Mnaoomba Mungu na anawasikiliza uwa mnatumia mbinu gani?

Hii mindset imekuja automatically sababu kwa nini ni mimi tu ndio sipati?

MBona kuna watu ni wabaya sana hawajui ibada wala hawathamini utu lakini Mungu anawabariki? Mimi nimemkosea nini mpaka aniache niteseke miaka yote hiyo?
Unapoteza muda kuomba na kwenda kwa waganga. Ukijiona una tatizo, tafuta suluhisho sahihi. Kama unaumwa nenda hospitali, kama hupati kazi, tafuta washauri wa masuala ya ajira..kama hukai na mwanamke, tafuta wanasaikolojia wa mahusiano..n.k
Acha kuleta imani kwenye mambo halisi ya duniani..

Pili, hakuna Mungu anayewabariki hao wabaya unaowasema. Watu wanamchapa kazi kwa bidii, wanafanikiwa kupiga hatua. Si kukaa kusubiri miujiza.
 
Naomba nikushauri mambo yafuatayo!

Sababu za maombi yako kutojibiwa.
  1. Wewe ni mwenye dhambi na hujawahi kukiri, kutubu na kuamua kuacha dhambi zako. Kwenye maelekezo yako yote sijaona mahali uliposema umefanya toba ya kweli kwa kipindi fulani, badala yake umeanza moja kwa moja na kuomba Mungu akusaide wakati Mungu hasikii wala hajishughulishi na maombi ya mwenye dhambi kama hajatubu kuhusu dhambi hiyo. Soma hapa Isaya 1:5, Isaya 59:2, Mithali 15:8, Mithali 15:29, Yeremia 14:10-12, Mika 3:4, Yohana 9:31, 1 Petro 3:12
  2. Wewe ubawaza zaidi mafanikio na sio kuyatenda mapenzi yake. Yaani ninachokiona hapo wewe unataka tu hizo shida zikutoke ili ufanikiwe kama hao wenzako, lakini habari ya ufalme wa Mungu huma mda nao. Ulishawahi kujiuliza, ukifa kama leo utakuwa wapi siku ya unyakuo? Neno la Mungu linasema "Tafuteni kwanza ufalme wa Mungu, na mengine mtazidishiwa" Mathayo 6:33 Sasa ninachokiona kwako unatafuta kwanza mafanikio, hutaki ufalme wa Mungu ndio maana maombi yako yote ni kuhusu shida zako tu na sio toba na kutenda matendo mema yanayompendeza Mungu. Kwa hiyo.
  3. Wewe ni mali ya shetani/ ibilisi na una maagano naye, hivyo Mungu hawezi hata kusikia unachokilmba, achilia mbali kusikiliza unavhokiomba. Wewe umefunga maagano mengi sana na shetani wakati unaloga ili ufanikiwe au kuondoa mikosi. Kwa hiyo hiyo ilimpa ibilisi nafasi na kufanya chochote anachotaka kuhusu wewe, na Mungu wala hakujali. Pia, umefungishwa maagano na watu wengine, babu na bibi zako wajomba na shangazi, ndugu n.k. kwa hiyo hivyo vyote vinakuondolea uhalali mbele za Mungu. Hivyo, ni lazima umpokee Yesu kristo kama Bwana na Mwokozi wa maisha yako, utubu na kuacha dhambi zako zote, ufanye matendo mema pekee yanayompendeza Mungu ili ufunge milango ya yale maagano, utengue maagano yote ya damu, maneno na sadaka au namna nyingine yoyote uliyoingia wewe kwa kujua au kutokujua, pia utengue maagano yote yaliyoingiwa kwa ajili yako na watu wengine. Hapa lazima umpate kiongozi wa kiroho kweli kweli, sio yule anayehubiri habari za mafanikio ya kifedha. Ni lazima kufanya maombi ya vita vikali sana ili kuvunja hayo maagano yote.
Ushauri
  1. Kama unataka msaada, acha kabisa kuwaza habari za mafanikio, waza kuhusu ufalme wa mbinguni kwanza
  2. Kwa wanaomtumikia Mungu, mafanikio ni baraka wanazozipata baada ya kuwa na uhakika wa ufalme wa mbinguni, sio eti upate hela kwanza ndio mengine yafuate.
  3. Tafuta kiongozi wa kiroho mwenye viwango vya juu dana vya Imani na nguvu ya kiroho, ili akusaidie katika kuvunja maagano uliyonayo na kuzimu.
  4. Narudia tena, usiwaze mafanikio, waza uzima wa milele kwanza, mengine utazidishiwa maana hujui kusudi la Mungu juu yako ni lipi
Roho mtakatifu akuongoze vyema
 
