Mnaonaje Rais Samia akiongezwa muda wa kukaa kwenye dhamana na mamlaka yake hadi 2035?

Kwa mujibu wa muongozo huo acha kazi iendeleeeeeeeeee
 
Mshaanza kumchulia ,atakata MOTO kama Mtangulizi wake....Kuchezea katiba bila ridhaa ya wananchi wenyewe ni mikosi ,wabunge hawatuwakilishi sisi bungeni bali wanawakilisha chama,matumbo yao na serikali.
Mkuu, serikali ni nani? Siyo mimi na wewe na wao? Kama ni mimi na wewe basi wanatuwakilisha sisi.
 

Huna ujualo zaidi ya kupiga siasa mfu hapa jukwaani. Naona umejaa nadharia zisizoendana na uhalisia.
 
Kwanini usitumie muda wako kurudi shule ukasome upate elimu ili uweze kuwaza kama mtu!!!?
 
Huna ujualo zaidi ya kupiga siasa mfu hapa jukwaani. Naona umejaa nadharia zisizoendana na uhalisia.
Tupe ushahidi wa unachokisimamia na kukiamini na kujaribu kulisha umma sumu kwamba CAG hana uwezo wa kukagua fedha za Ikulu.
 
Kwanini usitumie muda wako kurudi shule ukasome upate elimu ili uweze kuwaza kama mtu!!!?
Tupe hiyo elimu yako bora uliyonayo badala ya kunyooshea kidole elimu yangu ambayo umeona haitoshi nirudi shule. Mwisho wa mada kuu niliandika hivi:-
"Nini maarifa yako, tupe maoni kwa vigezo na ushahidi"
 
Naunga mkono hoja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…