Mnaopokea salary take home chini ya milioni moja, huwa mnawezaje kutoboa mwezi mzima?

Kwa kipindi hicho ambacho umeanza kazi ungeanza angalau na degree Kwa Sasa ungekuwa unalipwa zaidi ya Milioni 4
 
Mimi take home yangu ni kama 1.29m hivi, lakini huwa sitoboi week mbili nakua nimefulia hatari.

Sasa nyie wenzetu mnaopokea chini ya 1m huwa mnawezaje kutoboa mwezi mzima?

Tupeane mbinu hizo wakuu.
Kwanza huna mshahara ww lakini pole kwa kuajiriwa tatu ww ni maskini na usipoangalia utakufa maskini
 
Mimi take home yangu ni kama 1.29m hivi, lakini huwa sitoboi week mbili nakua nimefulia hatari.

Sasa nyie wenzetu mnaopokea chini ya 1m huwa mnawezaje kutoboa mwezi mzima?

Tupeane mbinu hizo wakuu.
Punguza madeni mtaani hata laki tatu itakutana na mwezi mpya
 
Kuna mualimu wa sekondari anae pokea hiyo pesa kweli?
Wapo inategemea na muda aliyopo kazini, kwa sababu kila baada ya miaka mitatu anakuwa promoted na kama alianza na degree. Kwa mwalimu wa bachelor anaanza na basic ya 750000 baada ya miaka mitatu 990000,
 
Wanawake wenye mishahara huwa wanawadharau sana wanaume wao ambao hawana mishahara
 
Mimi take home yangu ni kama 1.29m hivi, lakini huwa sitoboi week mbili nakua nimefulia hatari.

Sasa nyie wenzetu mnaopokea chini ya 1m huwa mnawezaje kutoboa mwezi mzima?

Tupeane mbinu hizo wakuu.
Unajiendekeza
 
Wanawake wenye mishahara huwq wanawadharau sana wanaume wao ambao hawana mishahara
Ni kweli Sina mshahara Nina mke ana mshahara lakin sijawahi omba hata mia na majukumu yanaenda kwa madili hivyo Sasa Kama sina kazi ya mshahara na maisha ndio yasiende? Mimi hapa dunian sijali kumhusu yeyote atakae ni dharau mi najali kuhusu wazazi wangu Kama wako salama hawana changamoto kingine Mungu nisitende dhambi labda za kupitiwa tuu mwanamke huwezi kumridhisha kwa mshahara hakimi asingefanyiwa vile kwani ana Kila kitu

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Mimi take home yangu ni kama 1.29m hivi, lakini huwa sitoboi week mbili nakua nimefulia hatari.

Sasa nyie wenzetu mnaopokea chini ya 1m huwa mnawezaje kutoboa mwezi mzima?

Tupeane mbinu hizo wakuu.
Ni mwendo wa kupooza madeni, japo maisha ni consistence
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…