Mnaoupinga Ushoga mbona kwa wanawake mko kimya?

Mnaoupinga Ushoga mbona kwa wanawake mko kimya?

Swala hili nazani lipo juu ya mwanamk zaidi tukikataa sisi hakuna wa kutulazimisha, japokua ni changamoto sana kiukweli maana wanaume saivi wamechaguliwa[emoji17]
 
Ndio maana tunasema wapinga ushoga wengi ni wanafki tu.
Unapinga huku unafukua mtaro kwa demu wako, wakati vinyeo vya ke na me ni sawa tu.

Anaemuingilia mwanamke rough road hashindwi kua shoga huyo. Halafu unamkuta anawasimanga mashoga wakati na yeye ni shoga chipukizi.
 
Kuna aina ya watu, wanafanya jambo pale wanaposikia tu iwe limeongolewa kwa ubaya au kwa uzuri , wao ni kujaribu tu kile wanasikia sna , mimi naona wanaopinga na wanaokubali ,wote wanalifanyia hili jambo ovu kampeni .
 
Nimeamua kuandika mada hii kutokana na utafiti wangu mdogo niliofanya kupitia hapa JF na mahala kwingine. Na bandiko hili linasimama kuitaka jamii yetu ya watanzania isimame kwenye kile inachoamini kwa kujenga juu ya kweli na siyo hisia...
Upo sahihi sana mkuu, na huenda hii tabia ya kuwaingilia wanawake kinyume na maumbile ndiyo iliyoshamirisha tabia ya kuwaingilia wanaume na kusababisha tatizo kubwa la ushoga.

Hizi zote ni sexual immoralities na zinasukumwa na evil spirits ndo maana wanasema mwanamke na mwanaume wanaoshiriki kinyume na maumbile huwa inakuwa vigumu kuacha, kwa sababu wanakuwa tayari wako possessed na roho chafu inayowasukuma kuendelea kufanya hivyo, zaidi ya kudhani kwamba ni tendo linalowapa raha zaidi.

The same to ushoga, kuna roho chafu nyuma yake ndo maana unakuwa rahisi kusambaa hasa pale wanapotungiwa sheria ya kuwatambua au kupewa endorsement yoyote na jamii, unakuwa kama umemwaga petroli kwenye moto ambao unawaka.​
 
Hoja yangu ni kwamba nina wasiwasi kuwa wewe ni shoga. Hii inatokana na jinsi unavyobishana na wana JF. Hii ndio hoja yangu. Karibu uchangiye!
Umeifurahisha nafsi yako!!?? Yaani kumwita mtu shoga unaona kama vile ni jambo la sifa sana!!??
 
Kwenye hii mada nimeshangaa sana. Watu badala ya kujibu swalil ni kwa nini kwa wanawake tuko kimya. Wanang'ang'ana na ushoga tu!! Kwa nini swali halijibiwi!!??
 
Mbona miziki yetu inahamasisha, Kuna vigodoro, n.k. in fact imeonekana ni suala la kawaida kabisa. Ila sijaona likipingwa kwa nguvu kama alivyosema mtoa mada.

Naona kama Kuna unafiki mahali tunafanya kama taifa. Takwimu tu za Mewata zinasema 1/3 ya wanawake wanageuzwa na waume zao. Sasa is it any better than tunachopinga??
Vipi Wewe umewahi kumgeuza mkeo?
 
Ukweli usemwe tu

Narudia tena ukweli usemwe kwann? Rate ya mashoga inaongezeka na kwann? Rate ya wadada wanaoingiliwa kinyume na maumbile inaongezeka kama ni sio sisi wanaume tunayoisababisha iongezeke kama sisi tungelipinga kikweli kweli hili janga lisingeendelea kuwepo na kuongezeka ukweli ni kwamba baadhi ya wanaume wengi wanapenda kuwaingilia wanawake kinyume na maumbile ila hawapendi lifahamike mbele za watu kama wana michezo hiyo michafu

Pengine sio mke wako hata mwanamke tu wa kukutana nae huko mnapokutana na kwa kumlipa pesa ila ukweli ni kwamba unamuongilia kinyume na maumbile kwa kumlipa pesa na unapenda michezo hiyo sanaa ila hautaki ufahamike kama unapenda hiyo michezo kibaya zaidi mnawaingilia hadi mashoga kwa kuwapa pesa ila ukweli kuwa wanaume hawataki wafahamike kuwa wanapenda kuwaingilia kinyume na maumbile wengine

Njoeni mtukane lakini tabia hiyo ifike mwisho tunashindwa kuwaface Kwa kuwa mnajificha na hampendi mjulikane wengi wenu kuwa mnapenda kuwaingilia wenzenu kinyume na maumbile

Baadhi ya wanaume wengi hupenda kuwaingilia wanawake na baadhi ya wanaume kinyume na maumbile ila hawapendi ifahamike mbele za watu kama wanapenda tabia hizo ndio maana rate ya watu wa aina hiyo inaongezeka kila leo

Utakuta mtu anakemea hizo tabia mbele ya umma ila akiwa mwenyewe na mwanamke anamuomba hiyo michezo ila kwa watu anajifanya msafi muache hizo tabia chafuu baadhi ya wanaume sijasema wote

Tabia chafu kabsa
 
Back
Top Bottom