TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Kuna namna nyingi ya kurudi Lagos kutoka Abuja! Unaweza kutumia usafiri wa ndege, barabara, treni, au kwa mguu Hata kama utatumia miaka miwili kufika.kama huo wa watu ndani ya Ikulu, na wahudumu ambao kazi zao si za moja...
Una hoja ya maana. Tatizo la watawala wa siku hizi ni umachinga na kushindwa kuwa wabunifu. Ikulu na kumbi za walevi wapi na wapi? Kesho wataingia vyangudoa, wauza madawa na mateja kiasi cha kufanya usalama wa rais kuwa hatarini. Ikulu, kama alivyosema marehemu baba wa taifa, ni mahali patakatifu. Watu wachafu wasiende kule. Kule hakuna biashara. Ni ofisi ya umma. Samia amenikumbusha uhovyo wa mzee Ruhusa na baadaye Njaa Kaya. Sijui hapa tatizo ni malezi au mazingira wala sijui.
Walienda kuchukua ramani ulaya huko sijui nchi gani, na kwa wabongo walivyo wakafikia hotelini wakala bata wakapewa ramani feki, sawa na yule aliyepewa maboksi ya dawa ya korona feki.
Hawa wasomi wetu walishindwa nini kuchora mchoro wa ikulu ?
Ulisikia wapi ikulu ndani mna soko?
Nadhani huyu mama hana mpango na hiyo ikulu kiviile. Mmeshamuona asivyo na vinasaba na Dodoma. Kwahyo ili isikae bure kwa muda mrefu (kama ambavyo tumeshaona), amediversify.Katika nchi yoyote, Ikulu is one of the most, if not the most secure premise. Maana hapo ndio ofisi za madaraka ya juu kabisa.
Pamoja na kupongeza ujenzi wa Ikulu mpya Chamwino, nimeshangazwa sana na mapendekezo mapya ya majengo ya huduma.
Pengine kama sijaelewa maana yake.
-Kutakuwepo na jengo la Samia Complex,
-Ukumbi wa mkutano wa watu 2000 hadi 3000.
-Uwanja wa ndege.
-Jengo la Zanzibar
-Majengo ya East Africa
Sasa hapo nikajiuliza unapokaribisha umati kama huo wa watu ndani ya Ikulu, na wahudumu ambao kazi zao si za moja kwa moja na shughuli za Ikulu, na ukumbi ambao hauna commercial use, maana yake nini kiuhalisia?
Usalama wa Ikulu yenyewe kama hiyo itakuwa na gharama kubwa .
Kwa 98% , majengo pendekezwa yatakuwa hayatumiki kwa day to day business.
Pale Ukumbi wa CCM Jakaya Kikwete, ukumbi uko mjini lakini kuna popo, maana matumizi yake kwa mwezi ni mara moja au mbili.
Kama kuna mikutano mfululizo pengine mara moja ndani ya miezi mitano au sita.
Washauri wa Rais, kwani hamuoni hiyo mis use ya public funds?
Si tu kujenga white ekephants lakini ni kuchezea kodi zetu, ambazo wana Kariakoo wametuwakilisha vema zinavyotuumiza.
Tutamkumbuka Mwalimu aliyesema , Ikulu si mahali pa mchezo mchezo au pango la walanguzi. Ikulu inatakiwa kuwa mahali patakatifu.Nadhani huyu mama hana mpango na hiyo ikulu kiviile. Mmeshamuona asivyo na vinasaba na Dodoma. Kwahyo ili isikae bure tukalalamika, amediversify.
Na kuna ile akili flan ya kusema "mama yuko poa sana, si umeona saivi ikulu tunaingia tuu" hiyo ndo akili wameitarget hapo.
