Tyrone Kaijage
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 1,617
- 3,405
Sawa kiongozi wa Horoya FC tumekusikia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujaelewa hata kidogo.Timu kubwa Ni Yanga. Simba Ni timu ndogo!
Moyo wako utulie Sasa!
Sema watu wa Yanga hamjui namna ya kuipambania brand yenu badala yake mnaipambania Simba bila kujua mkidhani mnaishusha!
Simba[emoji123]
Asante mjukuu wa Rage kwa kunielewaSawa kiongozi wa Horoya FC tumekusikia.
Kwan Atletico hua haifiki hadi Fainal Tena huenda nimekosea hadi kuwalinganisha na Atletico wale hua wanafika had fainal ila wanafungwa nyie mnaishia Robo kila msimu.Nimeona mtoa mada akijaribu kujibu jibu hoja ila naona angeanza kujiita yeye CHIZI.
Anaweka title ya UKUBWA wa timu kisha anazungumzia UGUMU wa Atletico Madrid, uchizi unaanzia hapa nadhani.
- Atletico, unasema ni timu kubwa au ngumu?
- Unazungumzia UGUMU au UKUBWA?
Simba, ni miongoni mwa timu 8 bora zilizobaki kwenye michuano ya KLABU BINGWA AFRICA, kama UGUMU, unazungumzia walishindwa CL wakaenda CC, sababu kuna waliotoka kabisa CL bila kwenda CC.
Atletico sio timu kubwa ulaya, Simba ni timu kubwa AFRICA.
Mkuu hata mimi kwenye hilo nimekili nimekosea sana...ila Logic ni kua Atletico ikienda UEFA ni Team Ngumu kama simba ila haina ukubwa wowote mbele ya vilabu nilivyoviainisha hapo juu.Hata wewe umewavunjia heshima Atletico. Atletico ana makombe ya kimataifa ya mashindano ya Ulaya. Ana Europa League 3 za mwaka 2010, 2012 na 2018. Hili kombe ni sawa na Shirikisho Afrika. Nitajie idadi ya makombe ya shirikisho ya Simba.
Atletico pia amecheza fainali za Ligi ya Mabingwa Ulaya mara kadhaa ikiwemo 2014 na 2016 na ameingia nusu fainali mara kadhaa. Nitajie idadi ya fainali alizocheza Simba za Klabu Bingwa Afrika.
Acha kufananisha Atletico na vitu vya kipumbavu.
Ww hiyo timu yako kubwa kinyesi fc mbona hata hiyo robo fainal imesha shindwa kufika tangu ianzishwe miaka zaidi ya miaka 80?Kwan Atletico hua haifiki hadi Fainal Tena huenda nimekosea hadi kuwalinganisha na Atletico wale hua wanafika had fainal ila wanafungwa nyie mnaishia Robo kila msimu.
Labda ungeniita Chizi kwa kulinganisha Team inayofikaga Fainal na ile kila msimu inaishia robo.
Ila ukweli Simba ni Team Ngumu sio kubwa we chizi.ELEWA
Kuingia robo fainal unaona ni rahisi hali ya kuwa timu yako utopolo tangu mwaka 1998 hata makundi ya klabu bingwa haijawahi kukanyaga?Hata wewe umewavunjia heshima Atletico. Atletico ana makombe ya kimataifa ya mashindano ya Ulaya. Ana Europa League 3 za mwaka 2010, 2012 na 2018. Hili kombe ni sawa na Shirikisho Afrika. Nitajie idadi ya makombe ya shirikisho ya Simba.
Atletico pia amecheza fainali za Ligi ya Mabingwa Ulaya mara kadhaa ikiwemo 2014 na 2016 na ameingia nusu fainali mara kadhaa. Nitajie idadi ya fainali alizocheza Simba za Klabu Bingwa Afrika.
Acha kufananisha Atletico na vitu vya kipumbavu.
Hakuna mahala nimetaja neno robo fainali.Kuingia robo fainal unaona ni rahisi hali ya kuwa timu yako utopolo tangu mwaka 1998 hata makundi ya klabu bingwa haijawahi kukanyaga?
Kweli mashabiki wa utopolo ni manyani kama alivyo waita aliye kuwa kocha wao.
💩Nyuzi Nyingi sana zinaandikwa kuisifia Simba eti ni kubwa Afrika na jana imeonyesha kua ni giant😂😂.
Machizi kweli nyie na kama unasoma huu uzi una hilo wazo huo ni uchizi pia. Hivi Team gani ulaya haiogopi Atletico hii ni Moja ya Team ngumu sana ulaya na Match zake hua zakuvutia sana kuanzia ndani ya uwanja hadi kwa makocha.
Ila nani hajui Atletico pamoja na ugumu wake hua inakufa na kifo ni kilekile kama cha simba hua ni moja Bila au 2-1 lakini wanatoka.
Na ukienda ulaya ukasema Team kubwa ulaya Atletico huwez kuiweka meza moja na R.madrid, Barca, Chelsea, Liverpool, Inter milan, Ac Milan, Bayern na Man United.
Ila ukweli Atletico Madrid hua ni moja ya Team ngumu na kila team hua inaiogopa lakini hua inatolewa. So simba ni kama Atletico Madrid tu.
Sema tunaoisifia na kusema ni giant sijui tunaamaanisha nini niseme hatujui Mpira. Moja wao Genta nani yule ndio maana yupo busy na soka la Bongo.
Na Atletico Madrid robo fainali ya Ulaya kwao sio mafanikio kama ilivyo kwenu nyinyi Makolo hapa Afrika. Ndio maana nimemuonya aliyeweka uzi aache kufananisha Atletico na vitu vya kipumbavu.Kuingia robo fainal unaona ni rahisi hali ya kuwa timu yako utopolo tangu mwaka 1998 hata makundi ya klabu bingwa haijawahi kukanyaga?
Kweli mashabiki wa utopolo ni manyani kama alivyo waita aliye kuwa kocha wao.
We jamaa sjui falaNikishaona mtu anatumia emoji za kucheka cheka kwenye uzi wake tu najua huyu ana utoto mwingi
Eeh ndiyo falaWe jamaa sjui fala
Ulaya ni Ulaya na Afrika ni Afrika ukubwa wa Simba barani Afrika unatokana na mazingira na aina ya timu zilizoko barani Afrika ,na udogo wa A.madirid umetokana na mazingira ya Ulaya na timu zilizopo barani humo.Na Atletico Madrid robo fainali ya Ulaya kwao sio mafanikio kama ilivyo kwenu nyinyi Makolo hapa Afrika. Ndio maana nimemuonya aliyeweka uzi aache kufananisha Atletico na vitu vya kipumbavu.
WE CHIZI HENCE PROVEDWw hiyo timu yako kubwa kinyesi fc mbona hata hiyo robo fainal imesha shindwa kufika tangu ianzishwe miaka zaidi ya miaka 80?
Samahan kwa kukumbusha mkuuTumetoka jamani tuacheni tupoe na machungu