Jee hili si suala linalohitaji kampeni ya kulipinga kama ilivyo kwa ushoga??ilifika wakati nikawa najuta na nikamblock
Ielewe mada kwanza!!Hivi kuna mwanamke shoga?, Kwa jibsia ya ke kuna wasagaji sio mashoga
Tatizo hapa tunalolipiga vita ni jinsia kufanana, hizo peperepe zingine ni kitu kingine tofauti kabisa.Kwa ivo tatizo ni aina ya tendo ama jinsia kufanana!!??
Kwa ivo ni sawa kwa mwanaume kumuingilia kinyume cha maumbile mwanamke??Tatizo hapa tunalolipiga vita ni jinsia kufanana, hizo peperepe zingine ni kitu kingine tofauti kabisa.
HahaaNdio wale wale hao
Sasa hapo si hadi atokee mlalamikaji sasa aliye takiwa kuwa mlalamikaji ndio kajihamishia mwenyewe sasa sheria itajuaje 🤪🤪Watanzania wana msimamo gani na Sheria ya Tanzania inasemaje kuhusu hiki kitendo?
Jee hili si suala linalohitaji kampeni ya kulipinga kama ilivyo kwa ushoga??
Umesema kweli kabisa aisee hilo suala wanaliona kama la kawaida tu mwanamke kuingiliwa kinyume hili nalo liangaliweNimeamua kuandika mada hii kutokana na utafiti wangu mdogo niliofanya kupitia hapa JF na mahala kwingine. Na bandiko hili linasimama kuitaka jamii yetu ya watanzania isimame kwenye kile inachoamini kwa kujenga juu ya kweli na siyo hisia.
Suala la Ushoga hapa JF na Tanzania linatumika kisiasa zaidi na pia katika mlengo wa vita dhidi ya Marekani na Ulaya. Kisiasa suala hili linahusishwa kiuongo uongo na CHADEMA. Na kwa Marekani inatengenezwa picha kwamba Marekani pekee ndiko kuna mashoga na Marekani wanataka kulazimisha dunia nzima wawe mashoga.
Lakini mada hii inahusu zaidi mitizamo ya watanzania kuhusu kitendo chenyewe cha kishoga. Watu wengi wanachukia sana mashoga na ushoga, lakini watu hao hao huoni wala kusikia wakitumia nguvu kubwa kusema hadharani kwamba kitendo cha kumuingilia kinyume cha maumbile mwanamke ni makosa.
Kama ushoga ni jambo baya ni kwa nini basi hatuoni harakati pia za kupiga vita wanaume kuwaingilia kinyume cha maumbile wanawake? Jee wanawake wao ni sawa tu kufanya ngono kwa mtindo huu ila tatizo ni kwa wanaume kwa wanaume? Maana kwenye mada hata humu JF utaona kuna mashabiki wengi sana wa tabia hiyo dhidi ya wanawake na hakuna mtu anayesema watu hao ni CHADEMA au ni CCM!!
Sera yetu kuhusu mwanamke kuingiliwa kinyume cha maumbile ikoje? Nimeona watu wanasema akija Haris Kamala Makamu Rais wa Marekani, aambiwe kwamba hatutaki ushoga. Jee ataambiwa pia kwamba hatutaki wanawake kuingiliwa kinyume cha maumbile?
ni wastage of energy culture. Waachia dunia iwaumbueHahahahahahahahahahahahaha mbavu zangu, naijua mijitu ya hivyo mbona, siku wewe lilipue tu kama nilivyomlipua manzi mmoja humu nikapewa ban ila sijajali kikubwa linafki limeumbuliwa.
Labda unakutana na walio kwisha hudumiwa hivyo hawajaihitaji huduma hiyo kwakoHao Ke mnakutana nao sayari gani nakati sote tuko nao dunia hii hii?
Vipi kuhusu kufanya mapenzi (mwanaume na mwanamke) kabla ya ndoa au nje ya ndoa?Hakuna linalokubalika, iwe mwanamke kuingiliwa na mwanaume kinyume cha maumbile au mwanaume kumwingilia mwanaume mwenzie kinyume au mwanamke kumsaga mwanamke mwenzie
Wote huo ni uchafu na ufirauni
Wakikujibu nistueVipi kuhusu kufanya mapenzi (mwanaume na mwanamke) kabla ya ndoa au nje ya ndoa?
Mkuu, unajua kwanini Wanaume wengi tu waumini Sana wa Mizigo Mikubwa ?Nimeamua kuandika mada hii kutokana na utafiti wangu mdogo niliofanya kupitia hapa JF na mahala kwingine. Na bandiko hili linasimama kuitaka jamii yetu ya watanzania isimame kwenye kile inachoamini kwa kujenga juu ya kweli na siyo hisia.
Suala la Ushoga hapa JF na Tanzania linatumika kisiasa zaidi na pia katika mlengo wa vita dhidi ya Marekani na Ulaya. Kisiasa suala hili linahusishwa kiuongo uongo na CHADEMA. Na kwa Marekani inatengenezwa picha kwamba Marekani pekee ndiko kuna mashoga na Marekani wanataka kulazimisha dunia nzima wawe mashoga.
Lakini mada hii inahusu zaidi mitizamo ya watanzania kuhusu kitendo chenyewe cha kishoga. Watu wengi wanachukia sana mashoga na ushoga, lakini watu hao hao huoni wala kusikia wakitumia nguvu kubwa kusema hadharani kwamba kitendo cha kumuingilia kinyume cha maumbile mwanamke ni makosa.
Kama ushoga ni jambo baya ni kwa nini basi hatuoni harakati pia za kupiga vita wanaume kuwaingilia kinyume cha maumbile wanawake? Jee wanawake wao ni sawa tu kufanya ngono kwa mtindo huu ila tatizo ni kwa wanaume kwa wanaume? Maana kwenye mada hata humu JF utaona kuna mashabiki wengi sana wa tabia hiyo dhidi ya wanawake na hakuna mtu anayesema watu hao ni CHADEMA au ni CCM!!
Sera yetu kuhusu mwanamke kuingiliwa kinyume cha maumbile ikoje? Nimeona watu wanasema akija Haris Kamala Makamu Rais wa Marekani, aambiwe kwamba hatutaki ushoga. Jee ataambiwa pia kwamba hatutaki wanawake kuingiliwa kinyume cha maumbile?
Maana si tunazungumzia uadilifu?? Uadilifu ni kama msumeno unakata huku na huku. Tatizo wapenda maadili wengi ni wanafiki!!Vipi kuhusu kufanya mapenzi (mwanaume na mwanamke) kabla ya ndoa au nje ya ndoa?
Kwa maneno yako haya kwa hiyo ni sawa tu mwanamke kuingiliwa kinyume cha maumbile??Mkuu, unajua kwanini Wanaume wengi tu waumini Sana wa Mizigo Mikubwa ?
Mkuu, tako la Mwanamke linavutia,Kwanza laini na Kubwa, unaanzaje kutamani tako la Mwanaume
Usipomla jicho hapo ndani kuna wahuni watamla njeKuna mafala mengine yenye familia kabisa utayakuta yanahalalisha huo UPUMBAVU vijiweni eti "siku hizi tigo ni habari za mjini, ukimla Ke bila ya kula jicho lake anakudharau kabisa"
Nilichefukwa nikayatukana vizuri sana kuwa si kila Me anayejitambua ni Mpumbavu sawa na wao hadi walibadili mada....hiki kizazi kilipofikia pthuuu...[emoji2961]
Nasapoti nini??Kwahiyo wewe Unayasapoti?