Rais anawasikiliza wahuni. Wao wanachojua ni kuzua kandarasi ili wale cha juu na commission. Hata white house marekani haina uwanja wa ndege. Sasa majengo ya zanzibar jengo la EAC ndani ya ikulu ya nini yote? Kuna mji wa serikali sasa mji wa ikulu wa nini tena🤣😂Katika nchi yoyote, Ikulu is one of the most, if not the most secure premise. Maana hapo ndio ofisi za madaraka ya juu kabisa.
Pamoja na kupongeza ujenzi wa Ikulu mpya Chamwino, nimeshangazwa sana na mapendekezo mapya ya majengo ya huduma.
Pengine kama sijaelewa maana yake.
-Kutakuwepo na jengo la Samia Complex,
-Ukumbi wa mkutano wa watu 2000 hadi 3000.
-Uwanja wa ndege.
-Jengo la Zanzibar
-Majengo ya East Africa
Sasa hapo nikajiuliza unapokaribisha umati kama huo wa watu ndani ya Ikulu, na wahudumu ambao kazi zao si za moja kwa moja na shughuli za Ikulu, na ukumbi ambao hauna commercial use, maana yake nini kiuhalisia?
Usalama wa Ikulu yenyewe kama hiyo itakuwa na gharama kubwa .
Kwa 98% , majengo pendekezwa yatakuwa hayatumiki kwa day to day business.
Pale Ukumbi wa CCM Jakaya Kikwete, ukumbi uko mjini lakini kuna popo, maana matumizi yake kwa mwezi ni mara moja au mbili.
Kama kuna mikutano mfululizo pengine mara moja ndani ya miezi mitano au sita.
Washauri wa Rais, kwani hamuoni hiyo mis use ya public funds?
Si tu kujenga white ekephants lakini ni kuchezea kodi zetu, ambazo wana Kariakoo wametuwakilisha vema zinavyotuumiza.
Wewe twanga sisi tunapepeta.Anzisha mada yako yenye maudhui hayo.
Tukiona makosa ya dhahiri sasa hivi siye tunatwanga tu haijalishi ni nani
Ikulu complex, siyo? ngozi nyeusi tuna shida sana............kwamba hicho ndo tumeona kipaumbele!Rais anawasikiliza wahuni. Wao wanachojua ni kuzua kandarasi ili wale cha juu na commission. Hata white house marekani haina uwanja wa ndege. Sasa majengo ya zanzibar jengo la EAC ndani ya ikulu ya nini yote? Kuna mji wa serikali sasa mji wa ikulu wa nini tena🤣😂
Nikikuweka kama mtu mwenye akili kumbe ni wale wale!Wewe twanga sisi tunapepeta.
Unaonesha hujaupenda ukweli. Swali liko palepale, nani aliyeamuwa makao makuu ya nchi yahamie Dodoma?
Dua ya kuku.Nikikuweka kama mtu mwenye akili kumbe ni wale wale!
Kupeta tunapeta wengi, ila ukinyea kambi kwa gharama za kodi zangu nakufa na wewe, kwa maoni tu!
Kuna watu mna mentality ya laissez faire!Kama ni "kuchezea kodi" basi aliyeleta wazo la kuhamishia makao makuu Dodoma na kuziasisi CDA ndiye mwenye makando makando hayo. Unamkumbuka ni nani?
Du bibie hivi uliwahi kuwa na akili?Dua ya kuku.
Wewe kodi ulipe au usilipe, maamuzi ya kuifanya Dodoma makao makuu ya serikali yalishafanyika mwaka 1971. Kumbuka hilo.
Wale wale!Dua ya kuku.
Wewe kodi ulipe au usilipe, maamuzi ya kuifanya Dodoma makao makuu ya serikali yalishafanyika mwaka 1971. Kumbuka hilo.
Hii nchi kuna wakati unajiuliza hupati jibu. Hivi kwenye maamuzi upande wa Serikali, kuna watu wa namna gani?Katika nchi yoyote, Ikulu is one of the most, if not the most secure premise. Maana hapo ndio ofisi za madaraka ya juu kabisa.
