Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Me siwezi kuvumilia kwakweli na pua zangu zilivyo active 😂😂😂Unafunua shuka kiuwizi tu😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me siwezi kuvumilia kwakweli na pua zangu zilivyo active 😂😂😂Unafunua shuka kiuwizi tu😂
nitafanya ziara ya ghafla🤣🤣🤣 Shindwaaa popobawa
HahahahMe siwezi kuvumilia kwakweli na pua zangu zilivyo active 😂😂😂
Unameza komya kimya...
Dah hii balaa zito. 🤣😂😂😂😂 Penzi jipya lina mambo, hata mwenzio akiachia bomu unavunga km hakuna hewa muingiliano
Acha kuntisha bas mwenzio nishazoea kulala chiu 😂😂😂nitafanya ziara ya ghafla
Hupendwi ikiwa ushamchoka huyo jamaa, ila kipindi mnatumiana mesej kama huduma kwa wateja bila kuchoka ulikuwa unatamani mda wote hata akae usoni umtazame.Labda kabla hawajazoeana,, ila mimi kubanwa sipendi jamani uwii😌
Huwa ndio nawapenda nyie walala chiu, 🤣 jiandae chioni ya reo kuja kuchezea mpingoAcha kuntisha bas mwenzio nishazoea kulala chiu 😂😂😂
Hiyo kulala nyuma ya matako,, pozi zuri sana na muwe kwenye mikoa ya baridi mama weee
Michezo ya kutoleana carbon dioxide nani anataka 😂😂😂Hahahah
Ukiwa penzini tena zito jipya...baby akijamba...eti..pole honey, hata hivyo kinanukia poa tu😂😂😂hahahahah Ukanda wa Gaza 🤣
Hataree 😂😂Dah hii balaa zito. 🤣
Hahahah mambo ya kitoto kweli hayo. Sahizi ukijamba unachambwa tu🤣Ukiwa penzini tena zito jipya...baby akijamba...eti..pole honey, hata hivyo kinanukia poa tu😂😂😂
😂😂😂😂Huwa ndio nawapenda nyie walala chiu, 🤣 jiandae chioni ya reo kuja kuchezea mpingo
Kwa mabinti chokozi sana, ukimkumbatia anakusugua mpini na taco kijanja sana😂😂Hahahahah antena inagusa booster za sony xplod 🤣
Hahahah anatumia booster kuleta mashambulizi ghalani🤣Kwa mabinti chokozi sana, ukimkumbatia anakusugua mpini na taco kijanja sana😂😂
na hawasemi...Kumbe kuna kugandiana😌
Aah labda mzaramo, utachambwa hadi usingizi ukate😂😂Hahahah mambo ya kitoto kweli hayo. Sahizi ukijamba unachambwa tu🤣
Ukiamka mwepesiii kumbe umechezea mtalimbo😂😂😂😂