Mnaouchukia ufukara na umaskini NGENDE ndilo jawabu lenu la mwisho

Status
Not open for further replies.
...sasa ilibidi nikushangae wewe ambaye unaumizwa na maamuzi yangu ya kupinga ngende na kunipangia nitembee kwenye njia yangu don't you think that wewe ndo uliyetakiwa kupiga moyo konde na utembee njia yako uliyochagua....huoni unavyojipinga mwenyewe sasa...
 
Ndugu Zangu
Waganga Waheshimiwe Ila Akaweka Angalizo Uchawi Tu Ndiyo Mbaya!!!
Maana Saa Nyingine Tumevidharau Vya Kwetu,
Waganga Hawa Wamesaidia Mpaka COVID 19 Imekwisha
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
mkuu wewe jinsia gani? mbona maneno makali hivi!
nilidhani wewe mwanaume!
anaumia na maisha ya wengine huyu anaweza kujiua hata sababu ya maisha ya watu wengine mana sio kwa kuumia huku.
 
siumii bali unaishangaza jamii ,,,kama mwanaume kua na tabia za kike, unakuja kuibuka tu kwenye nyuzi za watu ukiwa na kisirani kama mwanamke ambaye ana mimba changa, una hasira, yani anayechukua maamuzi ni mtu mwingine, wewe unakurupuka kuongea shiti kana kwamba unamlazimisha na kumpangia maisha afanye unachotaka wewe...huoni kama unachanganyikiwa ...piga moyo konde embu pambana na ya nyumbani kwako na maisha yako, halafu inaonekana wewe kijana mdogo huyajui maisha mana sio kwa kisirani hiki. pole sana sitakujibu tena utatafuta wa kupeana mipasho naye.
 
Kuna siri nyingi duniani, unaweza kuta wewe unaamini bill gate ni freemason, lakini kwa ngende unaleta unafiki
 
hey hey hey slowly hotdog... let me be honest nimekutana na wajinga wengi lakini wewe unadeserve tuzo za UJINGA..
..hili ni jukwaa wewe umeleta mada yako ili ichangiwe cha kushangaza unataka kila mmoja afanane na mawazo yako akienda kinyume na mawazo yako unaanza kupayuka n hii inaonesha jinsi ulivyo mjinga..
....hayo ni mawazo yangu so kama huyakubali pinga kwa hoja kama huwezi go suck your brain....
The goddamn shit problems are yours and you're mad at me!! what the fu¢|{??...
 
Kuna siri nyingi duniani, unaweza kuta wewe unaamini bill gate ni freemason, lakini kwa ngende unaleta unafiki
what's Freemason??..do you even understand or know the definition of freemason???...
and why would I believe that there is such a thing as Freemason??
 
Ngende si nzuri jamani..ukikosea sharti kidogo unarudi kwenye zerooo tena zerooo si ya kitoto.

Omba Mungu na upambane huo ndiyo ujanja.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…