Mnaoweza kulala kwa kugandiana usiku na mwanamke hebu tuambieni mnawezaje?

Mnaoweza kulala kwa kugandiana usiku na mwanamke hebu tuambieni mnawezaje?

Hili suala la kugandiana na mwanamke usiku wakati wa kulala kiukweli limenishinda maana nashindwa kabisa kupata usingizi.

Nishazoea kila mtu alale upande wake tena kila mmoja na shuka yake, masuala ya kushare shuka moja pia siyawezi.
At the end naambiwa siko romantic!

Mnaoweza haya mambo hebu tuambieni huwa mnafanyaje?
hayo mambo ya mjini mmalizane tu huko huko kimjinimjini,
huku mikoani sie tunagonga mzigo ukimaliza unageuka kushoto nae kulia kila moja anauchapa usingizi vilivyo kivyake mpaka tena mbususu na mshedede vitakapo rise up na mara moja raund ingine huanza na nyingine hufuata kadiri itakavyoonekana inafaa...
 
Kuna kosa moja ulifanya,na wengine wengingi hujichanganya na yanawakuta kama hayo hayo.
1.Kipindi bado unaishi mwenyewe,kitanda na godolo ulinunua saizi gani?
2. Alipokuwa akija kulala kwako,mlielewanaje?!

Kubali ukatae we mwenyewe umejenga hayo mazoea ya kunatana kwamba leo baridi,mara upweke.

Ulitakiwa uwe na vigodolo viwili vidogo vya single. Kama unajiweza,kila kimoja na kitanda chake.
Hakikisha kimoja kinakaa kichafu chafu,hata viatu weka. Kama we ni fundi,weka mazagazagavyako hapo,lala nayo. Kama kaamua kulala,mnagandiana huko kwenye kile kisafi,mkimaliza sarakasi zenu,rudi kwako.
Akishaona hivo,mwenyewe atajiongeza.
Omba tu asibebe mimba. Au akibeba,iwe ya kukuchukia wewe. Vinginevyo,uanunua kubwa tuuuu

#usisheebedi
natamani nikuelewe zaidi ya hapa. Kwamba kitanda unachoanza nacho maisha kinaamua baadaye mtalalaje na mpenzi wako?
 
Hili suala la kugandiana na mwanamke usiku wakati wa kulala kiukweli limenishinda maana nashindwa kabisa kupata usingizi.

Nishazoea kila mtu alale upande wake tena kila mmoja na shuka yake, masuala ya kushare shuka moja pia siyawezi.
At the end naambiwa siko romantic!

Mnaoweza haya mambo hebu tuambieni huwa mnafanyaje?
Kiukweli hata kuhema inakuwa taabu.
 
natamani nikuelewe zaidi ya hapa. Kwamba kitanda unachoanza nacho maisha kinaamua baadaye mtalalaje na mpenzi wako?
Ndo maana yake. Akikukuta na 6*6 utajinasuaje? Kwamba hatulali wote? Huo moto utauwasha lakini kuuota hutoweza.

We kama unajua utachumachuma kimasihara kwako,weka vitanda viwili. Af punguza kucheka cheka. Akisema tulale,analala huko na wewe na mambo yako kule. Full stop
 
kwa hiyo kwa kuanzia mtu anastahili aanze na kitanda kidogo sio?
 
kwa hiyo kwa kuanzia mtu anastahili aanze na kitanda kidogo sio?
Jibu ni ndio au hapana. Inategemea na wewe mwenyewe. Kama kugandana unaweza,nunua kikubwa. Kama huwezi na unataka kuwa unadinyadinya,andaa mazingira mapema. Kidogo kinakuhusu. Kuna wengine akilikuta likubwa hatoki
 
Back
Top Bottom