Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Ndio hivyo nimesema labda uwe na mwanamke mchafu, akiwa ananuka sio pisi kali tena huyo mzeeMimi kwangu hata kama awe pisi kali akishatoa harufu ya kunuka namshusha thamani namuona kama kunguni tu
hayo mambo ya mjini mmalizane tu huko huko kimjinimjini,Hili suala la kugandiana na mwanamke usiku wakati wa kulala kiukweli limenishinda maana nashindwa kabisa kupata usingizi.
Nishazoea kila mtu alale upande wake tena kila mmoja na shuka yake, masuala ya kushare shuka moja pia siyawezi.
At the end naambiwa siko romantic!
Mnaoweza haya mambo hebu tuambieni huwa mnafanyaje?
Hahaha π€£π€£π€£π€£πMwanamke kama huyu ni heri nimuache alale mwenyewe mimi nilale chini. Nisije kuwekewa kalio mdomoni
natamani nikuelewe zaidi ya hapa. Kwamba kitanda unachoanza nacho maisha kinaamua baadaye mtalalaje na mpenzi wako?Kuna kosa moja ulifanya,na wengine wengingi hujichanganya na yanawakuta kama hayo hayo.
1.Kipindi bado unaishi mwenyewe,kitanda na godolo ulinunua saizi gani?
2. Alipokuwa akija kulala kwako,mlielewanaje?!
Kubali ukatae we mwenyewe umejenga hayo mazoea ya kunatana kwamba leo baridi,mara upweke.
Ulitakiwa uwe na vigodolo viwili vidogo vya single. Kama unajiweza,kila kimoja na kitanda chake.
Hakikisha kimoja kinakaa kichafu chafu,hata viatu weka. Kama we ni fundi,weka mazagazagavyako hapo,lala nayo. Kama kaamua kulala,mnagandiana huko kwenye kile kisafi,mkimaliza sarakasi zenu,rudi kwako.
Akishaona hivo,mwenyewe atajiongeza.
Omba tu asibebe mimba. Au akibeba,iwe ya kukuchukia wewe. Vinginevyo,uanunua kubwa tuuuu
#usisheebedi
Sawahahaha . acha ibaki fantasy ila ni future impossible tense!
SidhaniKwa sisi tunaokaa na wake zetu as family hil hata sio tatizo.Shida iko kwenu nyie mnaobanduana kwa wiz na watoto wa watu hapo lazima uozee jela.
ππππDahKwakweli nikue niyaone... na ninavyopenda kujiachia nikilala mbona atajikuta miguu iko shingoni kwakeπ€£π€£π€£
Kiukweli hata kuhema inakuwa taabu.Hili suala la kugandiana na mwanamke usiku wakati wa kulala kiukweli limenishinda maana nashindwa kabisa kupata usingizi.
Nishazoea kila mtu alale upande wake tena kila mmoja na shuka yake, masuala ya kushare shuka moja pia siyawezi.
At the end naambiwa siko romantic!
Mnaoweza haya mambo hebu tuambieni huwa mnafanyaje?
Ndo maana yake. Akikukuta na 6*6 utajinasuaje? Kwamba hatulali wote? Huo moto utauwasha lakini kuuota hutoweza.natamani nikuelewe zaidi ya hapa. Kwamba kitanda unachoanza nacho maisha kinaamua baadaye mtalalaje na mpenzi wako?
π€£π€£π€£π€£π€£Kumbe kuna kugandianaπ
π€£π€£π€£π€£ππππDah
Hahah π€£π€£π€£ππ€£π€£π€£π€£π€£
Loh π
kwa hiyo kwa kuanzia mtu anastahili aanze na kitanda kidogo sio?Ndo maana yake. Akikukuta na 6*6 utajinasuaje? Kwamba hatulali wote? Huo moto utauwasha lakini kuuota hutoweza.
We kama unajua utachumachuma kimasihara kwako,weka vitanda viwili. Af punguza kucheka cheka. Akisema tulale,analala huko na wewe na mambo yako kule. Full stop
Jibu ni ndio au hapana. Inategemea na wewe mwenyewe. Kama kugandana unaweza,nunua kikubwa. Kama huwezi na unataka kuwa unadinyadinya,andaa mazingira mapema. Kidogo kinakuhusu. Kuna wengine akilikuta likubwa hatokikwa hiyo kwa kuanzia mtu anastahili aanze na kitanda kidogo sio?
Halijakukuta subiriAisee hii kitu ndo ilishanishindaga mikwakweli siwez kwanza mimi kwenye kulala sitaki kubanana banana kabsa kila mtu alale anavyojua yeye
Halijakukuta subiri
Nimekutumia woraaaaaπ¦π¦π¦πππππππ
Acha tu..
Ananinyanyasa huyo yaan.