Hadi una masters means umebarikiwa . Asilimia chache ya watanzania wenye elimu kama yako . Wengine waliishia form 1 .Kua na Imani, to God patience is faith .
 
Tafuta mganga akupigie ramli na akupatie matatizo uliyonayo kama kweli yameendana na ramli hadi pale utauliza maswali unao uwezo kuniondolea na kunipa kunikinga na nyota yangu kuing'arisha? na tatizo unatakiwa uhame hiyo sehemu unayoishi, yawezekana wabaya wako unao karibu, na jambo jingine inatakiwa uwe na siri sana katika mambo haya. haya matatizo hata mimi nilikua nalo niliteseka sana, jambo bado kunakitu hakijafunguka lakini njia naiona.
 
Kuna watu awatumii nguvu wakitaka mambo yao yanawaendea tu. Ukiuliza wanasema ni kudra za mwenyezi Mungu kwa hiyo dawa ni kumuomba Mungu bila kuchoka.

Niwapeni tu mkasa kuhusu maisha yangu. Mimi ni mtu ambaye nna uhakika nimekumbwa na mkosi au gundu. Nna miaka mingi sana najitafuta ili niweze kutoboa lakini juhudi zangu hazizai matunda. Naweza kusema maisha yangu yenye furaha tangu niwe mtu mzima najitegemea yalikuwa ni miaka mitatu tu zaidi ya hapo mpk leo hii haijawai tokea siku nikawa na furaha mimi ni huzuni, upweke majuto majonzi ndio sehemu ya maisha yangu.
Lakini nikitazama sina tofauti yoyote na wenzagu waliofanikiwa.

Kama elimu nnayo masters kabisa ila siajiriki na nikipata kibarua basi ni cha nguvu nyingi sana.

Nna umri mkubwa sana ila sina mke wala watoto. Nipo vizuri kiafya naweza kupiga mzigo na kuzalisha sina dosari. Ila wanawake tukifikia stage ya ndoa au kupata mtoto either ana-abort au hataki kupata mtoto na mimi kifupi sio sweetheart kwa wanawake hawakai karibu na mimi.

Kwa maarifa niliyonayo niliwai anzisha miradi ya biashara na kijamii ila niliishia kuunguza pesa kila kitu kikafa yani mimi wateja kwangu kilikuwa kituo cha polisi.

Magonjwa, kutokubalika, kuonewa, kutapeliwa yani hivi vyote ni sehemu ya maisha yangu. Natumia pesa na muda mwingi kujitibia maradhi ambayo mengine yashakuwa ya kuishi nayo.

Nimejaribu kufanya mengi kujinasua nitoke kwenye hii dhahma lakini sitoki na kubwa nalofanya ni kuomba Mungu kwa bidiii sana. DSM hii hakuna kanisa sijaingia.

Nishaenda kwa waganga wa aina zote wa vitabu na wamanyanga, bara, pwani mpaka pemba lakini hakuna jipya nililopata maisha yangu ni yale yale. Nilichoelezwa ni huyo ndugu yangu anaenifanyia haya ni aunt yangu lakini ni kama hawajaweza mzuia.
Naomba sana Mungu haswa sala za usiku japo kwa sasa nimesitisha baada ya kuchoka.

Mpaka uwa najiuliza huyu Mungu nakosea vipi kumuomba?

Uwa anisikii au kama ananisikia uwa namkwaza kipi kisichosameheka?

Mbona kuna watu ni wabaya sana machoni lakini wanafanikiwa au wakisota basi miaka mitatu minne mambo yanatulia. Mimi nakosea wapi mpaka kustahili haya maisha?

