Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kha!kha!kha!,eti ni uhujumu uchumi.Hapo inategemeana na anae sukuma. Kuna mwingine unaona kabisa ni baba mtu mzima anasukuma katoto kadogo unaona kabisa huyu ni muhujumu uchumi.
Mara nyingi huwa wanapita kwenye bar muda kama huu. Anaomba 500 huku umeweka serengeti mezani na nyama kwa aibu inabidi utoe tu
dahh hatari sana. mwisho wa siku ukiwanyima uonekane mchoyo tu siyo kwamba hauna hela maana huwezi kuagiza msosi na kinywaji vinafika gharama ya elfu 10 alafu ukose buku ya kuwapa[emoji3]Afu ndio zao msosi ukiwekwa tu ile umepiga tonge la kwanza tu wao ndio wanatokea ili uone noma...
😂😂😂😂😂 na hiyo ndio exact logic ya kuja pale unapokuwa umewekewa msosi mezani, mantiki ndio hiyo haswa, wanaijua saikolojia vizuri, ili kuepuka kuaibika basi unakuwa compeled kutoa tudahh hatari sana. mwisho wa siku ukiwanyima uonekane mchoyo tu siyo kwamba hauna hela maana huwezi kuagiza msosi na kinywaji vinafika gharama ya elfu 10 alafu ukose buku ya kuwapa[emoji3]
wana mpaka mwajiri waoKuna ndugu yangu alinieleza siri ya wasukumaji, ni kazi kama kazi zingine na wana code zao kabisa.
Duh hii dunia ina mambo!Hiyo Ni NGO kama NGO nyingine kuna mwajiri amekusanya walemavu na vijana wa kusukuma,jioni anapokea hesabu na walemavu wake wanakaa hostel
We toa pesa yupo kazini...hiyo ni Kazi Kama Kazi nyingne , matumiz ni juu yake ata akinywa bia au kununua malayaKuna mmoja namuonaga pale kituo cha mwendokasi kimara mwisho amekaa kwenye kiti cha walemavu anaomba..cha kushangaza anamiliki smartphone mpya...huwa anavizia kama hakuna wapita njia anaitoa anakuwa anaperuzi, akiona mpita njia anaificha..me nilimuotea jana,nikabaki kushangaa tu.