Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 3,106
- 8,101
π€£ Kwann. Inawezekana wewe na bebe wako mkavutana kama uga wa sumakuNipo kuchukua maujuzi hapaπ π.. ila najua tu lazima nitatia aibu hiyo sikuππ€¦ββοΈ
Ewaaa nasi ukijurudisha nyuma ukamgusa mzee mnachochea moto balaa[emoji23]
wanasema wakishapata usingizi wanaachianaππHumu watu waongo hakuna mtu anayemudu kukumbatia mtu usiku mzima πππ
Inamaana hawageuki wanalala km vifusi muda wote?
Sio muda wote na nyie mkipitiwa kika mmoja anapambana kivyake ila mkishtuka mnajikusanya tena hivyo yani,, ila mtoa mada kasema hata shuka hataki kusheaHumu watu waongo hakuna mtu anayemudu kukumbatia mtu usiku mzima πππ
Inamaana hawageuki wanalala km vifusi muda wote?
ππ€£Wazee wa kula nyaHiyo kulala nyuma ya matako,, pozi zuri sana na muwe kwenye mikoa ya baridi mama weee
Story tuwanasema wakishapata usingizi wanaachianaππ
Yani hiyo siku itabidi anishikilie kwelikweli nisichomoke, au anifunge na kamba kabisa maana tunaweza jikuta tuko sakafuni asubuhi πππ€¦ββοΈπ€£ Kwann. Inawezekana wewe na bebe wako mkavutana kama uga wa sumaku
Hayo mengine simo mieππ€£Wazee wa kula nya
Kina dayamondiπ€£π
Kazi kwakweli hiyo ni penzi likiwa jipya au la zamani? πππwanasema wakishapata usingizi wanaachianaππ
Kuna viumbe vinakumbatiana wewe,vinageuzana kama chapati usiku mzima haswa stage ya penzi jipya,mara wapeane makalio,mkono uko kwa bibi,nyonyoHumu watu waongo hakuna mtu anayemudu kukumbatia mtu usiku mzima πππ
Inamaana hawageuki wanalala km vifusi muda wote?
Kwakweli naanza kuamini ni story tu.. kwasababu nikifikiria naona ni kitu kisichowezekana kwanza utapumuaje huku umebanwabanwaπππStory tu
Mtu anakesha jf,anakumbatiana saa ngapi?ππ€£
Na wakiwajambia muwakumbatie hivo hivo sio mjitoe [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
π€£π€£π€£ Ko kila mkishtuka mnakumbatiana tena? Hebu nianze kujaribu km nitawezaSio muda wote na nyie mkipitiwa kika mmoja anapambana kivyake ila mkishtuka mnajikusanya tena hivyo yani,, ila mtoa mada kasema hata shuka hataki kushea
Labda kabla hawajazoeana,, ila mimi kubanwa sipendi jamani uwiiπKazi kwakweli hiyo ni penzi likiwa jipya au la zamani? πππ
Wanandoa wanashauriwa kutumia 4Γ6 5Γ6 ili hata mkigombana ukijigeuza umemshika mama nyonyo! Na ugomvi unaishia hapoHata mimi sipendi ni basi tu, uzuri siku hizi kuna 6x6 na wenye uwezo zaidi hata 6x7 zipo.
ile michezo umeacha....Hata mimi siwezi kulala kama nitagusana na mtu, ila hua tunakumbatiana mwanzoni akilala yeye, nageukia upande ambao nipo comfortable.
Baby hug me...ππUtasikia, geukia huku basiπ
ππππ Penzi jipya lina mambo, hata mwenzio akiachia bomu unavunga km hakuna hewa muingilianoKuna viumbe vinakumbatiana wewe,vinageuzana kama chapati usiku mzima haswa stage ya penzi jipya,mara wapeane makalio,mkono uko kwa bibi,nyonyo
Kungwi wako alifanya kazi nzuri sanaWanandoa wanashauriwa kutumia 4Γ6 5Γ6 ili hata mkigombana ukijigeuza umemshika mama nyonyo! Na ugomvi unaishia hapo