Mungu natakiwa nimuombe vipi au nimtolee nini ili anipumzishe na mimi kwenye msoto?

Mwenye maarifa naomba nisaidie nimekwama sana.
Nenda Malawi kwa waganga
 
Unaweza kuwa unaishi laana za mababu au baraka za mababu
Yani mambo yanaweza kuwa bora bila juhudi zozote au kuwa mabaya pamoja na juhudi nyingi
Mungu yupo mkuu kwa uhakika kabisa me naweza kutoa ushuhuda wa mambo kadhaa yaliyowahi kunitokea
🚮
 
You waste ur time and energy ugumu wako wa maisha umesababishwa na sisiemu there's nothing called Prayers

God exist

Utaibiwa na kutapeliwa
 
Kuna watu awatumii nguvu wakitaka mambo yao yanawaendea tu. Ukiuliza wanasema ni kudra za mwenyezi Mungu kwa hiyo dawa ni kumuomba Mungu bila kuchoka.

Niwapeni tu mkasa kuhusu maisha yangu. Mimi ni mtu ambaye nna uhakika nimekumbwa na mkosi au gundu. Nna miaka mingi sana najitafuta ili niweze kutoboa lakini juhudi zangu hazizai matunda. Naweza kusema maisha yangu yenye furaha tangu niwe mtu mzima najitegemea yalikuwa ni miaka mitatu tu zaidi ya hapo mpk leo hii haijawai tokea siku nikawa na furaha mimi ni huzuni, upweke majuto majonzi ndio sehemu ya maisha yangu.
Lakini nikitazama sina tofauti yoyote na wenzagu waliofanikiwa.

Kama elimu nnayo masters kabisa ila siajiriki na nikipata kibarua basi ni cha nguvu nyingi sana.

Nna umri mkubwa sana ila sina mke wala watoto. Nipo vizuri kiafya naweza kupiga mzigo na kuzalisha sina dosari. Ila wanawake tukifikia stage ya ndoa au kupata mtoto either ana-abort au hataki kupata mtoto na mimi kifupi sio sweetheart kwa wanawake hawakai karibu na mimi.

Kwa maarifa niliyonayo niliwai anzisha miradi ya biashara na kijamii ila niliishia kuunguza pesa kila kitu kikafa yani mimi wateja kwangu kilikuwa kituo cha polisi.

Magonjwa, kutokubalika, kuonewa, kutapeliwa yani hivi vyote ni sehemu ya maisha yangu. Natumia pesa na muda mwingi kujitibia maradhi ambayo mengine yashakuwa ya kuishi nayo.

Nimejaribu kufanya mengi kujinasua nitoke kwenye hii dhahma lakini sitoki na kubwa nalofanya ni kuomba Mungu kwa bidiii sana. DSM hii hakuna kanisa sijaingia.

Nishaenda kwa waganga wa aina zote wa vitabu na wamanyanga, bara, pwani mpaka pemba lakini hakuna jipya nililopata maisha yangu ni yale yale. Nilichoelezwa ni huyo ndugu yangu anaenifanyia haya ni aunt yangu lakini ni kama hawajaweza mzuia.
Naomba sana Mungu haswa sala za usiku japo kwa sasa nimesitisha baada ya kuchoka.

Mpaka uwa najiuliza huyu Mungu nakosea vipi kumuomba?

Uwa anisikii au kama ananisikia uwa namkwaza kipi kisichosameheka?

Mbona kuna watu ni wabaya sana machoni lakini wanafanikiwa au wakisota basi miaka mitatu minne mambo yanatulia. Mimi nakosea wapi mpaka kustahili haya maisha?

Mungu natakiwa nimuombe vipi au nimtolee nini ili anipumzishe na mimi kwenye msoto?

Mwenye maarifa naomba nisaidie nimekwama sana.

Hatuna tofauti sema mim ni ke ila kwa waganga sijaenda nafikiria nijaribu upande huo
 
Mungu nmemtumaini sana ,nilichojifunza haina haja ya kumsumbua sana yeye ni muweza na anajua magumu yetu kumuomba ni kumkumbusha wajibu wake.

