Mnaoweza kulala kwa kugandiana usiku na mwanamke hebu tuambieni mnawezaje?

Mnaoweza kulala kwa kugandiana usiku na mwanamke hebu tuambieni mnawezaje?

Cuddling nyote mnakua macho, mnaweza kua mmechill kwenye sofa watching movie huku mmekumbatiana na kupapasana kikawaida au mmelala kitandani huku unamchezea nywele zake au yeye anachezea kifua chako....

Lakini linapokuja suala la kulala, kupeana space muhimu ili kila mmoja aufurahie usingizi wake.
ni watu tu hawajaelewa mada....

kulala mkiwa mmekumbatiana haiwezekani, hapa kinachozungumziwa ni pale mpo kitandani mnautafuta usingizi

mnapoamka hamuwezi mkawa mmekumbatiana vile vile
 
Hili suala la kugandiana na mwanamke usiku wakati wa kulala kiukweli limenishinda maana nashindwa kabisa kupata usingizi.

Nishazoea kila mtu alale upande wake tena kila mmoja na shuka yake, masuala ya kushare shuka moja pia siyawezi.
At the end naambiwa siko romantic!

Mnaoweza haya mambo hebu tuambieni huwa mnafanyaje?
Hiyo mkuu inatokeaga miezi sita ya mwanzo ya mapenzi. Baada ya hapo mnagandiana kidogo tu halafu mnaoneshana mgongo.

Baada ya mwaka badala ya kugandiana mnajambiana tu.

Baada ya miaka mwili ni maigizo mwanamme analala sofani sebuleni.

IF WALLS COULD TALK
 
Wee acha kabisa, unakuta umekumbatia ka taco cha kishkaji ile ya wastani aaah...usiku unakuwa mfupi sana😂
Glenn Youngpin jana kaangukia pua huko Virginia.

Glenn huddle sijui yuko wapi siku hizi.

Pia Glenn Close kapotea sana.

Glenn Campbell country music
 
Si lazima kila mkishtuka mkumbatiane mnaweza geuziana matako ilmradi mgusane na inafanya kazi sana kwa kapo mpya mkizoeana hii starehe hupungua au kuisha ila sio pa kufikia kugawana mashuka ama shuka moja kila mtu ajipumulie kivyake na ikifikia hatua hii lazima kuna mmoja au wote mna michepuko, penzi limekufa hapo
Me napenda kulalia tumbo ndiomana sipendi hekaheka za mikumbatio 😜
Sijui ni mshamba
 
Si lazima kila mkishtuka mkumbatiane mnaweza geuziana matako ilmradi mgusane na inafanya kazi sana kwa kapo mpya mkizoeana hii starehe hupungua au kuisha ila sio pa kufikia kugawana mashuka ama shuka moja kila mtu ajipumulie kivyake na ikifikia hatua hii lazima kuna mmoja au wote mna michepuko, penzi limekufa hapo
Hahahahahah tunaotumia dabo deka tunacomment wapi 🤣
 
Back
Top Bottom