Kuna kosa moja ulifanya,na wengine wengingi hujichanganya na yanawakuta kama hayo hayo.
1.Kipindi bado unaishi mwenyewe,kitanda na godolo ulinunua saizi gani?
2. Alipokuwa akija kulala kwako,mlielewanaje?!
Kubali ukatae we mwenyewe umejenga hayo mazoea ya kunatana kwamba leo baridi,mara upweke.
Ulitakiwa uwe na vigodolo viwili vidogo vya single. Kama unajiweza,kila kimoja na kitanda chake.
Hakikisha kimoja kinakaa kichafu chafu,hata viatu weka. Kama we ni fundi,weka mazagazagavyako hapo,lala nayo. Kama kaamua kulala,mnagandiana huko kwenye kile kisafi,mkimaliza sarakasi zenu,rudi kwako.
Akishaona hivo,mwenyewe atajiongeza.
Omba tu asibebe mimba. Au akibeba,iwe ya kukuchukia wewe. Vinginevyo,uanunua kubwa tuuuu
#usisheebedi