Nilichoamua litakalo kuwa na liwe
 
Naomba nikushauri mambo yafuatayo!

Sababu za maombi yako kutojibiwa.
  1. Wewe ni mwenye dhambi na hujawahi kukiri, kutubu na kuamua kuacha dhambi zako. Kwenye maelekezo yako yote sijaona mahali uliposema umefanya toba ya kweli kwa kipindi fulani, badala yake umeanza moja kwa moja na kuomba Mungu akusaide wakati Mungu hasikii wala hajishughulishi na maombi ya mwenye dhambi kama hajatubu kuhusu dhambi hiyo. Soma hapa Isaya 1:5, Isaya 59:2, Mithali 15:8, Mithali 15:29, Yeremia 14:10-12, Mika 3:4, Yohana 9:31, 1 Petro 3:12
  2. Wewe ubawaza zaidi mafanikio na sio kuyatenda mapenzi yake. Yaani ninachokiona hapo wewe unataka tu hizo shida zikutoke ili ufanikiwe kama hao wenzako, lakini habari ya ufalme wa Mungu huma mda nao. Ulishawahi kujiuliza, ukifa kama leo utakuwa wapi siku ya unyakuo? Neno la Mungu linasema "Tafuteni kwanza ufalme wa Mungu, na mengine mtazidishiwa" Mathayo 6:33 Sasa ninachokiona kwako unatafuta kwanza mafanikio, hutaki ufalme wa Mungu ndio maana maombi yako yote ni kuhusu shida zako tu na sio toba na kutenda matendo mema yanayompendeza Mungu. Kwa hiyo.
  3. Wewe ni mali ya shetani/ ibilisi na una maagano naye, hivyo Mungu hawezi hata kusikia unachokilmba, achilia mbali kusikiliza unavhokiomba. Wewe umefunga maagano mengi sana na shetani wakati unaloga ili ufanikiwe au kuondoa mikosi. Kwa hiyo hiyo ilimpa ibilisi nafasi na kufanya chochote anachotaka kuhusu wewe, na Mungu wala hakujali. Pia, umefungishwa maagano na watu wengine, babu na bibi zako wajomba na shangazi, ndugu n.k. kwa hiyo hivyo vyote vinakuondolea uhalali mbele za Mungu. Hivyo, ni lazima umpokee Yesu kristo kama Bwana na Mwokozi wa maisha yako, utubu na kuacha dhambi zako zote, ufanye matendo mema pekee yanayompendeza Mungu ili ufunge milango ya yale maagano, utengue maagano yote ya damu, maneno na sadaka au namna nyingine yoyote uliyoingia wewe kwa kujua au kutokujua, pia utengue maagano yote yaliyoingiwa kwa ajili yako na watu wengine. Hapa lazima umpate kiongozi wa kiroho kweli kweli, sio yule anayehubiri habari za mafanikio ya kifedha. Ni lazima kufanya maombi ya vita vikali sana ili kuvunja hayo maagano yote.
Ushauri
  1. Kama unataka msaada, acha kabisa kuwaza habari za mafanikio, waza kuhusu ufalme wa mbinguni kwanza
  2. Kwa wanaomtumikia Mungu, mafanikio ni baraka wanazozipata baada ya kuwa na uhakika wa ufalme wa mbinguni, sio eti upate hela kwanza ndio mengine yafuate.
  3. Tafuta kiongozi wa kiroho mwenye viwango vya juu dana vya Imani na nguvu ya kiroho, ili akusaidie katika kuvunja maagano uliyonayo na kuzimu.
  4. Narudia tena, usiwaze mafanikio, waza uzima wa milele kwanza, mengine utazidishiwa maana hujui kusudi la Mungu juu yako ni lipi
Roho mtakatifu akuongoze vyema
Hii hukumu uliyonipa sio ya kweli. Mungu naongea nae kwa unyenyekevu mkubwa na kumuomba msamaha na kumtegemea ila hanisikilizi.
Unasema waliofanikiwa ni walio karibu na Mungu sio kweli kuna watu hawaamini kabisa hata huyu Mungu kama yupo na wamefanikiwa mno kuliko wewe.
 
