Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemea mnalalaje Mkuu, na pengine kupata ushauri mzuri ni vema ukasema mnalalaje hadi uone ni kama usumbufu.Hili suala la kugandiana na mwanamke usiku wakati wa kulala kiukweli limenishinda maana nashindwa kabisa kupata usingizi.
Nishazoea kila mtu alale upande wake tena kila mmoja na shuka yake, masuala ya kushare shuka moja pia siyawezi.
At the end naambiwa siko romantic!
Mnaoweza haya mambo hebu tuambieni huwa mnafanyaje?
Kumbe nawe una bwanaHata mimi siwezi kulala kama nitagusana na mtu, ila huwa tunakumbatiana mwanzoni akilala yeye, nageukia upande ambao nipo comfortable.
😂😂😂😂😂🤣🤣🤣
Nifanye mambo ya wapemba, mwaka mimba, mwaka mtoto, watoto ukiwapanga vimo vyao wanakuwa kama ngazi hivi😂
Nunua ac tuHili suala la kugandiana na mwanamke usiku wakati wa kulala kiukweli limenishinda maana nashindwa kabisa kupata usingizi.
Nishazoea kila mtu alale upande wake tena kila mmoja na shuka yake, masuala ya kushare shuka moja pia siyawezi.
At the end naambiwa siko romantic!
Mnaoweza haya mambo hebu tuambieni huwa mnafanyaje?
Mbona kwenye maneno yake hakuna ushahidi, unahitimisha kwamba ana bwana.Kumbe nawe una bwana
Sina ukitombile wowote ndugu yangu, nishaacha ujana kitambo tu, ye mwenyewe anajua mie ni legend sasa, nishastaafu.Yani wewe huyo mkeo ana enjoy sana huna noma sema mnakuwaga vitombile na yule pacha wako😂😂
Ila hiyo inapendeza kama baba akiwa O na mama akiwa O.😂😂😂😂
Makaveli wewe😀😀😀🙌Ama kweli kila mtu na starehe yake.
Mie nishazoea kulala nyuma ya matako, nikilala pekee yangu usingizi ni wa maruweruwe tu, mara niote fisi kala mguu wangu, mara niote nakojoa ub00 umekatika umedumbukia kwenye sink na imeuflash.
Lakini nikilala na mama watoto, alalie kifua, au nilale nyuma ya matako, dah.. Nasahau kama kibanda changu cha makuti kinavujisha.
😂🤣🤣
Nimefanyaje financial 🙈🙈Makaveli wewe😀😀😀🙌
Wifi si O 😂😂Ila hiyo inapendeza kama baba akiwa O na mama akiwa O.
🤣
Hapana, Yeye siyo OWifi si O 😂😂
😂😂😂🙌🙌Wee, usiniambie. 🤣😂
Ndio vitu vyako nini!?
Yaani nimekutaja bila ya kutaja jina🤣😂🤣🤣
Ukilala hivi asubuhi ikifika huumwi mkuu?😀Ila ile staili yangu pendwa ya kulala magoti yanagusa kifua alafu mikono ndo naifanya mto sitaweza kuiacha bila kulala hivyo sioni raha
Uongo 🤣🤣🤣Hapana, Yeye siyo O
😂
Sasa mbona mi mwenzio nishadinda..Hapo sasa kwenye kinena na kiwe cha moto unaweza kuua mtoto ya mamkwe
Kweli vile, we nae unaleta ngumu, mabishano yanazidi tunachelewa kuongeza jamii yetuUongo 🤣🤣🤣