mimi mtakatifu
JF-Expert Member
- Oct 11, 2019
- 331
- 708
- Thread starter
-
- #41
Hata kwa mganga nilikuwa namuomba Mungu manuizi yote nilielekezwa nimuombe Mungu... sehemu pekee niliyoambiwa niombe mababu sikutumia zile dawa nilizochoma.Unajiuliza Mungu unamkosea wapi, wakat unashinda kwa waganga, huwezi ukamuomba mtu asiyekuwa na mahusiano naye, tengeneza mahusiano yako na Mungu unayemuomba, sio unaomba huku unaendelea kuhangaika kwa namna nyingine huwezi kusaidia sasa sisi wengine tulifanikiwa kwenye kuomba baada ya kutengeneza mahusiano na Mungu, kibinadamu tu wanasema tengeneza connection sasabunashindwaje kutengeneza hiyo connection kwa Mungu?
Hii mindset imekuja automatically sababu kwa nini ni mimi tu ndio sipati?Mkuu cha kwanza fanya kuibadili kwanza akili yako, kila kitu huanzia katika mind.....ondoa hizo negativity, kwamba una gundu, haukubaliki n.k n.k iambie tu akili hizo ni nyakati ngumu zitapita.
Angalia na mema pia na ushukuru, u mzima hata unapata nafsi ya kuandika hapa, kuna mwingine yupo hospital hana hata uhakika wa kuiona kesho....kwanini usishukuru??
DR HAYA LAND psychological support inahitajika
Omba Yesu Kristo akutumie Roho Mtakatifu,akujaze Hekima na ufahamu mengine utaona yanajiset yenyewe.Kuna watu awatumii nguvu wakitaka mambo yao yanawaendea tu. Ukiuliza wanasema ni kudra za mwenyezi Mungu kwa hiyo dawa ni kumuomba Mungu bila kuchoka.
Niwapeni tu mkasa kuhusu maisha yangu. Mimi ni mtu ambaye nna uhakika nimekumbwa na mkosi au gundu. Nna miaka mingi sana najitafuta ili niweze kutoboa lakini juhudi zangu hazizai matunda. Naweza kusema maisha yangu yenye furaha tangu niwe mtu mzima najitegemea yalikuwa ni miaka mitatu tu zaidi ya hapo mpk leo hii haijawai tokea siku nikawa na furaha mimi ni huzuni, upweke majuto majonzi ndio sehemu ya maisha yangu.
Lakini nikitazama sina tofauti yoyote na wenzagu waliofanikiwa.
Kama elimu nnayo masters kabisa ila siajiriki na nikipata kibarua basi ni cha nguvu nyingi sana.
Nna umri mkubwa sana ila sina mke wala watoto. Nipo vizuri kiafya naweza kupiga mzigo na kuzalisha sina dosari. Ila wanawake tukifikia stage ya ndoa au kupata mtoto either ana-abort au hataki kupata mtoto na mimi kifupi sio sweetheart kwa wanawake hawakai karibu na mimi.
Kwa maarifa niliyonayo niliwai anzisha miradi ya biashara na kijamii ila niliishia kuunguza pesa kila kitu kikafa yani mimi wateja kwangu kilikuwa kituo cha polisi.
Magonjwa, kutokubalika, kuonewa, kutapeliwa yani hivi vyote ni sehemu ya maisha yangu. Natumia pesa na muda mwingi kujitibia maradhi ambayo mengine yashakuwa ya kuishi nayo.
Nimejaribu kufanya mengi kujinasua nitoke kwenye hii dhahma lakini sitoki na kubwa nalofanya ni kuomba Mungu kwa bidiii sana. DSM hii hakuna kanisa sijaingia.
Nishaenda kwa waganga wa aina zote wa vitabu na wamanyanga, bara, pwani mpaka pemba lakini hakuna jipya nililopata maisha yangu ni yale yale. Nilichoelezwa ni huyo ndugu yangu anaenifanyia haya ni aunt yangu lakini ni kama hawajaweza mzuia.
Naomba sana Mungu haswa sala za usiku japo kwa sasa nimesitisha baada ya kuchoka.
Mpaka uwa najiuliza huyu Mungu nakosea vipi kumuomba?
Uwa anisikii au kama ananisikia uwa namkwaza kipi kisichosameheka?
Mbona kuna watu ni wabaya sana machoni lakini wanafanikiwa au wakisota basi miaka mitatu minne mambo yanatulia. Mimi nakosea wapi mpaka kustahili haya maisha?
Mungu natakiwa nimuombe vipi au nimtolee nini ili anipumzishe na mimi kwenye msoto?
Mwenye maarifa naomba nisaidie nimekwama sana.
Unaweza kuwa unaishi laana za mababu au baraka za mababuMungu hayupo na hajawahi kuwepo , wapo wasio omba kabisa wala kuamini Mungu ili icho unachoomba wewe wanacho mara elfu kumi.
Yesu nishamuomba sana anisiskilizi. Yeye anachagua watu wa kuwasikiliza.Omba Yesu Kristo akutumie Roho Mtakatifu,akujaze Hekima na ufahamu mengine utaona yanajiset yenyewe.
Nafanya kazi ngumu sana.Me nakushauri fanya kazi kwa bidii hayo mengine unacheza tu nakupotezamda kinachokufanya uwe ivo huna hela
At least wewe kuna kitu unakiona nje ya yale tumekalilishwa.Unaweza kuwa unaishi laana za mababu au baraka za mababu
Yani mambo yanaweza kuwa bora bila juhudi zozote au kuwa mabaya pamoja na juhudi nyingi
Mungu yupo mkuu kwa uhakika kabisa me naweza kutoa ushuhuda wa mambo kadhaa yaliyowahi kunitokea
Wanaofanikiwa hawana dhambi?Mara nyingi angalia;
1. Dhambi
2. Motive
Kama unafanya masturbation acha mara moja..💉Yesu nishamuomba sana anisiskilizi. Yeye anachagua watu wa kuwasikiliza.
