Mnaoomba Mungu na anawasikiliza uwa mnatumia mbinu gani?

Pole sana
 
Mtakatifu Rita wa Cascia (St. Rita of Cascia) alitangazwa mtakatifu si kwa kufanya miujiza mingi akiwa hai, bali kwa sababu ya uvumilivu wake wa ajabu, msamaha wa kweli, na maisha ya utakatifu wa kila siku katika mazingira magumu sana.

Maisha yake yalivyompelekea utakatifu:
1. Aliolewa kwa kulazimishwa na mume katili, mwenye hasira, na mshiriki wa vita vya kikoo.
2. Alivumilia ndoa ngumu kwa miaka 18 lakini aliendelea kumwombea mumewe hadi mume alibadilika kisha akauawa na maadui wake.
3. Watoto wake wawili walitaka kulipiza kisasi, lakini Rita aliomba waondolewe (wakafa kwa ugonjwa) ili wasitende dhambi ya kuua.
4. Aliomba kujiunga na watawa lakini alikataliwa mara kadhaa hadi akaingia kwa miujiza (mlango wa monasteri ulifunguliwa ghafla).
5. Alipokea jeraha la taji ya miiba ya Yesu kichwani lililodumu kwa miaka 15 – ishara ya kushiriki mateso ya Kristo.
6. Miujiza baada ya kifo: Mzoga wake haukuharibika kwa miaka mingi; maua yaliota msituni katikati ya baridi kali (ishara ya neema); na watu walioponywa kwa maombi kupitia yeye.

Sababu za kutangazwa mtakatifu:
  • Maisha ya kujikana, uvumilivu, msamaha wa kipekee, na imani thabiti.
  • Miujiza baada ya kifo wake ndiyo iliyotimiza vigezo vya Kanisa kwa utakatifu.

AKASALI NOVENA YA MTAKATIFU RITHA
 
Pole kwa changamoto hizo. Kama unajua Mungu yupo huko kwa waganga ulienda kufanya nini? Sasa naomba nikupe ushauri ufuatao:
1. Acha kujilaumu maana haupo peke yako unayepitia changamoto za kimaisha. Wapo wengi tu.
2. Ukiona umetumia akili fedha na nguvu zako zote na mabadiliko hakuna basi tambua kuwa kuna miungu ipo nyuma ya tatizo kako.
3. Inawezekana kuna miungu ya familia na ukoo ambayo inakuzuia kwa kuwa hujafuata masharti ya maagano yaliyopo kwenye familia.
4. Inawezekana Mungu anakutafuta ukamtumikie na wewe unapiga chenga.
SULUHISHO:
Tafuta Mchungaji wa kweli akuombee na kukupa counseling. Ukipata maongozi ya Mungu utafanikiwa. Ngoja nikupe namba ya Mchungaji ambaye naamini ataweza kukuombea ukafunguliwa.
0745940766.
 

Ungefanya hivi

Ungetaja umri wako

Elimu yako na uzoefu wa Kazi

Sehemu ulipo

Baada ya hapa ungetafuta Kazi /kibarua kwakuwa swala la Kazi ni swala la network zaidi na wala sio la kiroho.


Baada ya hapo ungejicheki kuhusu mtazamo wako kuhusu maisha kiujumla .

Je wewe ni negative person au positive person.

Ikiwa upo negative jitahidi uwe positive.

Kikawaida na hii utauliza watu wazima waliokuzidi umri wataifafanua IPO hivi ukiwa unakaa na huzuni ,kulalamika Sana Fahamu tu utaivuta Sana hiyo hali kwako .

Kitaalamu zaidi unachowaza huwa kinakutokea hivyo hata Kama upo broke na hauna chochote just sound like money and think about money .

Jambo la tatu .

Mwanamke na mtoto -don't chase women don't force anyone to be ur baby mama .

Nne

Jipende kula vizuri , vaa vizuri avoid drama , be humble .


Kuhusu maombi hakuna maombi yatabadilisha maisha yako Ila ile hali yako ya ndani ndo itabadilisha mambo .


Unabidi kumpenda Mungu na kumshukuru hiyo ndo dua kubwa .

Na jitahidi ufanye meditation , give back to ur community love ur self and love people

ur time is near .
 
Nimeroga sana ndugu yangu, hata uzima wangu niliupata kwa mganga wa kipemba. Nilikaa mwaka nadondoka hovyo hospital awaoni ugonjwa nikaponea kwa mganga ila kuna mambo alijaribu ya rizki naona akachemka.
Hapo ndipo ulikochemka. Hayo mapepo ya waganga ndiyo tamekufunga. Mtafute huyo mchungaji nimekupa namba. Mtafute haraka. Kama hapatikani muandikie tu msg kwamba unahitaji maombi kuna mtu kakupa namba yake.
 
Sahihi sana
 
Mkuu cha kwanza fanya kuibadili kwanza akili yako, kila kitu huanzia katika mind.....ondoa hizo negativity, kwamba una gundu, haukubaliki n.k n.k iambie tu akili hizo ni nyakati ngumu zitapita.

Angalia na mema pia na ushukuru, u mzima hata unapata nafsi ya kuandika hapa, kuna mwingine yupo hospital hana hata uhakika wa kuiona kesho....kwanini usishukuru??

DR HAYA LAND psychological support inahitajika
 
 
Funga siku tatu
Sali asubuhi,mchana na jioni

1)Omba toba nusu SAA
2.Hakikisha unaokoka kabisa
3)Sifa na kuabudu mfano mfano Yesu mwanaume zaidi ya wanaume na maneno mengi ya kusifu maana alipambana

3.Ingia sasa Katika maombi yako huku unatumia damu ya Yesu iongee juu ya maisha yako,adui yako,kazi yako

Simamia Yeremia 31;33-34
N.b kusifu na kuabudu huku ukitumia Jina la Yesu Katika damu Yesu ni njia za majibu ya haraka sana
 
Unajiuliza Mungu unamkosea wapi, wakat unashinda kwa waganga, huwezi ukamuomba mtu asiyekuwa na mahusiano naye, tengeneza mahusiano yako na Mungu unayemuomba, sio unaomba huku unaendelea kuhangaika kwa namna nyingine huwezi kusaidia sasa sisi wengine tulifanikiwa kwenye kuomba baada ya kutengeneza mahusiano na Mungu, kibinadamu tu wanasema tengeneza connection sasabunashindwaje kutengeneza hiyo connection kwa Mungu?
 

Noted
 
Ushamjua shangazi yako si umfate na panga, mtandike bapa 5 za mgongo halafu mpe muda wa kukufungua lasivyo km bado ukirudi tena inakua baba Jeni bye bye..!! 😹😹😹

Kuna ndugu vigagu sana bila kuwatetemesha utakufa maskini oohh..!!
 
Ushamjua shangazi yako si umfate na panga, mtandike bapa 5 za mgongo halafu mpe muda wa kukufungua lasivyo km bado ukirudi tena inakua baba Jeni bye bye..!! 😹😹😹

Kuna ndugu vigagu sana bila kuwatetemesha utakufa maskini oohh..!!
Nilimfata ni story ndefu ila niliwekwa ndani niliangaika sana dhamana so sikurudia tena namzoom tu kwa mbali.
 
Pole sana mkuu everything will be fine at the right time.
 
Nineshafanya hii ila Mungu hajawai nisikiliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…