MWANAHARAKATI MWEMA
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 216
- 313
Hovyo kabisaTatizo watanzania kwanza hatujafundishwa kuvumilia mawazo ya wengine, lakini pia huwa hatuwezi kupinga hoja bila ya kuonesha kuna kupambana. Hoja hapa ni rahisi. Unapinga ushoga, hiyo ni sawa. Lakini jee unapinga pia wanawake kuingiliwa kinyume cha maumbile??
HIyo ndiyo hoja. Mabandiko kuhusu ushoga yapo mengi tu humu JF. Kama unataka kujadili ushoga yatafute hayo mabandiko uweke maoni yako huko.
Mwenye masikio na asikiemapenzi ya jinsia moja, ndio vita inayopiganwa, tusichanganye hizi mambo.
dume vs dume, jike vs jike.
Huko kwenye umalaya ndiko ushoga unapoanzia chunguza vizuri ujueTatizo wanawake wenyewe siku hizi yaani wazichomoa huku wanazielekezea kule na kuziingiza wenyewe sijui shida ninini
Wanakutana na malaya au wanawake waliopoteza matumainiHao Ke mnakutana nao sayari gani nakati sote tuko nao dunia hii hii?
Kama wa kuliwa nje akaliwe tu. Ila nikijua hakuna ndoa. Afanye tu nisijueUsipomla jicho hapo ndani kuna wahuni watamla nje
The choice is your's
SafiAkiliwa yeye mi nahusikaje na upumbavu wake?
Siwezi na sitaweza kamwe kuweka dushe langu kwenye mavi ni big NO.
Mungu nisaidie.
Heshima yako mzee wanguHiyo kitu Mimi na uzee wangu sitathubutu kamwe, sijawahi na Wala sitakuja kujaribu
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
DAWA NI WEWE KUACHA KUMLAWITI MKEO/MPENZIO/MALAYAUnanimalizia bundle tu, sijui hata hapa tunajadili nini.
Mmeshaanza kujileta na kujitaja. Safi acha inyeshe tuendelee kuwajuaUnawaonea wivu wanawake?
Tunaanza kwanza na Mashoga. Vumilia
Wewe ni mseng3 kumbe. Unanuka mavi mavi tu. Ukifira mwanamke au mwanaume wewe ni shoga tu. Acha justification za kipuuziNdo hivo
Ndo hivyo, Siku ukiwakuta na mkeo ujue wameruka ukuta. Usiwatukane wewe pita kimya kimya tu
AMENSiwezi na kamwe sitafanya hiyo laana, Mungu aniepushie mbali mimi na kizazi changu, Amina.
Any time darln😘Thanks love ❤
Ahsante sana mkuu hii dhambi imenipita kushoto sana aiseeHeshima yako mzee wangu
Tatizo wanawake wenyewe siku hizi yaani wazichomoa huku wanazielekezea kule na kuziingiza wenyewe sijui shida ninini
Wewe ni bashavita ni dhidi ya mapenzi ya jinsi moja, lakini mapenzi ya jinsi mbili tofauti ni ruksa sasa wakiingia vyumbani ni juu yao kufanya mapenzi ya kinyume
Ni miongoni mwa dhambi Mungu anazichukia MNO.Ahsante sana mkuu hii dhambi imenipita kushoto sana aisee
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Faragha ni mwanaume na mwanamke , sio vinginevyo , kuingilia kinyume cha maumbile mwanamke ni kosaKwa ivo tatizo ni aina ya tendo ama jinsia kufanana!!??
Unaweza vipi kuona faragha kama siyo uchizi huu?Faragha ni mwanaume na mwanamke , sio vinginevyo , kuingilia kinyume cha maumbile mwanamke ni kosa
Ruksa hiyoKwa ivo mwanaume kwa mwanamke ni sawa tu!! Yaani ni sawa kwa mwanaume kumuingilia kinyume cha maumbile mwanamke!!??