Mnaoweza kulala kwa kugandiana usiku na mwanamke hebu tuambieni mnawezaje?

Mnaoweza kulala kwa kugandiana usiku na mwanamke hebu tuambieni mnawezaje?

Kwakweli naanza kuamini ni story tu.. kwasababu nikifikiria naona ni kitu kisichowezekana kwanza utapumuaje huku umebanwabanwa😂😂😅
Umenikumbusha nikiwa form 3 niligoma kushea kitanda na cousin na nikawaambia sitakuja shea hata shuka na mtu napenda kujifunika peke yangu😂ila sijui kilichonikuta mpaka saiv nikabadili mawazo
 
🤣🤣🤣 Ko kila mkishtuka mnakumbatiana tena? Hebu nianze kujaribu km nitaweza
Si lazima kila mkishtuka mkumbatiane mnaweza geuziana matako ilmradi mgusane na inafanya kazi sana kwa kapo mpya mkizoeana hii starehe hupungua au kuisha ila sio pa kufikia kugawana mashuka ama shuka moja kila mtu ajipumulie kivyake na ikifikia hatua hii lazima kuna mmoja au wote mna michepuko, penzi limekufa hapo
 
Umenikumbusha nikiwa form 3 niligoma kushea kitanda na cousin na nikawaambia sitakuja shea hata shuka na mtu napenda kujifunika peke yangu😂ila sijui kilichonikuta mpaka saiv nikabadili mawazo
Naomba na mimi iwe hivyo kwakweli,, maana story zenu hizi zimenifanya niwaze mengi sana😊😊... nahisi kama kuna vitu nimepungukiwa hivi 🙈🙈
 
Cuddling nyote mnakua macho, mnaweza kua mmechill kwenye sofa watching movie huku mmekumbatiana na kupapasana kikawaida au mmelala kitandani huku unamchezea nywele zake au yeye anachezea kifua chako....

Lakini linapokuja suala la kulala, kupeana space muhimu ili kila mmoja aufurahie usingizi wake.
 
Back
Top Bottom