Kuna mahali nimezungumzia kuomba hela hapo?Kwani wamekuomba hela mkuu?
😂 😂 😂 😂 😂Umofya kwenu members! Umofya tena !!!
Niende moja kwa moja kwenye mada, Baada ya kufanya utafiti mdogo nimegundua baadhi ya watu ( ids) kushinda mitandaoni muda mwingi si asubuhi mchana wala jioni .
Swali langu ni mnafanya kazi saa ngapi kama kutwa kukicha mitandaoni? Mnamajukumu kweli ?
Tutafikia maendeleo kweli kama taifa ?
Nawasilisha
Ulitakiwa utilize mnaoshina mtandaoni pesa pesa za mabamdo na pesa za matumizi mnapatje?. Apo ndio utapata maelekezo mazuri na ww umawezakuja kushimda uku mtandaoni na ukaendeaha maisha yako kama ya hawa wanaoshinda ukuUmofya kwenu members! Umofya tena !!!
Niende moja kwa moja kwenye mada, Baada ya kufanya utafiti mdogo nimegundua baadhi ya watu ( ids) kushinda mitandaoni muda mwingi si asubuhi mchana wala jioni .
Swali langu ni mnafanya kazi saa ngapi kama kutwa kukicha mitandaoni? Mnamajukumu kweli ?
Tutafikia maendeleo kweli kama taifa ?
Nawasilisha
we ni she au he?Kuna mahali nimezungumzia kuomba hela hapo?
Mpfyuuuuuuuuuuuu!
Kujibiwa maswali niliyo ulizaWewe shida yako nini??
Tumeshinda ngapi ngapiUmofya kwenu members! Umofya tena !!!
Niende moja kwa moja kwenye mada, Baada ya kufanya utafiti mdogo nimegundua baadhi ya watu ( ids) kushinda mitandaoni muda mwingi si asubuhi mchana wala jioni .
Swali langu ni mnafanya kazi saa ngapi kama kutwa kukicha mitandaoni? Mnamajukumu kweli ?
Tutafikia maendeleo kweli kama taifa ?
Nawasilisha
Sasa mzee ukishajibiwa hayo maswali yako unafaidika na nini! Unapoteza muda kijinga kwa Mambo yasiyo na faida kwako...we kukaa kuleta mada ya namna hii huna tofauti na hao unaowasema, kiufupi jikite kwenye mambo yako usifatilie ya watu wasiokuhusu.Kujibiwa maswali niliyo uliza
Pita kuleSasa mzee ukishajibiwa hayo maswali yako unafaidika na nini! Unapoteza muda kijinga kwa Mambo yasiyo na faida kwako...we kukaa kuleta mada ya namna hii huna tofauti na hao unaowasema, kiufupi jikite kwenye mambo yako usifatilie ya watu wasiokuhusu.
Pita kulewe ni she au he?