Wanaofanikiwa hawana dhambi?
Makanisa na Mashekh haviwezi kufua dafu suala ni wewe na MunguAt least wewe kuna kitu unakiona nje ya yale tumekalilishwa.
Hizo laana sasa nani wa kuzitoa maana kama makanisani na mashekhe wamezishindwa inaamana Mungu nae kazishindwa?
Pole sanaKuna watu awatumii nguvu wakitaka mambo yao yanawaendea tu. Ukiuliza wanasema ni kudra za mwenyezi Mungu kwa hiyo dawa ni kumuomba Mungu bila kuchoka.
Niwapeni tu mkasa kuhusu maisha yangu. Mimi ni mtu ambaye nna uhakika nimekumbwa na mkosi au gundu. Nna miaka mingi sana najitafuta ili niweze kutoboa lakini juhudi zangu hazizai matunda. Naweza kusema maisha yangu yenye furaha tangu niwe mtu mzima najitegemea yalikuwa ni miaka mitatu tu zaidi ya hapo mpk leo hii haijawai tokea siku nikawa na furaha mimi ni huzuni, upweke majuto majonzi ndio sehemu ya maisha yangu.
Lakini nikitazama sina tofauti yoyote na wenzagu waliofanikiwa.
Kama elimu nnayo masters kabisa ila siajiriki na nikipata kibarua basi ni cha nguvu nyingi sana.
Nna umri mkubwa sana ila sina mke wala watoto. Nipo vizuri kiafya naweza kupiga mzigo na kuzalisha sina dosari. Ila wanawake tukifikia stage ya ndoa au kupata mtoto either ana-abort au hataki kupata mtoto na mimi kifupi sio sweetheart kwa wanawake hawakai karibu na mimi.
Kwa maarifa niliyonayo niliwai anzisha miradi ya biashara na kijamii ila niliishia kuunguza pesa kila kitu kikafa yani mimi wateja kwangu kilikuwa kituo cha polisi.
Magonjwa, kutokubalika, kuonewa, kutapeliwa yani hivi vyote ni sehemu ya maisha yangu. Natumia pesa na muda mwingi kujitibia maradhi ambayo mengine yashakuwa ya kuishi nayo.
Nimejaribu kufanya mengi kujinasua nitoke kwenye hii dhahma lakini sitoki na kubwa nalofanya ni kuomba Mungu kwa bidiii sana. DSM hii hakuna kanisa sijaingia.
Nishaenda kwa waganga wa aina zote wa vitabu na wamanyanga, bara, pwani mpaka pemba lakini hakuna jipya nililopata maisha yangu ni yale yale. Nilichoelezwa ni huyo ndugu yangu anaenifanyia haya ni aunt yangu lakini ni kama hawajaweza mzuia.
Naomba sana Mungu haswa sala za usiku japo kwa sasa nimesitisha baada ya kuchoka.
Mpaka uwa najiuliza huyu Mungu nakosea vipi kumuomba?
Uwa anisikii au kama ananisikia uwa namkwaza kipi kisichosameheka?
Mbona kuna watu ni wabaya sana machoni lakini wanafanikiwa au wakisota basi miaka mitatu minne mambo yanatulia. Mimi nakosea wapi mpaka kustahili haya maisha?
Mungu natakiwa nimuombe vipi au nimtolee nini ili anipumzishe na mimi kwenye msoto?
Mwenye maarifa naomba nisaidie nimekwama sana.
Inawezekana namna unavyoomba neno la Mungu limesema kwenye kitabu cha Yakobo 4:3 Hata mwaomba hampati kwa sababu mwaomba vibaya ili mvitumie kwa tamaa zenuNineshafanya hii ila Mungu hajawai nisikiliza.
Muombe Mungu toba halafu akusaidie kukuondolea uchungu ulio nao moyoni lakini pia Muombe akuunganishe na watu Sahihi na akupe neema ya kutulia katika Kanisa mmoja maana yako makanisa mengi sana lakini siyo yote yanayomuabudu Mungu wa kweli.. usipende kuingia kila kanisa na usipende kuwekewa mikono na kila mtumishiAt least wewe kuna kitu unakiona nje ya yale tumekalilishwa.
Hizo laana sasa nani wa kuzitoa maana kama makanisani na mashekhe wamezishindwa inaamana Mungu nae kazishindwa?
Usiangalie hili kwa sababu kila mtu ana neema yake kuna mtu ana dhambi na mambo yake yanaenda na harogi hiyo ni neema ambayo Mungu alimuwekea tangu uumbaji na kuna wewe au mimi ambao tukifanya dhambi kidogo tu Mungu anatuacha ..Wanaofanikiwa hawana dhambi?
Hapo hata mimi nimekuelewa.NB: ukitaka mafanikio ya haraka na yanayoonekana kuwa upande wa shetani tu, mungu msaada wake kwako ni afya tu, hela tafuta mwenyewe Kwa jasho lako
Mkuu pole sana kwa matatizo,umeelezea vizuri sana na nimekuelewa kutoka moyoni kabisa.Kuna watu awatumii nguvu wakitaka mambo yao yanawaendea tu. Ukiuliza wanasema ni kudra za mwenyezi Mungu kwa hiyo dawa ni kumuomba Mungu bila kuchoka.