Mnaoweza kulala kwa kugandiana usiku na mwanamke hebu tuambieni mnawezaje?

Mnaoweza kulala kwa kugandiana usiku na mwanamke hebu tuambieni mnawezaje?

Hili suala la kugandiana na mwanamke usiku wakati wa kulala kiukweli limenishinda maana nashindwa kabisa kupata usingizi.

Nishazoea kila mtu alale upande wake tena kila mmoja na shuka yake, masuala ya kushare shuka moja pia siyawezi.
At the end naambiwa siko romantic!

Mnaoweza haya mambo hebu tuambieni huwa mnafanyaje?
Inategemea mnalalaje Mkuu, na pengine kupata ushauri mzuri ni vema ukasema mnalalaje hadi uone ni kama usumbufu.

Ova
 
Hili suala la kugandiana na mwanamke usiku wakati wa kulala kiukweli limenishinda maana nashindwa kabisa kupata usingizi.

Nishazoea kila mtu alale upande wake tena kila mmoja na shuka yake, masuala ya kushare shuka moja pia siyawezi.
At the end naambiwa siko romantic!

Mnaoweza haya mambo hebu tuambieni huwa mnafanyaje?
Nunua ac tu
 
Ama kweli kila mtu na starehe yake.

Mie nishazoea kulala nyuma ya matako, nikilala pekee yangu usingizi ni wa maruweruwe tu, mara niote fisi kala mguu wangu, mara niote nakojoa ub00 umekatika umedumbukia kwenye sink na imeuflash.

Lakini nikilala na mama watoto, alalie kifua, au nilale nyuma ya matako, dah.. Nasahau kama kibanda changu cha makuti kinavujisha.
😂🤣🤣
Makaveli wewe😀😀😀🙌
 
Back
Top Bottom