Tafuta mganga akupigie ramli na akupatie matatizo uliyonayo kama kweli yameendana na ramli hadi pale utauliza maswali unao uwezo kuniondolea na kunipa kunikinga na nyota yangu kuing'arisha? na tatizo unatakiwa uhame hiyo sehemu unayoishi, yawezekana wabaya wako unao karibu, na jambo jingine inatakiwa uwe na siri sana katika mambo haya. haya matatizo hata mimi nilikua nalo niliteseka sana, jambo bado kunakitu hakijafunguka lakini njia naiona.
Nimeshaenda kwa waganga wengi 95% wanasema ni auntie yangu ndio alieyenifanyia hivi na nilishamchana live akaniweka ndani. So kuaguliwa nimizunguka ikashindikana wataalam wanasema alitumia mnyama mzito kufanya kafara nahitaji damu ya miguu minne hapo ndio niliachana na huo upande maana gharama zilinishinda walikuwa wakitoa yeye anaweka wakitoa yeye anaweka wakasema hapo lazima watumie mnyama miguu minne bila hivyo atanisumbua forever
 
Unapoteza muda kuomba na kwenda kwa waganga. Ukijiona una tatizo, tafuta suluhisho sahihi. Kama unaumwa nenda hospitali, kama hupati kazi, tafuta washauri wa masuala ya ajira..kama hukai na mwanamke, tafuta wanasaikolojia wa mahusiano..n.k
Acha kuleta imani kwenye mambo halisi ya duniani..

Pili, hakuna Mungu anayewabariki hao wabaya unaowasema. Watu wanamchapa kazi kwa bidii, wanafanikiwa kupiga hatua. Si kukaa kusubiri miujiza.
Nafanya sana kazi kwa bidiii sana sana pia nna thamini mno kazi nayopewa. Anyway haya nayoyasema hapa kwako ni theories hujui practical experience nna face nini.
 
Usiangalie hili kwa sababu kila mtu ana neema yake kuna mtu ana dhambi na mambo yake yanaenda na harogi hiyo ni neema ambayo Mungu alimuwekea tangu uumbaji na kuna wewe au mimi ambao tukifanya dhambi kidogo tu Mungu anatuacha ..

Kuna mwingine mambo yanaenda tu hata asipotumia nguvu na kuna mwingine lazima a force sana mambo ndiyo yaende. Tatizo linaanzia pale tunapojilinganisha na watu wengine kumbe kila mtu ana neema yake.

Mfano kwenye maandiko neema ya Mussa haikuwa sawa na Neema ya Yona. Musa baada ya kuambiwa hatoingia nchi ya ahadi tena kwa kosa alilosababishiwa na wana wa Israel haijalishi alimlilia Mungu vipi ili aingie Kaanani lakini Mungu alimkatalia tukija kwa Yona pamoja na kwamba mwanzoni alikataa kwenda ninawi mpka akatupwa bahari lakini Mungu alikuwa amemkusudia yeye kwenda huko ndiyo maana alivyoomba tu Toba Mungu akamruhusu kwenda kuhubiri ninawi
JIFUNZE KUFAHAMU MUNGU AMEKUWEKEA NEEMA GANI KABLA HAUJAWAANGALIA WENGINE
Hapa sasa nimekuelewa maanaekwa lugha nyepesi unasema God is not fair. Ok nimesoma comments zako zote nazifanyia kazi.
 
Ayubu 39:12
[12] Je! Utamtumaini kwamba ataileta mbegu yako nyumbani. Na kukusanya nafaka ya kiwanja chako cha kupuria?

Waebrania 11:6
[6] Lakini pasipo imani haiwezekani kumpendeza; kwa maana mtu amwendeaye Mungu lazima aamini kwamba yeye yuko, na kwamba huwapa thawabu wale wamtafutao.

Warumi 1:17
[17] Kwa maana haki ya Mungu inadhihirishwa ndani yake, toka imani hata imani; kama ilivyoandikwa, Mwenye haki ataishi kwa imani.

Una imani na matumaini juu ya hicho unachokiomba?
 
Back
Top Bottom