Mnaomshambulia RC wa Arusha, mnafurahia kiongozi wetu kutukanwa?

Wewe hapo "NAMBA MOJA AJAYE NCHINI"tunaomba utuvushe kwenye mengi kati ya hayo,,Kama kweli utakuwa namba moja kufika Sawa!!
 
tunatakiwa tutofautishe kati kutokubaliana nae, kumponda, kumkosoa, na Kumtukana. Kumtukana na kumkashifu ni kitu ambacho hakikubaliki kabisa. Ila Hakuna shida kumkosoa wala kumpinga.
 
Hii ni maadili Republic
 
tunatakiwa tutofautishe kati kutokubaliana nae, kumponda, kumkosoa, na Kumtukana. Kumtukana na kumkashifu ni kitu ambacho hakikubaliki kabisa. Ila Hakuna shida kumkosoa wala kumpinga.
Hapana.

Hata kumtukana na kumkashifu iwe sawa tu.

Ukianza habari za "kumtukana na kumkashifu haikubaliki ila kutokubaliana naye, kumponda, kumkosoa ni sawa" hapo sasa kutazuka mjadala mkubwa sana wa tofauti ya kumtukana, kumkashifu, kumponda, kumkosoa, kutokubaliana ni nini.

Nikisema "li Samia ni jitu jinga kabisa haliwezi urais linateua watu kuwa mawaziri bila kuwachuja mwishowe wanalitukana", nikasema ninayosema ni kweli ushahidi katoa Makonda, na Samia hajakanusha, hapo sasa nimemtukana, nimemkashifu, sijakubaliana naye, nimemponda au nimemkosoa?
 
Kwani unatakaje mkuu?
Kula mle ninyi peekee yenu wenye kamba ndefu,lkn kusikitika tusikitike pamo1,kuna usawa hapo kweli?
 
Huwa nampinga sana Rc wa Arusha,

Katika hili Yuko sawa,

Sa100 afumbe macho awatimue.
Huyo binti nafikiri walikuwa na dili, maelewano flani hivi na SSH labda mpunga mrefu au labda ubalozi Marekani kwa kumpigania Samia na kudhalilisha JPM.

Alikosa vyote, akaambuliwa kurudishiwa passport yake na kupiga picha mshikaji wake Samia.
 
Huihui2 kwanini hukemei wanaomtukana kiongozi wetu mitandaoni?

We Kila kukicha RC!!
Kuna uhuru wa maoni ambao Rais Samia ameahidi kuuheshimu kwa vile unatambulika kikatiba. Kama kuna matusi basi aggrieved parry ana ruhusa ya kufungua mashtaka kupata haki yake
 
Kuna uhuru wa maoni ambao Rais Samia ameahidi kuuheshimu kwa vile unatambulika kikatiba. Kama kuna matusi basi aggrieved parry ana ruhusa ya kufungua mashtaka kupata haki yake
Uhuru wa Kutoa maoni ya matusi imeandikwa kifungu Gani Cha Katiba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…