Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Hiyo kulala nyuma ya matako,, pozi zuri sana na muwe kwenye mikoa ya baridi mama weeeAma kweli kila mtu na starehe yake.
Mie nishazoea kulala nyuma ya matako, nikilala pekee yangu usingizi ni wa maruweruwe tu, mara niote fisi kala mguu wangu, mara niote nakojoa ub00 umekatika umedumbukia kwenye sink na imeuflash.
Lakini nikilala na mama watoto, alalie kifua, au nilale nyuma ya matako, dah.. Nasahau kama kibanda changu cha makuti kinavujisha.
😂🤣🤣