Mnaomuelewa Zuchu mtueleweshe

Mnaomuelewa Zuchu mtueleweshe

Huyu dada katoa ngoma nyingi ila hata moja sijaielewa, nikajua anatubip tu kuna vitu vinakuja...cha kushangaza muda unavyozidi kwenda ndio kama anazidi kutusisitiza hivyo alivyo ndivyo alivyo na tumkubali hivyo hivyo. Naamini hata waliompokea kwa nguvu zote wanakua dissapointed sasa maana ngoma mpya na Mondi nikajua ndo wamemaliza kumbe ndo wanakazia mulemule alimopitia kwenye nyimbo za mwanzo ambazo hata hujui ipi ni ipi zote mulemule na makelele mengi.

Nilianza kupata imani kwenue ngoma ya Karantini ambayo alifanya vizuri japo aliefunika mule ni Queen Darleen na ile verse 'Karantini yangu mi na machizi ni kuparty na usingizi.

Ila tuache utani WCB kama pamoja na kumpika zuchu na tena kumpa collabo na mondi ndio mmetoa project mbovu hivi naanza kuamini sasa hampo serious aisee, nyie hatujawazoea kulipualipua kazi.
Tunakukua we ni Nandy
 
Mtu akikuchukia mara nyingi huwa hana sababu.
Mara Dogo anabebwa na Diamond,Mara Diamond kashuka.Sasa msanii anayeshuka anawezaje kumbeba msanii mchanga.

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Msanii ndio kwanza ana miezi 7 ,kwani hata Harmonize humu JF kulikuwa na threads kibao za kumponda anafanana na Diamond na kuna watu humu humu walidai Harmo hato fika mbali,wakadai Mondi anapoteza hela yake lkn leo ndiye msanii wanaye mkubali.

Zuchu ana miezi saba impact yake inaiona kwamba anazidi kukua ila mwisho wa siku Number zitaongea tu,usichokipenda usikitie hila ukazani wote hawa kipendi kwani Number zinazidi kukuumbua.
Mkuu point yangu ni kwamba pamoja na kutoa ngoma nyingi hana hit song hata moja...angekua katoa ngoma moja au mbili ningekua namuonea
 
Mkuu point yangu ni kwamba pamoja na kutoa ngoma nyingi hana hit song hata moja...angekua katoa ngoma moja au mbili ningekua namuonea
Hit songs kila mtu ana moyo wake na definition yake,wewe huoni ila kuna watu wanaona.

Kwa mimi nyimbo alizotoa nazo zikubali 3 Kwaru,Wana,Litawachoma.Kuna mwengine nae anazake,so hata wewe usipoona si shangai ila kuna wengine wengi wanaona ndio maana Number zinaongea kupitia Boomplay,Youtube,Audiomack nimeona na Apple,kwamba watu wana msikiliza.

So usicho kipenda wewe husizani wengine hawa kipendi.
 
Kwanza lazima tukubali kwamba promo ni kitu cha muhimu sana katika kazi yoyote.

Lakini kumbuka pia wasanii kama Alikiba anapewa promo kubwa sana na media kubwa za burudani hapa nchini kuanzia kwenye redio,tv hadi social media zao, kwa nini katika kipindi chote hicho kaja kupitwa na huyu binti ndani ya kipindi kifupi katika digital platforms mbalimbali???

Inakuwaje mtu wanamsifia, wanasema ana kipaji, ana pata promotion kubwa ya media kubwa halafu mwisho wa siku hawasapoti kazi zake mitandaoni???

