Mnaosifia Simba kuwa ni team kubwa Afrika hamjui Mpira. Mnaijua Atletico Madrid ya Spain?

Timu kubwa Ni Yanga. Simba Ni timu ndogo!

Moyo wako utulie Sasa!

Sema watu wa Yanga hamjui namna ya kuipambania brand yenu badala yake mnaipambania Simba bila kujua mkidhani mnaishusha!

Simba[emoji123]
Hujaelewa hata kidogo.
Sa nikuulize humu kuna nyuzi ngapi za kuisema Yanga eti mara leo itatoka.
So na hao wanabrand Yanga?
 
Kwan Atletico hua haifiki hadi Fainal Tena huenda nimekosea hadi kuwalinganisha na Atletico wale hua wanafika had fainal ila wanafungwa nyie mnaishia Robo kila msimu.
Labda ungeniita Chizi kwa kulinganisha Team inayofikaga Fainal na ile kila msimu inaishia robo.
Ila ukweli Simba ni Team Ngumu sio kubwa we chizi.ELEWA
 
Hata wewe umewavunjia heshima Atletico. Atletico ana makombe ya kimataifa ya mashindano ya Ulaya. Ana Europa League 3 za mwaka 2010, 2012 na 2018. Hili kombe ni sawa na Shirikisho Afrika. Nitajie idadi ya makombe ya shirikisho ya Simba.

Atletico pia amecheza fainali za Ligi ya Mabingwa Ulaya mara kadhaa ikiwemo 2014 na 2016 na ameingia nusu fainali mara kadhaa. Nitajie idadi ya fainali alizocheza Simba za Klabu Bingwa Afrika.

Acha kufananisha Atletico na vitu vya kipumbavu.
 
Mkuu hata mimi kwenye hilo nimekili nimekosea sana...ila Logic ni kua Atletico ikienda UEFA ni Team Ngumu kama simba ila haina ukubwa wowote mbele ya vilabu nilivyoviainisha hapo juu.
Ndio mfano wa simba hii haina ukubwa wowote ila sema ni ngumu tu na hilo limedhibitishwa na match zake,Simba haijawahi kumpiga mwarabu 3 hapa kwa mkapa kila msimu inashinda kimoja inaenda away inatolewa hapo ndio concept ya Atletico inakuja.
 
Ni kweli kabisa. Lakini Atletico Madrid (Simba) huwezi ifananisha na Real Zaragoza (Yanga).
 
Ww hiyo timu yako kubwa kinyesi fc mbona hata hiyo robo fainal imesha shindwa kufika tangu ianzishwe miaka zaidi ya miaka 80?
 
Kuingia robo fainal unaona ni rahisi hali ya kuwa timu yako utopolo tangu mwaka 1998 hata makundi ya klabu bingwa haijawahi kukanyaga?

Kweli mashabiki wa utopolo ni manyani kama alivyo waita aliye kuwa kocha wao.
 
Kuingia robo fainal unaona ni rahisi hali ya kuwa timu yako utopolo tangu mwaka 1998 hata makundi ya klabu bingwa haijawahi kukanyaga?

Kweli mashabiki wa utopolo ni manyani kama alivyo waita aliye kuwa kocha wao.
Hakuna mahala nimetaja neno robo fainali.
 
💩
 
Kuingia robo fainal unaona ni rahisi hali ya kuwa timu yako utopolo tangu mwaka 1998 hata makundi ya klabu bingwa haijawahi kukanyaga?

Kweli mashabiki wa utopolo ni manyani kama alivyo waita aliye kuwa kocha wao.
Na Atletico Madrid robo fainali ya Ulaya kwao sio mafanikio kama ilivyo kwenu nyinyi Makolo hapa Afrika. Ndio maana nimemuonya aliyeweka uzi aache kufananisha Atletico na vitu vya kipumbavu.
 
Na Atletico Madrid robo fainali ya Ulaya kwao sio mafanikio kama ilivyo kwenu nyinyi Makolo hapa Afrika. Ndio maana nimemuonya aliyeweka uzi aache kufananisha Atletico na vitu vya kipumbavu.
Ulaya ni Ulaya na Afrika ni Afrika ukubwa wa Simba barani Afrika unatokana na mazingira na aina ya timu zilizoko barani Afrika ,na udogo wa A.madirid umetokana na mazingira ya Ulaya na timu zilizopo barani humo.
Na ndio maana A.Madirid hata kwenye kumi bora ya virabu bora barani Ulaya haimo lakini Simba iko kwenye nafasi ya 9 kwa ubora barani Afrika.

Weka ushabiki wako wa Utopolo pembeni twende kwa data ,katika ukanda wa Afrika mashariki na kati ukiitoa Mazembe hakuna timu nyingine ya kuifikia kwa mafanikio Simba katika mashindano ya CAF kama ipo itaje.

Ni upumbavu wa hali ya juu kubeza mafanikio ya mwenzako hali ya kuwa ww hayo mafanikio hujawahi kuyafikia.

Yaani unambeza aliye feri mtihani kidato cha sita hali ya kuwa ww umefeli mtihani wa darasa la saba?
Kama ingekuwa ni rahisi kufika hiyo robo fainal basi utopolo wangekuwa wanafika kila mwaka kama anavyo fanya simba.

Kama Simba ni timu ndogo kisa kuishia robo fainal vipi kuhusu timu yako kinyesi fc ambayo haijawahi kuinusa hiyo robo fainal tangu kuanzishwa kwake miaka 80.

Kweli aliye kuwa kocha wenu hakukosea kuwaita manyani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…