Pamoja na kupongeza ujenzi wa Ikulu mpya Chamwino, nimeshangazwa sana na mapendekezo mapya ya majengo ya huduma.
Pengine kama sijaelewa maana yake.
-Kutakuwepo na jengo la Samia Complex,
-Ukumbi wa mkutano wa watu 2000 hadi 3000.
-Uwanja wa ndege.
-Jengo la Zanzibar
-Majengo ya East Africa
Sasa hapo nikajiuliza unapokaribisha umati kama huo wa watu ndani ya Ikulu, na wahudumu ambao kazi zao si za moja kwa moja na shughuli za Ikulu, na ukumbi ambao hauna commercial use, maana yake nini kiuhalisia?
Usalama wa Ikulu yenyewe kama hiyo itakuwa na gharama kubwa .
Kwa 98% , majengo pendekezwa yatakuwa hayatumiki kwa day to day business.
Pale Ukumbi wa CCM Jakaya Kikwete, ukumbi uko mjini lakini kuna popo, maana matumizi yake kwa mwezi ni mara moja au mbili.
Kama kuna mikutano mfululizo pengine mara moja ndani ya miezi mitano au sita.
Washauri wa Rais, kwani hamuoni hiyo mis use ya public funds?
Si tu kujenga white ekephants lakini ni kuchezea kodi zetu, ambazo wana Kariakoo wametuwakilisha vema zinavyotuumiza.
Kuitatuwa fitna ni lazima tuutafute mzizi wake.Du bibie hivi uliwahi kuwa na akili?
Kinachoongelewa na unachoongea ni vitu viwili tofauti.
Au kama unavyosema mwenyewe , umekaririshwa ujinga!
Critical thinking itatoka wapi kama hakuna critical thinkers?Q
Mizania ya maamuzi ofisi ya Rais kwa masuala kama haya yananipa matatizo kuyawaza kama yamepitia critical thinking.
😀 Hiyo itakuwa siyo Ikulu tena bali ni Chamwino Business Complex Centre.Katika nchi yoyote, Ikulu is one of the most, if not the most secure premise. Maana hapo ndio ofisi za madaraka ya juu kabisa.
Pamoja na kupongeza ujenzi wa Ikulu mpya Chamwino, nimeshangazwa sana na mapendekezo mapya ya majengo ya huduma.
Pengine kama sijaelewa maana yake.
-Kutakuwepo na jengo la Samia Complex,
-Ukumbi wa mkutano wa watu 2000 hadi 3000.
-Uwanja wa ndege.
-Jengo la Zanzibar
-Majengo ya East Africa
Sasa hapo nikajiuliza unapokaribisha umati kama huo wa watu ndani ya Ikulu, na wahudumu ambao kazi zao si za moja kwa moja na shughuli za Ikulu, na ukumbi ambao hauna commercial use, maana yake nini kiuhalisia?
Usalama wa Ikulu yenyewe kama hiyo itakuwa na gharama kubwa .
Kwa 98% , majengo pendekezwa yatakuwa hayatumiki kwa day to day business.
Pale Ukumbi wa CCM Jakaya Kikwete, ukumbi uko mjini lakini kuna popo, maana matumizi yake kwa mwezi ni mara moja au mbili.
Kama kuna mikutano mfululizo pengine mara moja ndani ya miezi mitano au sita.
Washauri wa Rais, kwani hamuoni hiyo mis use ya public funds?
Si tu kujenga white ekephants lakini ni kuchezea kodi zetu, ambazo wana Kariakoo wametuwakilisha vema zinavyotuumiza.
Ni kweli hoja yakoNi kweli kaka lakini kutokana na unyeti wa ikulu na udhaifu wa ulinzi wetu ulio legezwa na wana siasa watu ndio wanakuwa na mashaka na hilo, kumbuka sasa Dunia imekuwa ina mambo mengi sana hasa ya ugaidia nk.