Mnaotumia bidhaa za Apple® Mnapigwa sana. Sijui hata mnavyotoa hela mnafikiriaga nini?

Mchele una mapishi mengi
Kila mtu ale anachopenda
Mnapenda kuhangaika watu wa android.
Huo ni uongo na wewe unajua, watumiaje wa iPhone ndo mnahangaika sana kutusema, kila siku ni vijembe tuu kuhusu android zetu, ila uzuri ni kwamba moto wa huko mnaujua, kila siku kuhangaika kuchaji visimu vyenu uchwara havikai hata na chaji.

Tuanze hapa, we unaweza kufanya nn kweny iPhone yako mm siwez kufanya kweny android yangu??
 
Haizidi masaa 6 zile, nyoro nyoro sana
Kwahiyo lazima utembee na chaja? Mimi simu ambayo nikichaji usiku asubuhi nikitoka nayo mpaka nirudi nyumbani iwe haijaisha chaji ndio nachaji tena usiku.

Ulimwengu tulionao unatakiwa uwe online muda wote incase unatafutwa kwa whattsapp call. Mambo ya kuzima data kuhofia betri siyo ulimwengu wake huu.

Kwahiyo mimi mtu akinitajia simu inayoweza kukaa betri ikiwa na chaji mpaka usiku unarudi home hiyo ndio simu bora kwangu bila kujari jina la kampuni.

Hayo ndio mahitaji yangu makuu kwenye simu ni chaji tu.
 
😆😆😆
 
Simu zao ukiwasha masaa yote data haitoboi ata masaa 5.
 
Relax
Umepanick sana.
 
Yaan simu unanunua zaidi ya 1 million alaf inazungua kitu kidogo kama chaji(yaan kampuni kubwa vile Apple wanavoisifia pamoja na ma-research yao wanayofanya kila siku na overpriced products wanashindwa kutengeneza simu bora), ukiwauliza utasikia "ooh ni kweli kuanzia iPhone 13 kushuka chini betri zinazingua" like broo wtf?? Mm na Samsung yangu tokea kitambo tushasahau mambo ya chaji na betri 😂 😂
 
Hahahaa kuanzia iPhone 13 ukitafuta 12 kushuka nasikia wanaziharibu battery maksudi ili mnunue za juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…