Mnaoweza kulala kwa kugandiana usiku na mwanamke hebu tuambieni mnawezaje?

Mnaoweza kulala kwa kugandiana usiku na mwanamke hebu tuambieni mnawezaje?

Hili suala la kugandiana na mwanamke usiku wakati wa kulala kiukweli limenishinda maana nashindwa kabisa kupata usingizi.

Nishazoea kila mtu alale upande wake tena kila mmoja na shuka yake, masuala ya kushare shuka moja pia siyawezi.
At the end naambiwa siko romantic!

Mnaoweza haya mambo hebu tuambieni huwa mnafanyaje?
kugandiana tena, ndo kufanyaje.
mkuu mnagandiana mwanzoni tu, baadae kidogo unajifanya upo usingizini unageukia zako hukoo
 
Huwa ni ka burudani sana ka kukuta mzee ananesa nesa akipumua kwenye matako, yani najiona mie ndo nina kidume dunia nzima
Nasi huwa tunajisikia burudani saana, ma mtu mzigo woote anakuwa kakususia wewe, mkono unaweka kwenye wezere, ama unaupitisha kiunoni kiganja kinafanya kama kuangukia kwenye kinena..
 
Humu watu waongo hakuna mtu anayemudu kukumbatia mtu usiku mzima 😂😂😂
Inamaana hawageuki wanalala km vifusi muda wote?
Inategemea na ulalaji wa mtu. Binafsi mie si mlalavi, kama nikilala chali baasi naweza amka niko hivyo hivyo.
Sasa mama mtu akilalia kifua mie mkono ukashika kwenye wezere, nikamchezea vinywele vyake, akipitiwa na usingizi nami ukinichukua tutaamka hivyo hivyo labda mtu aamke kwenda msalani.

Au akinisusia wezere usingizi ndio unakuwa mtamu, kama akigeuka usiku yeye sawa hakuna tabu, muhimu pale mwanzo tu, mpaka unapofumba macho.
Tena kama usingizi wake mnono ulisindikizwa na kichapo kikali, kalala kajichokea, Ukiamka usiku mzigo huu hapa upo kwako, unameza funda la mate unajitabasamia tu. 😂🤣
 
Hii Kitu hata mimi sitoboi aisee ngumu sana, Huwa nafanya kumlizisha tu ila akishalala mimi huyo nasogea pembeni ndo usingizi ntapata
 
Back
Top Bottom