Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 6,941
- 7,808
Tukiandika ama tukiongea tuanze na neno Mungu akipendaMkuu, ni namna ipi ambayo siyo ya kumkasirisha ili tuelewe tusistahili toba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukiandika ama tukiongea tuanze na neno Mungu akipendaMkuu, ni namna ipi ambayo siyo ya kumkasirisha ili tuelewe tusistahili toba?
Unaonaje na sisi tukisubiri muda ufike?Labda Mwali hajisemei, pengine anasubiri muda ufike.
Where did Tanganyika go and why, after the invasion of Znz? Zanzibar is there and where is Tanganyika? So who is most affected btn Zanzibar that still exists and Tanganyika that is not existing any longer! By the way, you needed to paraphrase your sentence to show whether you meant invasion of Tanganyika or invasion by Tanganyika.As if you know nothing About THE sufferings of Zanzibaris due to this inversion of Tanganyika
Theory of opportunity cost lingers. Why wasting your time?Narudia tena, una uelewa finyu wa haya mambo, utaishia kunipotezea muda.
Haina shida kabisa mkuu, madhali hoja ibaki palepale isichakachuliwe. Naunga mkono hoja yako.Unaonaje na sisi tukisubiri muda ufike?
Wanamkubali ndani na nje ya JMT.Mama samia, 2021-2025 na 2025-2035
Theory of opportunity cost lingers. Why wasting your time?
Kwahiyo tuamini uelewa wako mkubwa kwamba Ikulu iko juu ya Katiba?Narudia tena, una uelewa finyu wa haya mambo, utaishia kunipotezea muda.
Basi pamoja mkuundugu yangu.Haina shida kabisa mkuu, madhali hoja ibaki palepale isichakachuliwe. Naunga mkono hoja yako.
Kwahiyo tuamini uelewa wako mkubwa kwamba Ikulu iko juu ya Katiba?
Revisit your structure by putting your sentence like this:-I'm pretty sure you know nothing, as far as politics is concerning.
Huu Ya
Kwahiyo tuamini uelewa wako mkubwa kwamba Ikulu iko juu ya Katiba?
Am done, imeisha hiyo.Revisit your structure by putting your sentence like this:-
As far as politics is concerned.
NOT
As far as politics is concerning.
Did I SOS you?
Kama unasema nipigie mstari jibu kwamba uelewa wako ni mkubwa kuwa Ikulu iko juu ya katiba kwamba haiwezi kukaguliwa na CAG basi kumbe Rais ambaye ndiye Mkuu wa taasisi ya Ikulu aongoze milele kwa kutumia uelewa wako kwamba yuko juu ya katiba.Unauliza au unapigia jibu mstari?
Tanganyika ipo imelivaa koti la muungano.Where did Tanganyika go and why, after the invasion of Znz? Zanzibar is there and where is Tanganyika? So who is most affected btn Zanzibar that still exists and Tanganyika that is not existing any longer! By the way, you needed to paraphrase your sentence to show whether you meant invasion of Tanganyika or invasion by Tanganyika.
Tanganyika ipo imelivaa kitu la muungano.
Kuhusu invasion of Zanzibar
Msikilize Lukuvi anaongea nini kanisani
Anapaswa kuandika katiba mpya ndo aanzie hapo ili aisimamie kwa miaka 10 aione kama ni katibat mzuriNachokoza mada.
Wadau mnaonaje kama Rais Samia akiongezwa muda wa kukaa kwenye dhamana na mamlaka yake hadi 2035? Kwa kuwa Rais Samia alichukuwa nafasi yake kufuatia mauti ya mtangulizi wake mwanzo wa safari na kwamba hakukuwa na utaratibu wa mila na desturi ya uchaguzi bali ilikuwa ni kutimiza matakwa ya katiba.
Kiuhalali na kwa haki kwake, anastahili kuwa wa pili nyuma ya Mwl Nyerere kwa kukaa ofisini kwa miaka 15 kwa maana ya miaka aliyopokea kijiti kwa sharti la katiba na ndipo sasa astahili utaratibu wa mila na desturi yetu ya uchaguzi ambapo anaruhusiwa awamu mbili 2025 – 2035?
Nini maarifa yako, tupe maoni kwa vigezo na ushahidi.