? Mbona unaogopa kujitaja?Unaniuliza mimi tena! Na kama alichorwa hivyo vikatuni na Mawaziri wake, basi na yeye mwenyewe alikuwa ana mapungufu mengi kwenye uongozi wake.
Tume huru ya Uchaguzi na KATIBA mpya ni sasa kabla ya Uchaguzi wowote.Binafis naungana na wew kwa asilimia Mia.. Wapewe mshahara usiozid 3M per Month plus na Viposho vya kawaida katika vikao. Bado naamini tutapata wabunge bora zaidi na wanaoweza kuwatetea vyema wananchi. Mawaziri pia ikiwezekana wasitokane na wabunge wawe huru na waliobobea kwenye sector watakazo ziongoza
Mange is feared by many, sijajua sababu ila yule mropokaji anaogopeka, hasa kama mtu ana makandokando mengi.Umejiuliza kwanini Nape na Makamba hawakumshambulia au kumkemea mtukanaji Kwa wakati ilhali wao ndio wenye dhamana katika jambo Hilo?
Si kwamba wanaogopa kutokana na hujuma waliyomfanyia Magu?Mange is feared by many, sijajua sababu ila yule mropokaji anaogopeka, hasa kama mtu ana makandokando mengi.
Wanajua sana kuhamisha mijadala!!Ccm ni janga kwa taifa la Tanzania
Mamlaka makubwa ya rais yanatakiwa kumpa control kubwa zaidi rais katika kufanya vetting kuchuja watu wa ovyo.KATIBA inahusika vilivyo.
Mamlaka makubwa ya Rais yanatoa mwanya Sanduku la kura kuchezewa na viongozi wasio na Maadili ambao wao wako tayari kufanya lolote kufanikisha agenda zao.
Mawaziri wangekuwa hawatokani na wabunge ,Bali mchakato wa Taasisi huru na Imara isiyoingiliwa na rais, tusingekuwa na mawaziri ambao chama kimewahi kuwatia MIZIGO!!
Matatizo ya nchi yetu, Yana mahusiano ya Moja Kwa moja na Katiba ya nchi.