Ndio maana nasema kazi nzuri inatembea yenyewe. Kama kazi mbovu hata upewe promo ita buma tu.
Alikiba mchawi ni yeye mwenyewe...ana attitude mbovu ndio maana anabaki palepale siku zote licha ya kupata promo na hata kazi ikiwa nzuri. People need to know that your attitude is your altitude
 
Broh ukitaka kujua uwezo wake zaidi kafuatilie clip alipokuwa anashiriki kwenye Tecno ownstage Nigeria Kama bado unaona hajui kuimba achananae
Kama anajua kuimba kwanini nyimbo zake zote wana zi-auto tune? Tuanzie hapo kwanza
 
Nashauri aimbe taarabu, anachanganya taarab kwenye bongo flava anashindwa kunogesha
Sasa wewe ndio umeanza kunipa mwanga....naanza kuelewa ule mziki wa zuchu unaenda kwenye taarabu kabisa aisee. Nadhani tusimlaumu toka kazaliwa kakuta mamaake anaimba huo mziki sasa nadhan hata kumbadili WCB wameshindwa wameamua wakazie mulemule mahadhi ya pwani
 
Huyu ndio zuchu, anamkimbiza hadi Alikiba kwenye digital platforms.
We dhani streams zote hizi million 4 ni za machizi.View attachment 1571921

Nyie kama hamumuelewi ni kivyenu ila anawafuasi zaidi ya milioni moja kwenye akaunti yake ya instagram katika kipindi kifupi tangu atambulishwe kwenye game.
Hata Mrisho mpoto akitambulishwa WCB Leo...kesho asubuhi anavuka hizo record hapo....in reality huyu msanii in wa kawaida...she is overrated na ndiyo mada husika hapo...uwezo mdogo kuliko jina.
 
Hata Mrisho mpoto akitambulishwa WCB Leo...kesho asubuhi anavuka hizo record hapo....in reality huyu msanii in wa kawaida...she is overrated na ndiyo mada husika hapo...uwezo mdogo kuliko jina.
Problem Ni kipaji au Aina ya mziki anaoimba?
 
Hata Mrisho mpoto akitambulishwa WCB Leo...kesho asubuhi anavuka hizo record hapo....in reality huyu msanii in wa kawaida...she is overrated na ndiyo mada husika hapo...uwezo mdogo kuliko jina.
Lavalava na queen Darleen wapo label gani???
 
Lavalava na queen Darleen wapo label gani???
Lavalava mtoa hapo yupo vizuri na anatoa ngoma Kali na hit song angalia ngoma Kama sexy mama,niue,Habib,Wanga wabaya n.k labda kwa huyo queen darleen
 
Chawa kama Chawa...
Halafu wahuni mtu mmoja ana ID saba kuja kutusumbua tu kaka zao[emoji3][emoji3][emoji3]ukiangalia mwandiko ni ule ule, maswali yaleyale

Mimi kumjadili huyu dogo nilishafunga biashara kabisa
 
Samahani mkuu, huyo chuchu ndio nani..??
Ebu mwenye picha yake tafadhali nione..
 
Halafu wahuni mtu mmoja ana ID saba kuja kutusumbua tu kaka zao[emoji3][emoji3][emoji3]ukiangalia mwandiko ni ule ule, maswali yaleyale

Mimi kumjadili huyu dogo nilishafunga biashara kabisa
Hawa no kuachana nao...mtu unampa fact anakwambia una wivu...ni kuachana nao tu.
 
  • Thanks
Reactions: T11
Lavalava na queen Darleen wapo label gani???
Wapo WCB...ila kwa sasa bosi kawekeza nguvu kwa Zuchu...mbona tunajua halafu mambo ya kawaida tu..Zuchu mwenyewe analijua hilo.
Akiamua mumsikilize Darleen mtamsikiliza tu nyie si watu wa trend bhana...
Muziki ni biashara leo hii Mboso unayemuona yule baada ya kuachwa na Fella alikua fala mmoja tu street huko...sa hizi mnamuimba coz amekuwa signed WCB la sivyo msinge mgrade hapo na hamjawahi kumgrade hapo coz mbosso kaanza kuimba kabla WCB haijamtoa Kondeboy....usitake kupinga power ya promotion ndugu.
Promo ni promo ubora ni ubora, she is overrated mbona usikii watu wa kisema hivyo kwa Vanessa au Jide? yeye aonewe wivu kivipi? Mzuri sana au?
 
Back
Top Bottom