Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
- Thread starter
-
- #61
Utajuaje kama Mwanaume anamla nyuma mwanamke wake? kwanza yawezekana hayo mambo yanakuwa published tu hayapo - lete ushahidi.
Yaani huu ni zaidi ya Msiba tena msiba mzito kuliko misiba yote iliyowahi kutokea..WANATUHARIBIA JAMIIyaani mie nauliza hata uume utasimamaje - yaani kalio la mwanaume mwenzio likufanye upandishe ashiki kweeli afu kitu kisimame aiseee 😳 😳
Haya hata hilo Dume nalo limezinin'giniza kengele zake - kusubiri mzahama - kwelii
Ndo maana Mwenyezi Mungu alikiangamiza kizazi chote cha kule Sodoma.
Hiyo ingekuwa ni "Biased heading" kitu ambacho hakikuwa lengo langu!!Suala sio jina halisi hapa! Ni wewe kuwa umeandika kichwa kibovu cha huu uzi ambao ndani yake sasa iko hoja!
Onyesha kwamba na wewe ni mwenzetu kwenye hii vita kwa kusema!
TUNAOUPIGA VITA USHOGA, TUKATAE PIA USHOGA UNAOFANYWA KWA WANAWAKE
Hii haihusu ushoga. Soma vizuri uelewe. Au umesoma kichwa cha bandiko na kuamua kuchangia!!??Hizi threads kuhusu mashoga zinachosha
Kwani mkiacha kuongelea haya itakuaje
Nonsense!
Tena viongozi wa hivyo vyama wawe wanawake, maana kuna watu wanawakunja kama tairi ya Bajaj,Halafu tupo tunaopinga hata kunyonyana mashine ...na style zote ambazo dini hazitaki ...tunataka style moja Tu ya kifo cha Mende...
Vyama vije na Sera ya Ku address hili pia ... vinginevyo hatuwapigii kura
Jibu liko wazi; siyo sawa/siyo sahihi.Kwa ivo mwanaume kwa mwanamke ni sawa tu!! Yaani ni sawa kwa mwanaume kumuingilia kinyume cha maumbile mwanamke!!??
Ohooo! Na hili nalo ni neno.Halafu tupo tunaopinga hata kunyonyana mashine ...na style zote ambazo dini hazitaki ...tunataka style moja Tu ya kifo cha Mende...
Vyama vije na Sera ya Ku address hili pia ... vinginevyo hatuwapigii kura
Hilo ndiyo jibu sahihi. Lakini hapa hoja kwa nini hatupambani kukomesha hali hiyo kwa wanawake? Hata kwenye huu mjadala unaona kina Lovie Lady na wenzake wanawashambulia tu wanaume kwa wanaume. Kila ukiuliza je ni sawa kwa mwanaume kumfanyia mwanamke, watu wapo kimya!!Jibu liko wazi; siyo sawa/siyo sahihi.
Ikibidi kuwepo na kifaa maalum, kutenganisha k na tigo, ili hata ikiteleza bahati mbaya isiingie sehemu isiyotarajiwa,Ziwekwe na Kamera majumbani na mahotelini ili kuona nani na nani anaenda kinyume na hayo,
Au kuwe na siku maalumu ya Watanzania wote kukutana kwenye viwanja vya wazi na kunjunjana hiyo style ya kifo cha mende, itasaidia sana
Kuna mahali nimesema ushoga usipingwe?? Kwa maelezo yako jambo la wanawake kuingiliwa kinyume cha maumbile ni dogo ambalo haliwezi kuzuia watu kuupiga vita ushoga!!Kwa hiyo ushoga usipingwe kisa kuna wanawake nao wanaingiliwa kinyume na maumbile?
Sasa kama mwanamke unamlipa uumle kwa mpalange au yeye mwenyewe anataka/anakubali uumle kuna shida gani mkuu? Siku hizi warembo wenyewe wanakwambia bila huo mchezo hawainjoi shooMfiraji,Mlawiti wote kitu 1
Wakiongozwa na Mzee wa kupambania
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kifo cha mende ndiyo mpango mzimaTena viongozi wa hivyo vyama wawe wanawake, maana kuna watu wanawakunja kama tairi ya Bajaj,
Wapige marufuku, ibakie kifo cha mende tu basi,
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app