Mnaoweza kulala kwa kugandiana usiku na mwanamke hebu tuambieni mnawezaje?

Sio hivyo wapo wenye tabia hizi za kutopenda kugusana na mtu au ile kupuliana,, mara nyingi huwa ni kinyaa cha kujiendekeza na ubinafsi tu,, mbn kumla anamla wanamwagiana mi ute na majasho ijekuwa kushea shuka tuuuu
Hawa sio scorpio [emoji756] so blame them not, hilo swala ni la kinyota kabisa mtuulize scorpio huwa mnatunzaje ndoa zenu kiromantic tuwape maujanja
 
ungeweka kwa kiingereza mkuu "cuddling" ingeweka mzuka na maana vema, kugandiana imekuwa maziwa mgando kwa friji!?πŸ˜‚πŸ˜‚
Hayo mambo hata mi yamenishinda aisee tunawaache kina Alejandro, mimi siwezi yaani nikukumbatia nataka kupiga tu...hata tusipolala
 

Acha utoto hili nalo swali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…